Ninaomba Rasmi niwe Mlinzi wa John Heche,Viongozi wa Chadema mkipata huu Ujumbe tafadhali sana naomba mumfikishie John Heche

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
3,149
Reaction score
14,407
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!

Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mtakaopitia huu Ujumbe,Tafadhali sana naomba mumfikishie Mh.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kwamba ninaomba kwa ridhaa yangu mwenyewe niwe mmoja ya Walinzi wake Binafsi!

Sababu ya mimi kuomba kuwa mlinzi Binafsi ni kwasababu nahitaji kutumia nguvu,Akili na uwezo wangu alionipatia Mwenyezi Mungu kwa ajili ya mtu ambaye nimekuwa nikimkubali kwa muda mrefu!

Hiyo moja,Lakini Pili,Nahitaji kumlinda Mh.John Heche kwakuwa amekuwa mstari wa mbele kuwasemea ukweli watanzania wengi ambao hawana uwezo wa kusema ukweli hadharani,Sote (wenye akili timamu) tunatambua kwasasa nchi hii nzuri yenye kupendeza ukiusema ukweli mbele ya watawala dhalimu basi unakuwa umeuweka uhai wako rehani!,Hivyo nitakuwa ninafuraha kama nitakuwa mmoja wa walinzi binafsi wa Mh.John Heche ili kutimiza hilo lengo tajwa hapo Juu!

Tatu,Mimi ni Mkurya mwenye akili timamu,shababi,Mwenye uwezo wa Kutosha (Physically & Mentally) hivyo nimeona ni muda sahihi kumuunga mkono Mkurya mwenzangu kuweza kulisongesha gurudumu mbele la kusema ukweli ili watanzania wazuri aliowaumba Mungu wafurahie nchi yao nzuri iliyobarikiwa kwa kuwa na rasilimali za kutosha!

Mengine nadhani nitaongea na Makamu mwenyekiti mwenyewe nitakapokutana naye,Siwezi kuyaweka hapa!

Hivyo popote mpatapo ujumbe huu watu wa Karibu na Heche,Tafadhalini mwambieni Kijana kutoka Mogabiri Tarime nina wiwa kuwa Mlinzi wake Binafsi!

Ni hayo tu!
 
Kila la kheri
 
Mkuu kama kweli una hiyo ari, fanya mpango ukaonane na Heche mwenyewe.
Sina mawasiliano yake mkuu,nahitaji kuonana nae yeye mwenyewe!,Ikishindikana nitaenda kijijini kwao kwa mama yake nitamueleza,Uzuri sisi wakurya tuna protoko zetu,Hivyo ni rahisi kukutana naye na akanielewa
 
UMUGHAKA ...wakwetu,

Poti anawindwa sana! Mbele,kati,nyuma,pembeni....ulinzi pekee wa mungu hautoshi....azma yoko na ionwe ifanyiwe kazi
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!

Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mtakaopitia huu Ujumbe,Tafadhali sana naomba mumfikishie Mh.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kwamba ninaomba kwa ridhaa yangu mwenyewe niwe mmoja ya Walinzi wake Binafsi!

Sababu ya mimi kuomba kuwa mlinzi Binafsi ni kwasababu nahitaji kutumia nguvu,Akili na uwezo wangu alionipatia Mwenyezi Mungu kwa ajili ya mtu ambaye nimekuwa nikimkubali kwa muda mrefu!

Hiyo moja,Lakini Pili,Nahitaji kumlinda Mh.John Heche kwakuwa amekuwa mstari wa mbele kuwasemea ukweli watanzania wengi ambao hawana uwezo wa kusema ukweli hadharani,Sote (wenye akili timamu) tunatambua kwasasa nchi hii nzuri yenye kupendeza ukiusema ukweli mbele ya watawala dhalimu basi unakuwa umeuweka uhai wako rehani!,Hivyo nitakuwa ninafuraha kama nitakuwa mmoja wa walinzi binafsi wa Mh.John Heche ili kutimiza hilo lengo tajwa hapo Juu!

Tatu,Mimi ni Mkurya mwenye akili timamu,shababi,Mwenye uwezo wa Kutosha (Physically & Mentally) hivyo nimeona ni muda sahihi kumuunga mkono Mkurya mwenzangu kuweza kulisongesha gurudumu mbele la kusema ukweli ili watanzania wazuri aliowaumba Mungu wafurahie nchi yao nzuri iliyobarikiwa kwa kuwa na rasilimali za kutosha!

Mengine nadhani nitaongea na Makamu mwenyekiti mwenyewe nitakapokutana naye,Siwezi kuyaweka hapa!

Hivyo popote mpatapo ujumbe huu watu wa Karibu na Heche,Tafadhalini mwambieni Kijana kutoka Mogabiri Tarime nina wiwa kuwa Mlinzi wake Binafsi!

Ni hayo tu!
We mwenyewe umeweza kujilinda? Halafu uache kujisifu kwa ukabila, hauna maana
 
Sina mawasiliano yake mkuu,nahitaji kuonana nae yeye mwenyewe!,Ikishindikana nitaenda kijijini kwao kwa mama yake nitamueleza,Uzuri sisi wakurya tuna protoko zetu,Hivyo ni rahisi kukutana naye na akanielewa
Ukitumia njia hiyo itakuwa rahisi kuaminika.
Kikubwa ni kuwa makini tu make hii vita ni kali sana.
Hawa viongozi wa upinzani(hasa CHADEMA) wamekuwa wakiwindwa sana. So ukipewa jukumu la kuwa mtu wake wa karibu yapasa kuwa mzalendo na uwe na moyo wa chuma.
Kingine usiwe mtu wa tamaa na mwepesi wa kupokea rushwa ili umchome au kumuangamiza kiongozi.
 
Vita ni kali mkuu ndiyo maana nimeona ipo haja kuwa mlinzi wake Binafsi!

Nikuahidi tu!,Siku nikiwa mlinzi wa Heche halafu hao mapunguani wanaojiita "watekaji" wakaja kutujaribu!,Watakuwa vibogoyo,Sitaniii,Narudia tena!

Siku nikawa mlinzi wa Heche halafu kuna wahuni wanaojiita wao ni "Askari au watekaji" ambao akili yangu timamu itaniambia kabisa "Hawa watu ni wabaya",Basi familia zao huko vinijini kwao ziwe tayari kuwaandalia makaburi!
 
Back
Top Bottom