Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 3,559
- 4,255
Ni kweli Rais aanze na TRA bado wanabambika kodi sana na kuua mitaji ya watu ingawaje pia sheria nayo inapaswa iangaliwe kwa vile huzalisha faini na riba zisizolipika. Hilo siyo tatizo lao ni sheria. Tatizo lingine la TRA ni kutotoa elimu ya kutosha kuhusu masuala ya kodi na uhamasishaji wabadilike wasifanye kazi kwa mazoea. Wawe wabunifu wa mikakati rafiki ya kodi.TRA bado kuna shida na kuna rushwa. Usipojua kinachoendelea utasumbuka sana. Hawa wanawabambikia sana watu kodi ndio maana biashara zinanywea.
Kama kodi ya mfanyakazi inajulikana na haikadiriwi, kwanini kodi za wafanyabiashara TRA wanatoa makadirio? Ndio hapo panaanza rushwa
Ni kweli Rais aanze na TRA bado wanabambika kodi sana na kuua mitaji ya watu ingawaje pia sheria nayo inapaswa iangaliwe kwa vile huzalisha faini na riba zisizolipika. Hilo siyo tatizo lao ni sheria. Tatizo lingine la TRA ni kutotoa elimu ya kutosha kuhusu masuala ya kodi na uhamasishaji wabadilike wasifanye kazi kwa mazoea. Wawe wabunifu wa mikakati rafiki ya kodi.
Mkuu tindo lini utaondoks kwenye kifungo cha kifikra usiwe tegemezi?
Je, kuna kiongozi yeyote upinzani, kwa sasa, mwenye sifa za kuwa Rais wa nchi hii?
Ni yapi yaliahidiwa na CCM (kama yalivhoainishwa kwenye Ilani) Serikali yake haikutekeleza?
TUACHANE NA SIASA ZA MAJUKWAANI ZIMEPITWA NA WAKATI
Mkuu,nina biashara mbili, lakini hoja sio kama mimi nina biashara au sina..Wewe ata biashara utakuwa huna ndani ya Tanzania.
TRA awaangaiki na mtu ambae taxable turnover yake aizidi 2 million hiyo ndio threshold kwa mwaka.
Ukizidisha threshold ya 2 million ndio unatakiwa ujiunge na mfumo rasmi wa kodi na TRA chini ya hapo kodi yako ni kitambulisho cha ujasiriamali unacholipia elfu 20.
John huyu..John Pombe Magufuli au John mwengine?MkuuNakuona John, na a/c yako ya kike.
Hakika unafanya kaz nzuri sana.
Standard rate ya VAT Tanzania kwenye taxable goods and services ni 18% na wao wanauza taxable products TRA ingesema ikomalie vat ya kikombe cha chai na kitumbua wangeweza kweli?Mkuu,nina biashara mbili, lakini hoja sio kama mimi nina biashara au sina..
Hoja ni mfumo mbovu wa kukusanya Kodi,wa serikali ya CCM,unaoleta umasikini Katika jamii
kitambulisho cha elfu 20,analipa mama nitilie na analipa muuza kahawa barabarani..
Faida ya mama lishe na faida ya muuza kahawa barabarani zinatafautiana Lakini wote wanalipa kodi ya elfu 20
You see,monkey talk monkey dance..
Bora waachiwe tu,wasilipe elfu 20 wala wasijaliwe TRA...Standard rate ya VAT Tanzania kwenye taxable goods and services ni 18% na wao wanauza taxable products TRA ingesema ikomalie vat ya kikombe cha chai na kitumbua wangeweza kweli?
Ndio utaratibu huo nchi za wenzetu; kipi bora elfu 20 au wasajiliwe TRA? Kwanza watu wenyewe wanaipotezea kodi sana serikali hasa machinga.
Sio kila kitu kupinga tu.
VAT=Value Added TaxStandard rate ya VAT Tanzania kwenye taxable goods and services ni 18% na wao wanauza taxable products TRA ingesema ikomalie vat ya kikombe cha chai na kitumbua wangeweza kweli?
Ndio utaratibu huo nchi za wenzetu; kipi bora elfu 20 au wasajiliwe TRA? Kwanza watu wenyewe wanaipotezea kodi sana serikali hasa machinga.
Sio kila kitu kupinga tu.
Utalipaje profit tax, wakati you are not registered with TRA?VAT=Value Added Tax
Mkuu,sijazungumzia VAT, nimezungumzia TAX,hivi ni vitu viwili tafauti mfanyabiashara analipa kwa Serikali
Sio lazima kila mfaanyabiashara alipe VAT,bali ni lazIma Kwa kila biashara kulipa TAX..
.
Huwezi kufungua Biashara bila ya Kiji registered,..Utalipaje profit tax, wakati you are not registered with TRA?
Halafu ungejua hiyo ndio kodi rahisi kweli kui manipulate kama unazielewa allowed expenditures.
Machinga na mama ntilie wanajiandikisha wapi?Huwezi kufungua Biashara bila ya Kiji registered,..
Hoja ni kwamba Mfumo wa kukusanya kodi unaotumiwa TRA ni kamdamizi sio rafiki kwa mfanyabiashara
Kila Biashara lazima ilipe KODI/TAX kutokana na faida..
TRA haikusanyi Kodi kutokana na faida anayopata mfanyabiashara bali inakusanya kutokana na biashara aliofungua mfaanyabiashara
Wewe umekuja na stori ya VALUE ADDED TAX na mambo mwengine ambayo hayahusiani na hii hoja
Sasa unakuja na hoja ya mfanyabiashara KUSAJILI biashara..
Try to focus on one issue,Bro,..TRA way of collecting TAX is it user friendly or not..
Nafikiri nimeshakutolea mfano katika post za nyuma..Machinga na mama ntilie wanajiandikisha wapi?
Pili nimeuliza scheme ya kodi ikoje ni cash au accrual accounting. Ni hivi kodi aikadiriwi tu from no where wala fines azitolewi tu ndio maana kuna tax tribunal kama kuna dispute.
Tatizo hapa ni uelewa wa accounting procedures na sheria za nchi.
Laki moja kwa siku mpaka laki tano kwa siku ina maana hizo ni biashara zenye mapato ya kati ya millioni 36 mpaka 200 na ushee kwa mwaka. Kwa ivyo ni walipa kodi wa TRA.Nafikiri nimeshakutolea mfano katika post za nyuma..
Mfano wa wafanya Biashara wawili wa Biashara ya Vijora, mmoja anapata faida ya laki tano, mwengine ana pata faida ya laki moja siku..
Hawa wote wanalipa kodi ya aina moja kwa TRA,kwa mwaka,..
Kigezo cha TRA KUKADIRIA KODI ni Biashara Gani UNAFANYA sio faida ya BIASHARA..
Hata mfanya biashara akienda na malakamiko,mfano biashara yake ndogo,faida hakuna nk
TRA wanakomaa na makadirio Yao,Kwa mantiki hiyo ndio maana nasema kuwa mfumo wa TRA wa kukusanya Kodi ni KAMDAMIZI..
Kaka,huo ni mfano tuLaki moja kwa siku mpaka laki tano kwa siku ina maana hizo ni biashara zenye mapato ya kati ya millioni 36 mpaka 200 na ushee kwa mwaka. Kwa ivyo ni walipa kodi wa TRA.
Twende taratibu
Haya hiyo laki moja kwa ni Gross au Net profit?
Tatizo lako wewe unajiongelea na kusikiliza story za vijiweni profit tax inalipwa in percentage and you have to produce an income statement before that.Kaka,huo ni mfano tu
Biashara aina moja zinamilikiwa na Watu wawili tafauti ,faida tafauti,wote wanalipa kiwango cha Kodi kilichofanana
Hoja hapa sio net profit au gross profit anayopata mfanyabiashara..
Hoja ni Ufumo mbovu wa KUKUSANYA na KUKADIRIA Kodi unaotumiwa na Tanzania Tax Revenue
Kaka,nafikiri umekwenda chuo kuzidisha UJINGA..
This case has been officially terminated..
Bye bye..
Kaka, Waafrika chini ya Jangwa la Sahara wenzetu wanatuita Sub human beings, Binaadamu tulilokuwa hatujakamilika kuumbwa..Tatizo lako wewe unajiongelea na kusikiliza story za vijiweni profit tax inalipwa in percentage and you have to produce an income statement before that.
Sasa mtu mwenye faida ya millioni 36 kwa mwaka atakadiriwaje kodi sawa na mfanyabiashara mwenye faida ya millioni 200.
Acha kupayuka vitu usivo vijua. Not sure even if you know the difference between CoS and your expenses. Let alone tuanze kuongelea maswala ya credits na debits za differed taxes and how they are treated next year kama kweli umekadiriwa kodi.