Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

 
Maajabu ya 12 ya dunia yanayopatikana Tanzania
Kuna projects zinaitwa "Mega structures" za China ukiziangalia, check youtube, unaweza kulia. Wachina wako mbali sana, hata marekani na ulaya wanakubali wenyewe kwamba jamaa wapo mbali. Sisi kama taifa hatujaweka sera/mfumo mkakati wa kitaifa ili tuweze kuwapata viongozi wanaoweza kutimiza ndoto yetu kama taifa. Neno kama "UFISADI" lingekuwa mwiko kwa viongozi na lingetungiwa sheria ngumu kabisa kuwawajibisha. Kuna project 1 ya china ya kutoa maji kusini kwenda kaskazini, ukiangalia utadhani unaota!
 
Marekani haina muda wa Parade shughuri yake anaionesha live site, waulize Iran show ya dakika kadhaa tu na vita imeisha.
Kwa nini asiende kuionyesha Urusi au Ukraine maeneo yaliyokombolewa na Mrusi?

Kila mtu anajua Iran ilidharau mfumo wa anga na Kuamini Ile mikombola yao, Sasa wanazitaka s-400 na kutengeneza za kwao.

Ngoja tuone hali itakavyo kuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…