hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
🤣🤣🤣🤣Tuwaze yote hayo alafu tulombane saa ngapi sasa?... Unatuonea tu
🤣🤣🤣🤣Tuwaze yote hayo alafu tulombane saa ngapi sasa?... Unatuonea tu
😀😀😀Labda kama ulikuwa hujui
Viongozi wote wa UVCCM ya China (Wing ya vijana ya CCP) wana elimu kubwa sana zaidi ya asilimia 60 wana PhD za Darasani, zaidi ya nusu ya hizo PhD ni za STEM (Science, Technology, Engineering and Mathematics), asilimia 40 iliyobaki wana Degree na Masters na nyingi pia ni za STEM
CCM mgombea wao wa Urais aliombewa kufaulu darasa la saba na baba yake, CV yake ni ya mtu kasoma Lahore Pakistan, sasa imagine utashindana na China kwa lipi, Marais wa nchi ndio wanatarajiwa kuwa taswira ya taifa ila wetu ni ...
😀😀😀🤣🤣 Goes out to you YodaKuna clip mwandishi wa habari wa bbc anamhoji waziri wa mambo ya nje ya china kuwa china ni rafiki, adui au mshindani wa uingereza.
Aisee jamaa alimpa jibu moja matata.
Akamwambia wao kama china hawaoni kama ni washindani wa uingereza katika chochote.
Akaanza kumtajia vitu ambavyo wanaongoza kuanzia mauzo ya EVs, export, ugunduzi na research, gdp n.k akasema kwa hiyo hakuna wanachoshindana na mwingereza maana wao ama ni wa kwanza au wa pili nyuma ya marekani katika kila kitu.
Akasema wao wanachokiona ni kuwa uingereza ni taifa tu ambalo wanapaswa kushirikiana nalo kwa amani wala si mshindani kwa lolote.
😁 Ila wabongo kwamba Sasha alisomea ususi Pakistan akashibdane na wakina Xi kazi kweli kweli
🤣🤣🤣🤣😁 Ila wabongo kwamba Sasha alisomea ususi Pakistan akashibdane na wakina Xi kazi kweli kweli
Kmmk 🤣🤣🙌![]()
Kama Wachina wanajiweza watuguse waone..
Weka hiyo clip Jeshi la Marekani haliwezi fanya Military parade kwa amri ya raisi hadi bunge la congress liithinishe hiyo itakuwa sio mikitary parade itakuwa ya jeshi la mgamboMwaka huu wamefanya Trump aliamulu yafanyike
Hatari hawa jamaa mkuu nitafuatilia hizo projects nioneKuna projects zinaitwa "Mega structures" za China ukiziangalia, check youtube, unaweza kulia. Wachina wako mbali sana, hata marekani na ulaya wanakubali wenyewe kwamba jamaa wapo mbali. Sisi kama taifa hatujaweka sera/mfumo mkakati wa kitaifa ili tuweze kuwapata viongozi wanaoweza kutimiza ndoto yetu kama taifa. Neno kama "UFISADI" lingekuwa mwiko kwa viongozi na lingetungiwa sheria ngumu kabisa kuwawajibisha. Kuna project 1 ya china ya kutoa maji kusini kwenda kaskazini, ukiangalia utadhani unaota!
Aloooh kwa hiyo tuwe tu watulivu tuendelee kula ugali maharage😀China kaendelea tangu miaka 5,000 iliyopita. Vita ya hapo katikati kuanzia Opium wars na vita za dynasties zisikupumbaze ukaona kuna muda uliwahi kuwa sawa na Wachina.
Kipindi sisi tunakeketa, kurithi wanawake, kuua albino huku hatujui kusoma na kuandika Wachina wana civilization, wanaandika, wana karatasi za kutunzia kumbukumbu, wana gunpowder, wana saa, wana mifumo ya umwagiliaji.