Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
seenNoted
Leo tarehe 6/10/2025, usiku wa jana nmeota uchaguzi umefanyika na chama kimeshinda japo idadi ya wapiga kura ilikuwa ndogo mnooo, alafu baadae nikashangaa uongozi umebadilika, siye yule aliyetangazwa. Sijajua maana yake.Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread.
TUTAKUWEPO
Haohao walinzi wake wanaweza kumgeuzia kibao siku moja. Na wao watachoka damu za Watanganyika wenzao kumwagwa kila siku.Sasa hivi tu anaogopa kutoka hapo magogoni....Aachie tu nchi ya watanzania na wapi atakuwa anaenda na watu wanamkubali??Atoke madarakani tu sasa hivi na asipoteze muda....Hao walinzi wake wote ni fake na hawamkubaki hata kidogo
Haohao walinzi wake wanaweza kumgeuzia kibao siku moja. Na wao watachoka damu za Watanganyika wenzao kumwagwa kila siku.
Hii huwa nawaeleza kila siku yani afanye yake lakini mitano hamalizi ni either atakufa au kupinduliwa
2025 hatoboi
Kuwa na subira huyu bibi hana mwisho mzuriBora afe tu kama inawezekana....Tunapoteza nini hasaa??