Nina tatizo la kuchelewa kufika kileleni

Kuna wakat nilikuwa nawah nyingine nachelewa had nasitisha zoezi mkuu
 
Asante mkuu
 
Ni hisia zako mkuu naheshim pia. Mara ya kwanza niliandika kwenye jukwaa la mahusiano mods wakauhamisha, ndio maana unaona kama kuna utani flan
Mwandiko wa matoa mada

Unanipa mashaka Sana kuchangia huu uzi seriously
 
Kuna sababu gani ya kudanganya mtu ambaye hata simjui?
Uko huru mkuu ni mawazo yako nayaheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…