Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Ndugu zetu ktk ImaniWe bado mdogo ndio maana unasita, miaka 27 unaoa dunia ya leo ukifika miaka 37 utakuwa hoi bin taabani.
Fanya hivi, huyo 17 bado mtoto. Mwache afike 18 anza mahusiano nae … muongoze aanze kujishughulisha, akifika miaka 21 na wewe utakuwa 30 muoe.
Usimuache aende….
Wazazi wa aina gani hawa wanataka binti wa miaka 17 aolewe? wamechoka kumlea? wamechoka kumlisha? Hiyo familia ni redflag.
Sawa mkuu mwanakondoo ameshindaLeo ni sikukuu ya Ekaristi Takatifu, msiwe mnatoa ushauri wa kikatili kwenye siku muhimu kama hii.
Kiukwel gwapole: yule Binti hata mkono sijawah mshika kwanza Kwa mazungira yake ya sio rahis na anamioaka ya kuongea ya mtoto wa dini ila Sasa mm ndyo napata tabu maana nmeshaziea kuonja lkn that time nmetoka kapa mpaka sasa
Asante Kwa ushauri kakaMkataa pema pabaya panamuita! Ni shauri tu,muoe huyo bint harafu endelea na harakati za kutafuta maisha!
Labda sijui dini yako ni ipi?
Hata ungezunguka dunia nzima hutampata mwanamke atakaye kuridhisha kwa kila kitu unachotaka!
MWISHO ISIKILIZE NAFSI YAKO INAKWAMBIAJE!
Je, yeye anasemaje kuhusu bikra!Kiukwel gwapole: yule Binti hata mkono sijawah mshika kwanza Kwa mazungira yake ya sio rahis na anamioaka ya kuongea ya mtoto wa dini ila Sasa mm ndyo napata tabu maana nmeshaziea kuonja lkn that time nmetoka kapa mpaka sasa
nadhani mwaka umepita mpo kwenye mahusiono nae bado hukuweza kuanza kumjua vyema talatibu!,ulipaswa kumsogeza kalibu nawe mana kama yupo mbali unadhan ni lini utamjua vyema sasa? mtumie dadako alokuunga naye hakikisha yeye na dadako safal za kuja kwako hazipungui na utumie mda huo kumjua vyema.nb.. hakuna mwanadam alokamilika hata wewe unamadhaifu yako so zngatia mambo ya msingi kwnye kumjua vyema. kila lakheri mdg anguSijawahi kumjua vyema maana anaishi tofaut na nilopo
Asante sana Pluto thnker; natumai jf inamchango mkubwa katika kubadilishana mawazo na kuelimishananadhani mwaka umepita mpo kwenye mahusiono nae bado hukuweza kuanza kumjua vyema talatibu!,ulipaswa kumsogeza kalibu nawe mana kama yupo mbali unadhan ni lini utamjua vyema sasa? mtumie dadako alokuunga naye hakikisha yeye na dadako safal za kuja kwako hazipungui na utumie mda huo kumjua vyema.nb.. hakuna mwanadam alokamilika hata wewe unamadhaifu yako so zngatia mambo ya msingi kwnye kumjua vyema. kila lakheri mdg angu