Hahaha,umeandika nusu sentensi,hujaeleza Kwanini hajui chochote..Hajui chochote
Nani kaifanya Tanzania iwe Shamba la Bibi!?Unaposema serikali haitakiwi kuwa kiranja kwa sekta binafsi unamaanisha nini?
Sisi wawekezaji tunatakiwa kufanya kazi zetu tukifuata sheria za nchi na taratibu zote zinazosimamia sekta tunazowekeza.
Na ni jukumu la serikali kuhakikisha kunakua na usalama wa kutosha kwa mwekezaji, watendaji wake, na nchi kwa ujumla.
Wapo wawekezaji wenye hata waliokuja na mitaji ya pesa, wapo waliokuja na pesa na vifaa, wapo waliokua na utaalam. Kikubwa ni kuhakikisha unafata taratibu kwa usalama wako na wengine
Tanzania tulishakua shamba la bibi sanaa wacha sasa sheria zifanye kazi. Kutofuata taratibu kunaumiza wengi
Ulishawahi kuona kijana anaeishi na kulipiwa ada na kaka /Dada yake wanaofuatana kuzaliwa?Unaposema serikali haitakiwi kuwa kiranja kwa sekta binafsi unamaanisha nini?
Sisi wawekezaji tunatakiwa kufanya kazi zetu tukifuata sheria za nchi na taratibu zote zinazosimamia sekta tunazowekeza.
Na ni jukumu la serikali kuhakikisha kunakua na usalama wa kutosha kwa mwekezaji, watendaji wake, na nchi kwa ujumla.
Wapo wawekezaji wenye hata waliokuja na mitaji ya pesa, wapo waliokuja na pesa na vifaa, wapo waliokua na utaalam. Kikubwa ni kuhakikisha unafata taratibu kwa usalama wako na wengine
Tanzania tulishakua shamba la bibi sanaa wacha sasa sheria zifanye kazi. Kutofuata taratibu kunaumiza wengi
Hukunielewa mkuu, Jiwe ndiyo hajui chochoteHahaha,umeandika nusu sentensi,hujaeleza Kwanini hajui chochote..
Wewe ni mfano mwengine wa Mwafrika chini ya Jangwa la Sahara..
Unaongozwa na hisia kuliko uhalisia wa jambo husika
Haitoleta faida yoyote kwako kama ukiyakubali au ukiyakataa aliyo sema Lisu
Inawezekana hajui,hayo ni mawazo yako, mawazo yangu mimi anajua kuliko huyu Raisi tulienae..
Mitaani kila mtu analia na njaa,biashara zinafungwa,makampuni yanakimbia Nchi
Wewe unaaandika hajui chochote bila kufafanua nini tufanye kama taifa
Nani kaifanya Tanzania iwe Shamba la Bibi!?
Tangu tujikomboe tumetawaliwa na chama kimoja,fikra moja,utendaji mmoja wa CCM,..
CCM ndio walioifanya Tanzania kuwa shamba la Bibi hakuna wengine,wao ndio wa kulaumiwa..
Mabadiliko ni muhimu kama nchi inataka kuendelea kiukweli
Tusiogope fikra mpya,mawazo mapya utendaji mpya, maendeleo yanaletwa na mabadiliko
CCM must go,so as to achieve,bila hivyo Tanzania itazidi kudidimia
Tafakari..
Free Mazurui and all Political prisoners
Ulishawahi kuona kijana anaeishi na kulipiwa ada na kaka /Dada yake wanaofuatana kuzaliwa?
Ndio serikali yetu inavyotakiwa kufanya ichukue majukumu ya ulezi lakini si ya uzazi..
Kuwa mkali unafoka foka hovyo hata wanaowatakukimbia
Sekta binafsi ni ubepari hivyo tukiamua hivyo tuachie kila kitu kiende sawa cha msingi tuhimize wananchi kushirikiana na watu wanje pasiwepo na mtu ambae anatoka nje anakuja endesha project for 100%
Hilo la kusema tutageuzwa shamba la bibi hapana. Serikali iwabane watumishi wake wanaishi chupi kua sekta binafsi na sii wajasiriamali.
Tambua kuwa gharama za maisha zinapanda kila kukicha unataka gharama ya kwenda Mbeya mwaka 1995 iwe sawa na ya 2020!! Huko vyuoni mnaenda kusomea nini?.Miundombinu hujengwa kulingana na uhitaji ndio maana tangu nazaliwa nilipanda train kutoka Mbeya na lami ilikuwepo. Msimpe kichwa akajiona kafanya makubwa kuwazidi wenzake wakati ndiye aliyeharibu kuliko yeyote.
Kabla hajaingia madarakani watu walikua wanasafiri kwa ndege za bei rahisi. Unajua hivi sasa tiketi moja ya kwenda Mbeya ni bei gani?
Acheni upumbavu
Hivi huyo Pimbi wenu ana kitu gani anaweza kufanya akafanikiwa ? Mtu empty head tabulalasa mindset ya dark ages anaweza leta maendeleo ?Juzi tarehe 13. 11 Rais alitoa hotuba ya ufunguzi wa Bunge Dodoma na kuahidi kuimarisha na kushamirisha sekta binafsi nchini ili iweze kuchangia kwenye ukuaji wa uchumi. Mimi ninakubaliana na hatua hizo kwa vile hakuna taifa duniani lililoendelea bila sekta binafsi.
Kimsingi ni kweli sekta binafsi ni injini na mhimili wa uchumi. Sekta binafsi hutengeneza ajira, hulipa kodi, husaidia kunawirisha sekta za afya, elimu na teknolojia nk. Kwa msingi huo ninashauri serikali iendelee kutengeneza mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji hususani watanzania.
1. Hii ni pamoja na kupitia upya sera, sheria, kanuni, taratibu na mifumo kandamizi ya kodi, tozo, na nyinginezo za kazi,uwekezaji nk
2. Kwa sasa serikali iongeze uwanja wa kufanya biashara na sekta binafsi kwa vile ndiyo mtumiaji mkubwa wa huduma zitolewazo na sekta hiyo.
3. Kuimarisha miundo mbinu na kuendelea kupunguza gharama za uzalishaji hapa nchini kwa kudhibiti rushwa, bei ya umeme, maji, leseni, kodi, riba nk
4. Mifumo ya malipo ya Serikali kwa mtandao au digitali iendelee kutumika imesaidia sana kupunguza urasimu na rushwa ni mizuri sana nk
Na mageuzi mengine yanahitajika kwa sasa ili kujenga uchumi wenye ushindani na kama alivyosema Rais kuifanya Tanzania kitovu cha biashara kikanda na kuvutia wawekezaji. Tutumie fursa tulizo nazo kuboresha uchumi wetu. Muda ni mchache Mambo ni mengi sana.
Tuliposema hapa jukwaani miaka michache iliyopita ni kuwa Magufuli anaua sekta binafsi kwa kasi kubwa sana!Ukisoma ilani ya CCM halafu ukasikiliza Ile speech ya kufungua bungebunge utaweza kujipanga kujua wapi uongeze nguvu.
Kwa upande wa mikopo midogomidogo SME serikali imejipanga, wananchi tujipange, banks na taasisi za fedha wajipange pia
Maendeleo hayana vyama
Tuliposema hapa miaka kadha iliyopita kuwa JPM anaua sekta binafsi mlitutukana sana!Hapa ndipo MAENDELEO yataenda speed ya 5G..asante Rais Magufuli kwa kuliona hili, sekta binafsi ni muhimu kwa MAENDELEO ya TANZANIA.
Sekta binafsi kaua yeye mwenyewe leo anazitaka tena?
Una uhakika kwa haya uliyoandika?matatizo makubwa tuliokuwa nayo Waafrika chini ya Jangwa la Sahara ni mfumo wetu wa kufikiri.Hakuna anayeogopa fikra mpya,mawazo mapya utendaji mpya, maendeleo yanaletwa na mabadiliko kama vitakua na maslahi mapana ya taifa. Shida ni ubinafsi na kulazimisha uharamia uliokua umehalalishwa uendelee
CCM imebadilika tena mabadiliko chanya wakati Wapinzani sasa ndio wamevurugika, wako tayari kuiita nyeupe nyeusi.
Na hili ni dhahiri kabisa kwamba wapinzani waliokua wakijiita wapenda haki na wachukia rushwa walikua wakishirikiana mengi na wanaccm waliokua wala rushwa kwa maslahi binafsi. Sasa wale wanaccm wamekatiwa mirija wameungana na wapinzani kuipinga serikali ya rais John Pombe Magufuli.
Ule mfumo mbovu ulishavunjwa na ccm baada tuu ya NEC kumkata Lowasa na kupokelewa kwa shangwe kule CHADEMA.
CCM hai go popote, tena sasaivi imetengamaa kuishi miaka mingine 100 bila kutikiswa
CCM ni chama sio mtu, Lowasa na kundi lake walichafua nchi, amekuja John Pombe Magufuli imeiheshimisha nchi
Maneno hayaendani na matendo yenu,na hiyo ni dosari kubwa mno,kuaminiwa kwa aliejiondolea hali ya kuaminika ni sawa na imani ya kuhamisha mlima kwenda mahalia pengine.Ukisoma ilani ya CCM halafu ukasikiliza Ile speech ya kufungua bungebunge utaweza kujipanga kujua wapi uongeze nguvu.
Kwa upande wa mikopo midogomidogo SME serikali imejipanga, wananchi tujipange, banks na taasisi za fedha wajipange pia
Maendeleo hayana vyama
Una uhakika kwa haya uliyoandika?matatizo makubwa tuliokuwa nayo Waafrika chini ya Jangwa la Sahara ni mfumo wetu wa kufikiri.
Wazungu wanatuita sub human being, binaadamu tuliokuwa hatajaubwa tukakamilika
Waafrika weusi tunatanguliza HISIA zetu katika kuwaza,kuamua,kulea Watoto wetu Katika kujenga hoja,nk
Naona hayo ndio yaliokukuta Wewe, HISIA za kupenda chama zimekukakaa,
Nani alazimisha baina ya Wapinzani na Chama tawala!?
Nani amevurugika kama sio Chama Tawala, ..hao waliokimbilia Upinzani si wamerudi CCM,yuko Lowasa na wenzake?
Uchaguzi jinzi ulivyoendeshwa ni ushahidi tosha kuwa Chama tawala kimevurugika,kimechanganyikiwa
Mfumo mbovu gani umeshavunjwa,?..CCM imetawala Tanzania tangu tupate uhuru lakini bado hawajui ni mfumo gani waiendeshe Tanzania
CCM haijui Kama wao ni ma socialist,ma kommunist,wa Capitalist, wamechanganyika na hapa ndipo walipo feli
Kikwete alikuja na mfumo mzuri, sekta binafisi zilikuwa zimeshaanza kutia Sura,..
Huyu jamaa Magu kaondoa ule mfumo amekuja na wake ambao hata Nyerere ulimshinda..
Pale unapopeleka tenda zote kwa vyombo vya serikali maana yake huo ni usochalist,maana yake ni KUUWA sekta binafisi,mfumo ambao Dunia nzima umeukataa Hata hao waliouazisha
CCM imekaa Madarakani muda mwingi kiasi ambacho wamejisahau,wanaanza KUTEKA, KUTESA, KUPOTEZA wote wanakuja na MAWAZO na FIKRA mpya
Ili Tanzania ifanikiwe kimaendeleo ya KIUCHUMI, KIMAADILI inahitaji MAWAZO na MFUMO wa kutuongoza
CCM must quit, CCM must go,56 years is enough..
Free Mazrui and all Political prisoners
Tujipange katika kipi?Dig more!Ukisoma ilani ya CCM halafu ukasikiliza Ile speech ya kufungua Bunge utaweza kujipanga kujua wapi uongeze nguvu.
Kwa upande wa mikopo midogomidogo SME Serikali imejipanga, wananchi tujipange, banks na taasisi za fedha wajipange pia
Maendeleo hayana vyama
Valid Point.Nakupenda sitaacha kukufundisha ili ujue.
Ili sekta binafsi ikue ni lazima serikali ipunguze sana ushiriki wake katika biashara
Pili lazma Uhuru binafsi wa makampuni na wajasiriamali uongezeke maradufu
Tatu,sheria kandamizi lazima zifutwe ili kutoa mwanya kwa ma kampuni kufanya biashara ,sheria kama za uhujumu uchumi, sheria za kodi nk. Nne,nilazima serikali ibadili mfumo wa kodi kwa wajasiriamali hasa wanapoanza
NB: Kuinua sekta binafsi ni KUIPUNGUZIA SERIKALI MAJUKUM NA MAMLAKA, je jiwe yupo tayar kupunguza mamlaka yake?
Bado haaminiki. Sekta binafsi imeteseka sana miaka 5 ya utawala wake. Wengi wamefunga biashara na kufilisika. Tunamchungulia kwa mbali kwanza.LISU,alishawahi kusema katika kampeni alipoulizwa kuhusu sekta binafisi..
Alisema ili kuzikuza sekta binafisi Serikali lazina zizilinde...
Inamaanisha kuwa serikali lazima zizipe tenda kampuni binafsi,zizikopeshe,zizipe kodi zilizokuwa rafiki nk..
Mzee wa Matajiri wataishi kama MASHETANI ataweza kweli kufanya hivyo?
Sawa, huo ni msimamo na mtazamo wakoNina uhakika 100% ya yote niliyoandika.
Nitaendelea kusema kwamba CCM imebadilika tena mabadiliko chanya wakati Wapinzani sasa ndio wamevurugika, wako tayari kuiita nyeupe nyeusi.
Kama mnaweza kumchukua mliyemuita fisadipapa Lowasa baada ya kunyimwa kugombea urais CCM, mkamsafisha na kumpa nafasi ya kugombea urais kwenu hiyo ni nini kama sio kuvurugwa
Kariakoo frem ya duka ilikuwa million moja kwa mwezi.. wakati wa KikweteBado haaminiki. Sekta binafsi imeteseka sana miaka 5 ya utawala wake. Wengi wamefunga biashara na kufilisika. Tunamchungulia kwa mbali kwanza.