Nina tatizo gani mimi? Napenda sana kuwa peke yangu

Dah! Upo kama Mimi yani ninawakera sana watu pale wanaponitafuta kwenye simu alafu nataka awe straightforward. Utakuta namuwahi kwa kumwambia "Sema" yani naskip hata salamu
 
Ikitokea mtu akaumiza hisia zako kwa kipindi hiki, jitahidi ukae mbali na sumu ya panya na kamba za katani
 
Hahahahaha mnanifurahisha maIntrovert wenzangu!
 
Pole kwa kweli!
 
Mwenyewe niko hivyo, na nina enjoy kuwa hivyo sijui kwanini.

Nikiwa na Watu wala siinjoi saana
 
Kwani kupenda sana kuwa peke yako ni tatizo?

Kwanini unafikiri ni tatizo, limekucost nini?

Mara nyingine ni vizuri kuwa peke yako kuliko kuwa karibu na binadamu wanafiki.
 
Yani wewe ni mwenzangu ninatabia kama zako,kila siku watu wananisema lakini sijabadilika najitahidi sana ila nashindwa,ingawa nie hili tatizo ni la muda mrefu toka nimeanza kujitambua
 
Depression inakunyemelea,jichanganye na watu.Kama ni mkristu pendelea kwenda kusali kanisani au mahubiri ya injili unapokuwa na nafasi badala yakukaa peke yako.Shetani anapenda sana kuitumia hiyo nafasi kukupa maamuzi yasiyo faa.
 
Hizo ni dalili za kwamba wewe ni genious!
Kuna uwezekano mkubwa pia kuwa uko prone kupata ugonjwa wa Depression...
Umeongea kitu cha kweli kabisa....... huyu bwana anatakiwa apate msaada wa haraka wa kisaikolojia ili kumuweka sawa kwa maana Tanzania ukiwa genius kuna hatari kubwa sana ya kupata depression maana uwezo wa akili yake unakuwa hautumiki kwenye kuleta maendeleo so anapatwa na hali hiyo.
 
Hata mimi nina hiyo tabia na nliianza tangia nasoma Secondary, na naipenda sana cause "ITS FUN" inanifanya niwe huru na nisizoeane sana na watu.! Trust me kuzoeana na watu kuna cost sana.! Piga story mara chache sana na watu, binadamu hawana hiyana... but nipo close na JF ndo watu wangu wa karibu[emoji110]
 


Hii inaukweli ndani yake, wazazi huwa wanachangia hii hali ya mtu kutaka kuwa kivyake......malezi ya mtoto huwa yanaimpact sana siku za usoni akiwa anaanza maisha yake binafsi.......umeongea ukweli dhahiri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…