Nina uhakika 100% hata ikitokea Samia akalazimisha kuingia ikulu, hatokamilisha miaka mitano

Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread.

TUTAKUWEPO
100%
Anajiita chura kiziwi mwenyewe🐸🐸
 
Leo tarehe 6/10/2025, usiku wa jana nmeota uchaguzi umefanyika na chama kimeshinda japo idadi ya wapiga kura ilikuwa ndogo mnooo, alafu baadae nikashangaa uongozi umebadilika, siye yule aliyetangazwa. Sijajua maana yake.
Usiku wa jana nimeota napigana na mwizi usiku mzima, mapigano makali mno lakini wakati wote nilikuwa nampiga pamoja na kuwa alikuwa na vifaa hatari; KUMBE NILIKUWA NAOTA MAPAMBANO ALIYOKUWA NAYO HUMPHREY POLEPOLE MASKINI😒😒
 
Ratiba ya mikutano ipo, kwanini snipers wasiwahi huko wamalize kazi.
 
Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread.

TUTAKUWEPO
Mungu ibariki Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…