Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uume wangu huwa unasimama ovyo pindi ninapoongea na msichana,hivyo kunipelekea kuwa na aibu hasa katika sherehe,JE TATIZO NI NINI?KARIBUNI WAKUU
Uume wangu huwa unasimama ovyo pindi ninapoongea na msichana,hivyo kunipelekea kuwa na aibu hasa katika sherehe,JE TATIZO NI NINI?KARIBUNI WAKUU
ukismama we ukalishe chini tu utazoea.
Mkuu tafuta boxer ya jeans itakusaidia itakusaidia sana
Nyege tu zina kusumbua na domo lako zito mademu kibao au wewe mkona wa birika mbahili angalia wezako wasije kukula 0713
tatizi lako unapiga sana ponyeto/masterbation halafu ukiwa unaongea na msichana unalenga kudanya mapenzi.
pungeza punyeto tongoza kwa matarajio yasio ya ngono tu. tumia muda mwingi ukiwa na hao wasichana wako
Wewe ni kidume bwana weee huna tatizo lolote sema tu una hisia kali za mapenzi
Naombeni msaada wana JF huwa nadindisha sana.hata nikiwa kazini.najitahidi kuwa busy lkn.unakuta ngoma inasimama dede.ili tatizo dawa yake nn??
Nimecheka sana, watu mna mambo!! Sipati picha huko kazini, uitwe ghafla halafu ngoma iwe imekataa.
Pole sana, nadhani unahitaji kufanya mazoezi ya kutosha ili angalau kuchosha mwili.Ni aibu sana.na km mzigo huwa nikipata napiga wa kutosha.duu hii ni kazi kweli kweli si mchezo!!