Nina watoto sita, kila mtoto na mama yake, sitaki mama zao wawe "single mothers", nawezaje kuishi nao wote?

Asante
 
Niwafundishe maadili mema NA DINI ZA MIZIMU YA KWETU... Hapa nilipoweka maandishi makubwa watoto bora wabaki waliko.

Pili. Hayo maandishi madogo utafundishaje wakati wewe mwenyewe huna maadili mema? Watoto sita mama tofauti kwakweli unakuja kuwapotosha watoto.
 
Nimesoma vibaya au???

UWAFUNDISHE MAADILI???[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Yapi sasa kwamfano tuseme wamekubali utawafundisha nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Swali lililonijia kichwani pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…