Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
3M haiwezi kuwa mpya yote kwa vile ni wazi kwamba 150,000 ni sehemu ya matumizi iliyozalisha hilo pato kuu.Matumizi ya kiswahili tu, "Nina Tsh 150,000/= tu nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000/="
Nipate mtu anaweza kutafsri 3,000,000 ni pesa mpya ambayo alikuwa hana hata mia yake huku position ya 150k ikibaki ilivyokuwa
Je kuna namna naweza kufanya ili niifikie iyo pesa
π€π€Aisee dah hukakika ndio tatizo
Ungeuliza kesha ningekueleza.chimbo gani hilo ambalo mgen from no where anaweza kuingia na kuwa na uhakika wa 56gm kila week?, chimbo gani hlo ambalo dhahabu atapata kwa 90k/gm, hyo dhababu purity yake ngapi? akienda sokoni hawaconsidi purity wanamchotea tu 147k/gm? yaani kwenye gram moja upate faida ya 57k? unaumwa wewe si bure.,.madigala wazoefu wanakimbizina na faida ya 2k/gm we unakuja na hesabu zako za biashara ya ngedere hapa.
acha kudanganya watu mkuu.
Hata alime vipi hiyo hela haifikiSijasoma comment. Ila nna uhakika watu 10 washasema tafuta odds ..
Edit:
Replies zilizomshauri abet/aviator au kuongelea kubet zipo 12.
Waliosema akalime: 0
Waliosema aanzishe biashara: 0
Wengi wapewe.
Matumizi ni pesa iliyotumika, hivi mfano akanunua machine ya 150,000 kuzalishia 3m anayotafuta au akabeti kama wengi walivyomshauri, hiyo hela anaitumia kutafuta pesa mpya ambayo ni 3m3M haiwezi kuwa mpya yote kwa vile ni wazi kwamba 150,000 ni sehemu ya matumizi iliyozalisha hilo pato kuu.
Wenzako sasa hivi wakikamata dhahabu hawaichukui mpaka ipigwe moto ndio biashara inafanyika.chimbo gani hilo ambalo mgen from no where anaweza kuingia na kuwa na uhakika wa 56gm kila week?, chimbo gani hlo ambalo dhahabu atapata kwa 90k/gm, hyo dhababu purity yake ngapi? akienda sokoni hawaconsidi purity wanamchotea tu 147k/gm? yaani kwenye gram moja upate faida ya 57k? unaumwa wewe si bure.,.madigala wazoefu wanakimbizina na faida ya 2k/gm we unakuja na hesabu zako za biashara ya ngedere hapa.
acha kudanganya watu mkuu.
moro chimbo gan? mkata chimbo gani? huko kote napafahamu, nimekuuliza wapi unaweza pata faida ya 57k/gm? kwenye dhahabu? hyo dhahabu purity yake ngapi? sokoni hawaangalii purity wanakuchotea tu hela? hzi ndo unaita personal attack?Ungeuliza kesha ningekueleza.
Unaanza personal attack ili iweje!?
Morogoro na Mkata watu wanapata mpaka 100grams mzee unazungumzia hizo 56 grams!?
Huyo digala anayekimbizana na faida ya 2k kwa gram sio digala ni ushubadwa.chimbo gani hilo ambalo mgen from no where anaweza kuingia na kuwa na uhakika wa 56gm kila week?, chimbo gani hlo ambalo dhahabu atapata kwa 90k/gm, hyo dhababu purity yake ngapi? akienda sokoni hawaconsidi purity wanamchotea tu 147k/gm? yaani kwenye gram moja upate faida ya 57k? unaumwa wewe si bure.,.madigala wazoefu wanakimbizina na faida ya 2k/gm we unakuja na hesabu zako za biashara ya ngedere hapa.
acha kudanganya watu mkuu.
Wadau wanasema nibet dah kichwa kinawaka moto
Nishakujibu nimekutajia mpaka machimbo.moro chimbo gan? mkata chimbo gani? huko kote napafahamu, nimekuuliza wapi unaweza pata faida ya 57k/gm? kwenye dhahabu? hyo dhahabu purity yake ngapi? sokoni hawaangalii purity wanakuchotea tu hela? hzi ndo unaita personal attack?
πππππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈDaaah!ππππ Sasa hiyo 150 utapata faida ya 3mln ndani ya 15days we umeona wapi??
Kwa 150k kwa mwez atapata 12000Nunua hati fungani za UTT,
Nilionaga status ya Maxence Melo anasema Figo unauza kwa 80M unatafuta mkeka wa odd 10 unaweka 70M Unapiga 700M. Baada ya hapo unapata 700M unatoa 80M unanua Figo nyingine na chenchi inabaki mbona life simple tu? π π πAisee hii mbona kama inamake sense je gharama ya figo inaweza fika usd lak moja ?
Kibiashara, ukiiweka pesa kwenye matumizi inakuwa haijapotea, bali imegeuka tu kutoka hali moja ya keshi na kuwa amali (asset).Matumizi ni pesa iliyotumika, hivi mfano akanunua machine ya 150,000 kuzalishia 3m anayotafuta au akabeti kama wengi walivyomshauri, hiyo hela anaitumia kutafuta pesa mpya ambayo ni 3m
Au akaitumia kukodi eneo la biashara kuzalishia hiyo hela etc
Matumizi tu ya lugha..