Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Napata shida kujua uwezo wako kiakili huenda hukwenda kabisa shule ndio maana

Kama hujui hata sifa za viumbe hai, Kupumua, kuzaliana, kusogea nk, sifa zote hizo dunia inazo inasogea ndio tunapata majira na usiku na mchana, inapumua thats why shimo la choo nyumbani kwako umeweka bomba la kutoa hewa, inazaa shambani kwako unavyogeuza ardhi ukatupia punje ya mbegu mmea unatokea

Basi tukae hapo kwenye kuzaa ni kuimbe cha jinsia gani kinachopokea mbegu kisha chenyewe kikatoa kiumbe kama sio cha kike

Urutubishaji wa mbegu mpaka igeuke kuwa mmea unafanyika wapi mkuu, tatizo waTanzania muliokuwa wengi (sio wote lkn) mnachukulia vitu juu juu bila kufanya tafiti hujui kuhusu hicho kitu unaleta ubishi na matusi
 
Samahani lkn mkuu umeishia darasa la ngapi kielimu, akili zinatofautina kulingana na malezi tunayopata kwa wazazi na jamii iliyotuzunguka bila kusahau shule pia

Iko hivi 80% ya binadamu wote duniani wanazaliwa wakiwa empty vitu wanaanza kujifunza taratibu dunia (tunapishana kwenye uwezo wa kupokea na kuhifadhi tu) kuna wengine wanaelewa mapema na kuna wengine wanachelewa kuelewa bila kusahau masuala ya IQ

Wewe hapo inawezekana hauwezi kula nyoka, mende, panya nk, ila ungezaliwa china ungekula vitu hivyo pamoja na uafrika wako

Mchukue mwanao akiwa na miezi kadhaa mpeleke ulaya aishi huko mpaka miaka 30 kisha mrudishe uone kama utaweza kuongea kilugha na wazee wako

Kama akili tunazaliwa nazo why asijue wakati wewe mzazi wake sio wa kutoka ulaya

Akili inajazwa huku dunia
 
Kwenye uandishi wangu wapi nmesema maisha mazuri yameletwa na mwafrika? Nilichosema kama ujamaa ungeendelea kusingekuwa na hili gep, kwanza kwenye ujamaa hakuna ushindani, tunashindana nini wakati mali ni za kwetu wote

Ubepari ndio umekuja kuharibu kila kitu, tumekuwa na serikali kuna fedha nk au hujui kama serikali hizi kuna namna dini yenu (bible) imezitenga kwa namna fulani
Yesu alipoulizwa je, ni halali kulipa kodi? Alijibu "ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu"

Unavyoelewa hapo Kaisari ni nan? Why apewe vyake, je, hivyo vyake ni vipi?

Sema akili yako ndogo mkuu (kusema akili yako ni ndogo sijakutukana nimesema mtazamo uliokuwa kweli) na hutaki kuishugulisha unakariri vitu na unajitia ubishi kwenye vitu usivyovijua
 
Hahaha! Jamaa mmoja alisema unaweza kusoma Sana na ukawa umeongeza ujinga vilevile. Wewe ndugu yangu hata tukichukulia kwamtazamo wako kuwa dunia Ni jike hahaha bado wewe Ni muongo. Chukulia mbegu za kiume ndizo Zinarutubisha yai vivyo hivyo ardhi imebeba rutuba kurutubisha mmea so haiwezi kuwa ya kike acha uongo wako siku nyingine.
 
JF wajinga ni wengi sana
Afadhali mjinga huelimishwa akaelewa. Ila wewe ni mpumbavu. Mpumbavu sikuzote hujifanya anajua kila kitu na kuwadharau wengine. Hujifanya mwerevu kuliko wengine, kumbe yeye ndiye bichwa lake limejaa upuuzi mtupu.
 
Kunielewa itakuwa ngumu sana mkuu, akili yako ipo hivyooo huwezi nielewa

Hizi sayari zipo tofauti tofauti dunia (earth) ni miongoni mwa sayari zenye sifa ya kuwa kiumbe na hii earth ina sifa za kike ndani yake

Hiki kilichopo hapa dunian kuna sayari zingine hakipo kuna sayari zingine hazina hewa hii tunayovuta (oxygen) ukipelekwa huko unakufa kama hautakuwa na vifaa vya kupumlia, pia sayari hizo zingine hazina mimea haziwezi kuzaa zipo kama jangwa

Lkn mwanaume hazai anazalisha, yeye anatoa mbegu kwenda kwa mwanamke kisha process ya kukifanya kiumbe inafanyika kwa mwanamke

Vivyo hivyo dunia haitoi mbegu bali ni yenyewe inapokea kisha inafanya hiyo process ya kutoa kiumbe hata hapa huelewi pia

Basi utakuwa na akili ngumu sana, lkn pia mkuu kujifunza hakuna mwisho mm sijachoka kujifunza akili yangu ipo wazi mda wote napokea kila kitu ndio nifanye uchambuzi

Thats why siwezi kusikia kitu tofauti kutoka kwa wengine nikatukana, mm napokea nafanya uchambuzi hata wewe ungeweza ungenishawishi kwa fact ningepokea nikafanya uchambuzi lkn wewe umeegea matusi, ni mtu ambaye hutoi kitu upo tayari kukomenti tu tena matusi

Mtu mmoja aliwahi niambia kitu kuhusu waafrika ukitaka kuandika kitu kuwahusu weka picha nyingi sio maandashi maana ni wavivu kusoma

Umenifanya niangalie post zako za nyuma na nmekuta 98% ya post zako wa watu ni matusu mtupu unatukana sana mkuu
 
Narudia tena wewe ni mpumbavu. Jirekebishe uwaje kujifanya mjuaji wa kila kitu. Mpuuzi mmoja usiyejitambua.
Nyie matahira huwa mnaishi kama misukule tu hamwezi kuhoji. Mnalishwa hadi choo mnashukuru. Kama mbayuwayu hamchanganyi na zenu sababu hamna akili.
 
Hakuna kitu hakina mmiliki wake. The owner of this universe yupo tu
 
Huna akili
 
Wale waliwahi kujitambua
 
Uligundua nilikuwa nawatukana watu wa dizaini gani? Mtu anayetumia akili yake ipasavyo hawezi fokewa na Mimi kamwe.

Utawezaje fanya mabadiliko maishani kwa hoja zako za utumbo wa njiwa kwa kukosoa kitabu kilichokubaliwa na bilions of people dunia nzima? Kama si kuwahadaa watu wenye uwezo finyu Kama wako. Tanzania tu hapa hujulikani dunia itakujua lini?

Na nikueleze tu kwamba; ukitaka kudharaulika na wengi jaribu kukashfu imani utapata matokeo yako.
Dunia Ni mwanamke, yaani umeona gesi inatafuta sehemu ya kupitia kutoka shimo la choo tayari umeona dunia inapumua hahaha wewe kweli ngosha
 
Zingekuwa hekaya zisingekuwa gumzo
Ni coincidental circumstances tu ndugu yangu Mashana. Lakini pia investigations bado zinaendelea kubaini chanzo halisi cha moto. Usije kuta kuna mlevi tu alitupa kichungi cha fegi porini moto ukashika.
 
Mwenyez Mungu hadhihakiwi kwamaana kila apandacho mtu ndicho atakachovuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…