Ninakubaliana na Rais, hiki ni kipindi cha kuimarisha Sekta Binafsi

TRA bado kuna shida na kuna rushwa. Usipojua kinachoendelea utasumbuka sana. Hawa wanawabambikia sana watu kodi ndio maana biashara zinanywea.
Kama kodi ya mfanyakazi inajulikana na haikadiriwi, kwanini kodi za wafanyabiashara TRA wanatoa makadirio? Ndio hapo panaanza rushwa
 
Ni kweli Rais aanze na TRA bado wanabambika kodi sana na kuua mitaji ya watu ingawaje pia sheria nayo inapaswa iangaliwe kwa vile huzalisha faini na riba zisizolipika. Hilo siyo tatizo lao ni sheria. Tatizo lingine la TRA ni kutotoa elimu ya kutosha kuhusu masuala ya kodi na uhamasishaji wabadilike wasifanye kazi kwa mazoea. Wawe wabunifu wa mikakati rafiki ya kodi.
 
TRA wanatakiwa kubadilika.
Kuna vitu wanaweza kunshauri mteja ili apate kuelewa taratibu asipate hasara lakini hawafanyi.
Wao wanasubiria deadlines kisha wanawalipisha watu na penalties.

Wafanyabiashara wengi haswa wadogo hawajui taratibu za kodi kabisa. Unakuta mtu anajua akishakua na leseni basi, au akiamua kufunga biashara anafunga office kimyakimya tuu bila kufata taratibu matokeo yake akirudi anakutana na dhahama

TRA wasipokua karibu na wateja kuwapa miongozo sahihi mitaji itakufa na wananchi wataichukia serikali yao
 
Fast Jet na mashirika mengine madogo ya ndege ni sehemu ya sekta binafsi mliyoshiriki kuyauwa.
 
Ni kweli Rais aanze na TRA bado wanabambika kodi sana na kuua mitaji ya watu ingawaje pia sheria nayo inapaswa iangaliwe kwa vile huzalisha faini na riba zisizolipika. Hilo siyo tatizo lao ni sheria. Tatizo lingine la TRA ni kutotoa elimu ya kutosha kuhusu masuala ya kodi na uhamasishaji wabadilike wasifanye kazi kwa mazoea. Wawe wabunifu wa mikakati rafiki ya kodi.

Hawatoi elimu ili wanufaike nayo wakati wa kubargain. How come wanaweza kuja na deni say Mil 60. Baadae linashuka mpaka 15 kama wamewezeshwa. Wanatumia vibaya nafasi zao
 
☝️Hiko ndio kinachotokea hata uko kwa wenzetu ukichelewa ku file tax returns kuna surcharges and penalties.

Ukivuka threshold ujaji sajili voluntary wakija fines na estimates juu.

Huna separate VAT account, fines; invoice aina vat number fines, etc.

Huna records fines and estimates juu; etc. Vitu vya kawaida kwa wenzetu sisi tunaona uonevu.

Mada za kodi Tanzania upati picha halisi nini kinacholamimikiwa issue ni fines, estimated, scheme inayotumika?

What exactly is the problem. Unakuta mtu analalama tu pengine tatizo ni yeye.
 
Mkuu tindo lini utaondoks kwenye kifungo cha kifikra usiwe tegemezi?

Je, kuna kiongozi yeyote upinzani, kwa sasa, mwenye sifa za kuwa Rais wa nchi hii?

Ni yapi yaliahidiwa na CCM (kama yalivhoainishwa kwenye Ilani) Serikali yake haikutekeleza?

TUACHANE NA SIASA ZA MAJUKWAANI ZIMEPITWA NA WAKATI

Nimecheka eti lini nitatoka kifungoni, kwakuwa ww uko kifungoni basi unaamini wote wako kifungoni kama wewe?

Kuhusu kuwa rais wa nchi hii, achia tu mtu kutoka upinzani, mtu yoyote mwenye akili timamu, narudia tena, mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuwa rais wa nchi hii. Nchi yenye katiba ambayo rais hashitakiwi kwa lolote akiwa madarakani au akiwa katoka. Kiongozi ambaye hata ukimpa ushauri hana ulazima wa kuutekeleza, nani atashindwa kazi kama hiyo? Kazi ambayo JK na Magufuli wameweza nani atashindwa?

Yaliyoandikwa na ccm ambayo hayakutekelezwa, kwanza utekelezaji wa mambo ya ccm haujali yaliyoandikwa, bali anayotaka rais. Katika mazingira hayo huwezi kuwa na kipimo halisi ya usemacho,lakini kwa uchache ni
  1. 50m kijiji
  2. Viwanda 100@mkoa
  3. Wanafunzi kupata mimba kuruhusiwa kurudi shule, ipo ndani ya ilani ya ccm lakini rais hataki.
  4. Ajira
NB: Unaweza kuniambia ni wapi pesa zilizoporwa burea de change zilipoenda?
 
Wewe ata biashara utakuwa huna ndani ya Tanzania.

TRA awaangaiki na mtu ambae taxable turnover yake aizidi 2 million hiyo ndio threshold kwa mwaka.

Ukizidisha threshold ya 2 million ndio unatakiwa ujiunge na mfumo rasmi wa kodi na TRA chini ya hapo kodi yako ni kitambulisho cha ujasiriamali unacholipia elfu 20.
Mkuu,nina biashara mbili, lakini hoja sio kama mimi nina biashara au sina..

Hoja ni mfumo mbovu wa kukusanya Kodi,wa serikali ya CCM,unaoleta umasikini Katika jamii

kitambulisho cha elfu 20,analipa mama nitilie na analipa muuza kahawa barabarani..

Faida ya mama lishe na faida ya muuza kahawa barabarani zinatafautiana Lakini wote wanalipa kodi ya elfu 20

You see,monkey talk monkey dance..
 
Standard rate ya VAT Tanzania kwenye taxable goods and services ni 18% na wao wanauza taxable products TRA ingesema ikomalie vat ya kikombe cha chai na kitumbua wangeweza kweli?

Ndio utaratibu huo nchi za wenzetu; kipi bora elfu 20 au wasajiliwe TRA? Kwanza watu wenyewe wanaipotezea kodi sana serikali hasa machinga.

Sio kila kitu kupinga tu.
 
Bora waachiwe tu,wasilipe elfu 20 wala wasijaliwe TRA...

Huo ndio Uzalendo,hivyo ndivyo kumsaidia Mtanzania masikini..

Sio kila biashara laazima ilipowe Kodi..
 
Standard rate ya VAT Tanzania kwenye taxable goods and services ni 18% na wao wanauza taxable products TRA ingesema ikomalie vat ya kikombe cha chai na kitumbua wangeweza kweli?

Ndio utaratibu huo nchi za wenzetu; kipi bora elfu 20 au wasajiliwe TRA? Kwanza watu wenyewe wanaipotezea kodi sana serikali hasa machinga.

Sio kila kitu kupinga tu.
VAT=Value Added Tax
Mkuu,sijazungumzia VAT, nimezungumzia TAX,hivi ni vitu viwili tafauti mfanyabiashara analipa kwa Serikali

Sio lazima kila mfaanyabiashara alipe VAT,bali ni lazIma Kwa kila biashara kulipa TAX..

.
 
Utalipaje profit tax, wakati you are not registered with TRA?

Halafu ungejua hiyo ndio kodi rahisi kweli kui manipulate kama unazielewa allowed expenditures.
 
Huwezi kufungua Biashara bila ya Kiji registered,..

Hoja ni kwamba Mfumo wa kukusanya kodi unaotumiwa TRA ni kamdamizi sio rafiki kwa mfanyabiashara

Kila Biashara lazima ilipe KODI/TAX kutokana na faida..

TRA haikusanyi Kodi kutokana na faida anayopata mfanyabiashara bali inakusanya kutokana na biashara aliofungua mfaanyabiashara

Wewe umekuja na stori ya VALUE ADDED TAX na mambo mwengine ambayo hayahusiani na hii hoja

Sasa unakuja na hoja ya mfanyabiashara KUSAJILI biashara..

Try to focus on one issue,Bro,..TRA way of collecting TAX is it user friendly or not..
 
Machinga na mama ntilie wanajiandikisha wapi?

Pili nimeuliza scheme ya kodi ikoje ni cash au accrual accounting.

Ni hivi kodi aikadiriwi tu from no where wala fines azitolewi tu ovyo ovyo (it is either estimated through past income or future projection based on sales trend).

Na isitoshe usipokubali ndio maana kuna tax tribunal kutatua dispute.

Tatizo hapa ni uelewa wa accounting procedures na sheria za nchi; na watu wenyewe wakipata matatizo wanatumia mawakili ambao awajasoma ata accounting.

Nchi za wenzetu kuna njia tofauti za kuupata uwakili especially kwenye specialization lakini uwezi kuwa tax lawyers if you don’t even know your accounts processes.

Mtu anajisomea sheria tu wakati hajui ata accounts akuwakilishe sitoshangaa TRA kwanini mara nyingi wana shida hizi kesi.
 
Machinga na mama ntilie wanajiandikisha wapi?

Pili nimeuliza scheme ya kodi ikoje ni cash au accrual accounting. Ni hivi kodi aikadiriwi tu from no where wala fines azitolewi tu ndio maana kuna tax tribunal kama kuna dispute.

Tatizo hapa ni uelewa wa accounting procedures na sheria za nchi.
Nafikiri nimeshakutolea mfano katika post za nyuma..

Mfano wa wafanya Biashara wawili wa Biashara ya Vijora, mmoja anapata faida ya laki tano, mwengine ana pata faida ya laki moja siku..

Hawa wote wanalipa kodi ya aina moja kwa TRA,kwa mwaka,..

Kigezo cha TRA KUKADIRIA KODI ni Biashara Gani UNAFANYA sio faida ya BIASHARA..

Hata mfanya biashara akienda na malakamiko,mfano biashara yake ndogo,faida hakuna nk

TRA wanakomaa na makadirio Yao,Kwa mantiki hiyo ndio maana nasema kuwa mfumo wa TRA wa kukusanya Kodi ni KAMDAMIZI..
 
Laki moja kwa siku mpaka laki tano kwa siku ina maana hizo ni biashara zenye mapato ya kati ya millioni 36 mpaka 200 na ushee kwa mwaka. Kwa ivyo ni walipa kodi wa TRA.

Twende taratibu

Haya hiyo laki moja kwa siku Gross au profit before tax?
 
Laki moja kwa siku mpaka laki tano kwa siku ina maana hizo ni biashara zenye mapato ya kati ya millioni 36 mpaka 200 na ushee kwa mwaka. Kwa ivyo ni walipa kodi wa TRA.

Twende taratibu

Haya hiyo laki moja kwa ni Gross au Net profit?
Kaka,huo ni mfano tu

Biashara aina moja zinamilikiwa na Watu wawili tafauti ,faida tafauti,wote wanalipa kiwango cha Kodi kilichofanana

Hoja hapa sio net profit au gross profit anayopata mfanyabiashara..

Hoja ni Ufumo mbovu wa KUKUSANYA na KUKADIRIA Kodi unaotumiwa na Tanzania Tax Revenue

Kaka,nafikiri umekwenda chuo kuzidisha UJINGA..

This case has been officially terminated..

Bye bye..
 
Tatizo lako wewe unajiongelea na kusikiliza story za vijiweni profit tax inalipwa in percentage and you have to produce an income statement before that.

Sasa mtu mwenye faida ya millioni 36 kwa mwaka atakadiriwaje kodi sawa na mfanyabiashara mwenye faida ya millioni 200.

Acha kupayuka vitu usivo vijua. Not sure even if you know the difference between CoS and your expenses. Let alone tuanze kuongelea maswala ya credits na debits za differed taxes and how they are treated next year kama kweli umekadiriwa kodi.
 
Kaka, Waafrika chini ya Jangwa la Sahara wenzetu wanatuita Sub human beings, Binaadamu tulilokuwa hatujakamilika kuumbwa..

Nchi zetu zimejawa na rasilimali za kila Aina, lakini ni nchi maskini kupita nchi zote duniani

Waafrika weusi Hisia zimetawala maamuzi kuliko uhalisia wa Jambo husika

Mfano mzuri wa Mwafrika chini ya Jangwa la sahara ni Wewe,inawezekana umesoma unajua mambo ya Biashara

Lakini maamuzi yako yamejawa na hisia kuliko uhalisia wa haya tunayo comments kweye huu mjadala

Unapindisha pindisha.stori kutokana na hisia zako za kuipenda Chama chako na serikali yako

Costs, benefits, expenses, credit,debits,bla bla bla, hayo mambo hayahusiani na huu mjadala

Kama Wasomi Wenyewe ndio kama nyinyi basi, Tanzania as a country has got a long way to go
 
Back
Top Bottom