Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
ndiosawa then tutaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiosawa then tutaendelea
Azidishe kwa mama maana majukumu yote ni mama kuanzia chakula hadi mavazi ya wajukuu. Wababa pesa yote inaishia kwenye ulabu na akienda nyumbani anataka chakula wakati hajachangia hata mia. Yy ni ulabu tu. Nimekaa uchagani najua historia ya wazee wetu was kichagahata haukosei mwaya maana ile ya mama ni yake na ile ya baba itatumika nyumbani so ile unayomuongezea inakua yake tu
ila hela zote hizo unatoa wapi mwenzetu ni freemason au 😂
ni nyie wachqga huku kwingine mababa wako responsibleAzidishe kwa mama maana majukumu yote ni mama kuanzia chakula hadi mavazi ya wajukuu. Wababa pesa yote inaishia kwenye ulabu na akienda nyumbani anataka chakula wakati hajachangia hata mia. Yy ni ulabu tu. Nimekaa uchagani najua historia ya wazee wetu was kichaga
Kwamba ni 5k au 50k? Mtu wa kutoa 500k asingekuja kutoa Uzi wa kuomba ushauri.Nadhani mwenye Uzi haelewi maana K(thousands)
Bilashaka we utakuwa muhayaKwema ndugu?
Naomba mawazo yenu. Mimi mara nyingi kama siyo mara zote, ninaposaidia nyumbani kwa chochote hususani fedha, huwa nazidisha mara mbili kwa mzee wangu.
Juzi hapa nilikwenda kuwaona, nikatoa 500k kwa mama na 500k kwa baba. Stori zikaendelea.
Wakati wa kuondoka ulipokaribia, nilimuita baba chemba nikamtoa 500k kibingwa. Nikamuambia weka mfukoni, ni ya vocha mzee!
Huu ni utaratibu wangu karibu mara zote ninapotembelea nyumbani, au ninapotoa fedha kwa wazee inapobidi.
Sababu hasa ni kwamba naamini ile 500k nyingine ataitumia kutoa mahitaji na yeye hatobakiwa na kitu.
Nakosea kwa hili?
Naomba maoni yenu ndugu zangu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema ndugu?

Ukete majibu tuanze kukushauriKwema ndugu?

Mama zetu wa kiafrika tunawajua Sisi tuache wenyewe, Mimi nikiwa na mchongo nikimtonya Mzee ananipa ABC fanya hivi fanya vile nikimpelekea Bi Mdashi Bi Maza Bi Mkubwa anasema emu nenda ukajadiliane na Baba yako, ushaelewa mpaka hapo? Yaan uende Chemba ukakae na Mzee mujadiliane Ila yeye kukupa ABC ni big NO Mzee si yupo? Haya nenda ukaongee nae mtamalizana huko, kwa ukijua kwa upande huo pia unaona Bora umalizane na Mzee huko huko Chemba na mambo mengine yaendelee kwamba Mzee emu kamatia na hii itakusevu kibingwa, hivyo ndio Wanaume hufanya kuwaokoa Wanaume wenzao ipo siku huko umepalaganyana na Mamsapu ukirudi home kusuluhisha Bi Mkubwa point yake ya Msingi ni hio emu nenda ukaongee vizuri na Baba yako akwambie nini cha kufanya, kwa hio unagundua Baba ana-play big role kwenye family, hopefully utakua umenielewa kwa kiasi chakeShida inakuwa pale unapompa pembeni hii inakuwa km mchongo flan hv kwanini usimpe mbele ya mama hata km ni zaidi maana yeye ndo kichwa pale,au wewe na baba ako mnamuogopa mama enu?
, au mama anashida flan ndo unaamua kumficha?
Je unmuamini kiasi gan mzee km ashiliki vema ktk ujenzi wa familia?
MWISHO.hizo pesa unatoa wap mpaka zingne mmpe baba kifichoni au na wewe unamichongo flan ya makandokando?
Unampa Mama kwa kupitia mlango wa Baba maana cha Baba kinaenda kwa Mama, sijui unanielewa vizuri hapo?Mtume Muhammad SAW amesema unapowasaidia wazazi wako mama yako unampa mara 3 ya kile unachompa baba yako lakini kwa heshima ya baba unampa yeye mwanzo.
Ni kweli wanaume wana majukumu mengi kuliko wanawake lakini kwa upande wa mama aliteseka zaidi na malezi kwa kukesha kuliko baba ndio mama anapewa kipaumbele.
But hongera sana kuwasaidia wazazi baraka zake Mungu zikufikie wewe na kizazi chako.
Upo sahihi 500k uliyompa ni inaenda kwa Mama tena atakua na mara 2 alafu hio 500k unayomuongeza ndio ya kwake Ila utakuta nayo sasa ndio inakua ya matumizi wakati huo kashampa 500k Mama yako hapo ni akili kichwani,.
Cha kukushauri ukimpa mara ya Pili usimpe 500k mpe mara 2 yaan 1M kwa hio atakua na akiba ya 500k pembeni ukiondoa Ile 500k uliyomuongeza ambayo itaenda kwa Mama na Ile 500k ambayo pia itaenda kwa Mama sasa yeye atabakia na 500k ambayo ni ya kwake atajua mwenyewe cha kufanya, tunawajua Mama zetu na hio 500k uliyomuongeza mara 2 mwambie kabisa 500k 1 ndio ya kwake hiyo nyingine ataamua mwenyewe ampe Mama au asaidie matumizi, namaanisha Baba mpenan
Sio kila babaMama zetu wa kiafrika tunawajua Sisi tuache wenyewe, Mimi nikiwa na mchongo nikimtonya Mzee ananipa ABC fanya hivi fanya vile nikimpelekea Bi Mdashi Bi Maza Bi Mkubwa anasema emu nenda ukajadiliane na Baba yako, ushaelewa mpaka hapo? Yaan uende Chemba ukakae na Mzee mujadiliane Ila yeye kukupa ABC ni big NO Mzee si yupo? Haya nenda ukaongee nae mtamalizana huko, kwa ukijua kwa upande huo pia unaona Bora umalizane na Mzee huko huko Chemba na mambo mengine yaendelee kwamba Mzee emu kamatia na hii itakusevu kibingwa, hivyo ndio Wanaume hufanya kuwaokoa Wanaume wenzao ipo siku huko umepalaganyana na Mamsapu ukirudi home kusuluhisha Bi Mkubwa point yake ya Msingi ni hio emu nenda ukaongee vizuri na Baba yako akwambie nini cha kufanya, kwa hio unagundua Baba ana-play big role kwenye family, hopefully utakua umenielewa kwa kiasi chake
Kweli mkuuKuna wazazi wengine huwa wanaweka hela unazowatumia au kuwapa
Na usidhani wazazi wote wanazila hizo hela
Wengine wanasubiri siku ukiyumba utashangaa na yeye anakuita kwa siri na kukuambia hizi za vocha weka mfukoni
What goes around.......