Hii mbona iko wazi hata jamaa yangu
Matrix19 analifahamu hili.
Hauwezi ukaongoza taifa ambalo liko so divided bila kukutana na vikwazo vitakavyoangusha uongozi wako.
Samia ni mtu mwenye upeo mdogo sana.
Wakati Abraham Licoln amechaguliwa kuwa raisi wa 16 wa Marekani akiwa kwenye ziara yake ya mwanzo kabisa njiani alikutana na kundi kubwa la waandamanaji ambalo lilikuwa halimtaki kabisa awe raisi na kundi hilo lilikuwa ni la wafuasi au wapiganaji wa CONFEDERETE FORCES hiki ni kikundi ambacho kilikuwa kinawatetea wafanya biashara wa utumwa na kumbuka Abraham Lincoln ndiyo raisi aliyekomesha rasimi biashara ya utumwa nchini Marekani miaka hiyo.
Alichofanya raisi Lincoln ni kuwaita wale waandamanaji na kisha kuwasikiliza demands zao na kuwaeleza mipango aliyonayo kama raisi ambayo ni mizuri zaidi ya demands walizokuwa nazo na moja ya kauli aliyoisema bwana Lincoln kwenye speech yake akiwa anawahutubia hao waandamanaji ni hii "no person can govern another person without that person's conset"
Kwa hiyo hapo unaona ilimbidi afanye aina fulani ya reconciliation hili aweze kuwaongoza raia wote wa marekani hata wale waliokuwa hawamtaki na hiyo ndio akili ya kiuongozi.
Haya njoo kwa kimama wa kizimkazi, anajua kabisa raia kibao hawamtaki huku mtaani na mpaka wanataka kupanga kumtoa kwa nguvu, ila yeye kila akisimama anasema "mimi ndio amri jeshi mkuu"... mara sijui "vyombo vyetu vya dola viko thabiti na vimejipanga"
Yaan hana kabisa leadership charisma, hajui hata kusoma upepo kisha aje na sululisho sahihi...
Yeye anawaza kutumia mapolisi tu kuwatishia watu hili wawe watulivu, wala hata hajali kabisa hii hostility anayokutana nayo.