Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 671
- 1,543
- Thread starter
- #41
Hiyo kawaida, hata mkeo anaweza kugongwa sana na bodabodaUtachapiwa sana na bodaboda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kawaida, hata mkeo anaweza kugongwa sana na bodabodaUtachapiwa sana na bodaboda
AsanteTafuta eneo kubwa Jenga apartments Saba na nyumba zipeane space ya kutosha kiasi kwamba wasishee baadhi ya vitu na hivyo vijumba Saba viwe vinajitosheleza kila kitu ndani yaani choo vyumba viwili na sebule. Wagawie kila mtu chake na ustaarabu wake hala wewe unachukua hicho Cha Saba na usioneshe upendeleo kwa yoyote Kati yao Wala watoto ....vyakula Kama mchele nunua nunua kwa viroba Kama debe moja kila mtu debe, Kama mafuta galon la Lita tano Basi wote hivyo hivyo hapo utawafaidi na kufanya wachungane
Sawa mkuuUshauri wangu tafuta pesa za kutosha.
Mjengee kila mmoja na usafiri juu.
Utaishi nao hata 7
😂😂😂😂😂😂Nimesoma vibaya au???
UWAFUNDISHE MAADILI???[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Yapi sasa kwamfano tuseme wamekubali utawafundisha nini?
Nakazia mkuu[emoji120]Ukiwa na pesa haina haja ya kuwaza, wanakuja wenyewe
Umezunguka sana mkuu,kifupi Tafuta pesaUkiwa na pesa haina haja ya kuwaza, wanakuja wenyewe
Na tena watapendana sana uwe na pesa tuUkiwa na pesa haina haja ya kuwaza, wanakuja wenyewe
Kwamba wasiwe wazinziNimesoma vibaya au???
UWAFUNDISHE MAADILI???[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Yapi sasa kwamfano tuseme wamekubali utawafundisha nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimesoma vibaya au???
UWAFUNDISHE MAADILI???[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Yapi sasa kwamfano tuseme wamekubali utawafundisha nini?
Ukute katika hao sita ana na wakike pia hakuna rangi ataacha ona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Swali lililonijia kichwani pia.
Yaani!! [emoji2297][emoji2297][emoji2297]Ukute katika hao sita ana na wakike pia hakuna rangi ataacha ona