Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

Dokta tuache masihara, tuseme tu ukweli, ukitaka kupasua mtu unahitaji zana kuu mbili basi: KISU na MKASI.

Hata teja ukimfundisha HUMAN ANATOMY anaweza kupasua manyama na kuyashona.

Unadunga limrija la kuongezea damu, unamtia ganzi unaanza kucharanga manyama ndani manyama nje.

Kiukweli hii ni rahisi sana. Ni vile tu mmejivika utukufu ili kuwahadaa wananchi waendelee kubugia madonge yenu yenye sumu.

Samaleko!
We Bichwa komwe si kuna saratani zinapona kabisa ay hujawahi kusikia

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Khalid Bakhresa- Azam ice cream
Gwamaka kifukwe
Sho madjozi
Mohamed dewji
Usman ally
Walter kitundu
Saurabin ketrapal

Benjamin fernandes CEO NALA Kasoma HOPAC, havard na stanford.
Magdalena muogeleaji olympic

Huko kwenye mashirika ya UNICEF, UNESCO, na mengine ndio wapo kibao.

Pointi ni serikali iangalie namna ya kuboresha elimu tuendane na kasi na kuweza kushidana katika soko la ajira la dunia.
Huwezi kubattle na mtoto aliyetoka Feza int huwezi hata kidogo sababu wana exposure kubwa.
Wapo wengi sana
Hao wote uliowataja ni Utajiri wa Ukoo wala haujatokana na Elimu zao.

Think again.
 
Ni umaskini tu,tukiondoa umaskini hakuna sababu nyengine yoyote itakayomfanya Mtanzania asitamani mwanae asome private schools.nasema hakuna.

Tujiulize tu,ni mzazi gani leo anataka mwanae shuleni akakae chini wakati huo huo shule zina upungufu wa vifaa masomo huku darasa lipo overloaded?tuache masikhara mtoto anaesoma private hata kuwaza anawaza tofauti na wa gov.
 
Abigail Chams kasoma Hopac now anakata viuno tu jukwaani.

Wema Sepetu kasoma Academy
Nimecheka tu.
Abby akiwa na miaka 9 anapiga piano, guitar na violin.

Abby alichaguliwa na UNICEF kuwasemea vijana na alitumbuiza expo dubai 2020 hiyo ni yote sababu ya exposure na confident aliyokuwa nayo.

Abby chams katika kipindi chake alisaidia vijana wengi kujitambua.
Abby amefanya kolabo na wasanii wakubwa hapa Tanzania, Abby alishapostiwa na Beyoncé kwenye page yake akiimba cover yake.
Abby anaongea kingereza, kifaransa sio cha kubahatisha anaongea kiispanyola.

Abby anakodiwa kupeform event za heshima kupitia violin aliyojifunza.

Abby chams ni CEO wa Abby chams school of music na mambo ya fashion
Abby chams amedondosha wino sony music akiwa na miaka 21 tu mpaka sasa.

Ninachozungumzia mimi ni exposure izo shule zinajua nini zina fanya.
Ni maoni tu kama serikali inaweza kuboresha elimu ili watoto wanaotoka katika shule za kata waweze ku compete kwenye masoko ya ajira duniani.
 
Vyote. Huwa wanakariri aina za magonjwa na madonge ya dawa ya kutibia.

Anapewa NOTES anakariri anajibu mtihani anafaulu anakuwa DOKTA. 🤗
Ongea mambo ambayo una uhakika nayo. Utaona unafurahisha watu ila kwa wengine unajidhihirisha jinsi gani ulivyo kichwani. Haya tuambie chuo gani ulienda hicho ukakuta wanafanya hivyo.
 
The true education has three qualities 👇

1. It helps you to acquire power.

2. It helps you to maintain power.

3. It helps you to protect the acquired power.

Kinyume na hapo ni utoto utoto tu kama utoto utoto mwingine.

Kwa bahati mbaya sana maarifa yenye uwezo wa kumpa mtu qualities tajwa hapo juu yamehodhiwa na wajanja wachache ambao ndio wanaitawala dunia.

Unamsomesha mtoto English Mediums kwa mamilioni anafika chuo anasomea udaktari halafu anakuja kukwambia

" Presha haina dawa"
" Kisukari hakina dawa"
" kansa haina dawa" etc.

Sasa huyu ameelimika au amekariri?

Kuna kitu gani kinacho elezea dhana ya "kusomea ujinga" kwa uzuri zaidi kama daktari specialist kusema presha haina dawa?

Unapoteza miaka mitano darasani ili uje utuambie presha haina dawa?

Elimu mnayo pewa haina qualities za kusolve matatizo yenu kwa hiyo ni sawa na ujinga tu.

Don't waste ur millions to pay for your kids in English Mediums.

Hiyo pesa wekeza kwenye maendeleo na kwa habari ya Elimu wekeza kwenye maarifa yatakayo mpa uwezo wa kusolve matatizo halisi katika jamii inayo mzunguka.

Utapata mafanikio kwa kuwa na uwezo wa kutatua matatizo katika jamii yako.

Mfano hii ipo karibu katika kila kada kuanzia walimu, wanasheria etc.
Pambana na hali yako.
 
Dokta samaleko.

Nyie mnakariri mtaala, ndio maana hamuwezi kuponya kansa hadi leo mnawabanika watu kwenye tanuru la mionzi kwa kuwa tu mmeelekezwa kufanya hivyo na Ummy Mwalimu.

Huu ni udokta uchwara.
Sasa Nenda ulaya au Nenda Nchi za magharibi zote halfu kaangalie Idadi ya wanaokufa kwa Cancer..!

Wangekuwa Wanazo dawa za kutibu kansa au ingekuwa Rahisi kutibu kansa bhasi wangepata sawa Kitambo sana ila cancer sio ugonjwa mdgo ni Cellular Disease So its Untreatable hakuna Anayeweza kuutibu!

Labda kama kuna hoja nyingine
 
Dokta tuache masihara, tuseme tu ukweli, ukitaka kupasua mtu unahitaji zana kuu mbili basi: KISU na MKASI.

Hata teja ukimfundisha HUMAN ANATOMY anaweza kupasua manyama na kuyashona.

Unadunga limrija la kuongezea damu, unamtia ganzi unaanza kucharanga manyama ndani manyama nje.

Kiukweli hii ni rahisi sana. Ni vile tu mmejivika utukufu ili kuwahadaa wananchi waendelee kubugia madonge yenu yenye sumu.

Samaleko!
DAh yaani umenifanya Nicheke mbele za watu
🤣🤣🤣
 
Nimecheka tu.
Abby akiwa na miaka 9 anapiga piano, guitar na violin.
Mimi nikifikiri ungesema akiwa na umri huo wa miaka 9 aliweza kugundua chombo kipya cha muziki kumbe ni kujua tu kutumia chombo cha muziki jambo ambalo ni la kawaida kabisa kwa mtu yoyote akifundishwa kufanya hivyo.
Abby alichaguliwa na UNICEF kuwasemea vijana na alitumbuiza expo dubai 2020
Mimi nilifikiri labda ungesema anzisha Shirika ambalo lina compete na Unicef
hiyo ni yote sababu ya exposure
Kama kwako exposure ni kufanya show Dubai then u have got a very little and brainwashed understanding about the word exposure itself. Kama msomi ambae shule imekusaidia unapaswa kuja na maana mpya ya exposure. Unatakiwa wewe ndio ui define exposure na sio kufanya vitu ambavyo watu wanao kubrain wash wamekuaminisha kwamba ndio exposure.

If we go down to that level Diamond hajafika hata form four lakini ana " exposure" mara milioni kuliko Abby Chams.
na confident aliyokuwa nayo.
Abby Chams anaweza kuwa na confidence kumzidi Giggy Money?

Abby Chams anaweza kuwa smart kujielezea kama Lulu wa Majizzo?


Abby Chams anaweza kuwa na " exposure" kuzidi Hamisa Mobetto?

Mtoto wa shule hizo ( EMs) kama atakuwa na confidence basi itakuwa ni manufactured confidence. Confidence huwaga ni suala la kuzaliwa.
Hata katika hili still I really doubt kama huyo Abby Chams ana confidence. It seems ur the only one who is aware of her confidence.

Abby chams katika kipindi chake alisaidia vijana wengi kujitambua.

How ?

Abby amefanya kolabo na wasanii wakubwa hapa Tanzania,
Before i forget to tell u that Tanzania hakuna msanii mkubwa, i need to remind u that , Huhitaji kumpeleka mtoto wako English Mediums ili aweze kufanya kolabo na wasanii " wakubwa" wa Tanzania.

Anyways if we go down to that level unaweza kututajia hitsongs hata 2 tu za Abby Chams?

# ukisikia mtoto wa kike bongo kafanya colabo na msanii " mkubwa" wa bongo basi jua amechapwa nao.

Unaposema Abby Chams kafanya kolabo na wasanii wote " wakubwa" wa Tz ur just telling me ameliwa na wasanii wote wakubwa wa bongo. Huoni ni upuuzi kwa mzazi kumlipia mtoto wako hasa wa kike, mamilioni kwenye English Medium? Unamlipia mamilioni halafu mwisho wa siku anaenda kuliwa kimasihara na wahuni.
Abby alishapostiwa na Beyoncé kwenye page yake akiimba cover yake.
Duh kumbe kupostiwa na Beyonce nayo ni achievement? Very interesting.
Abby anaongea kingereza, kifaransa sio cha kubahatisha anaongea kiispanyola.
1. Mimi nilifikiri ungeniambia Abby Chams amegundua lugha yake mwenyewe.

2. Mimi nilifikiri ungeniambia Abby Chams amebuni herufi za lugha ya kiswahili ambazo ni tofauti na hizi tunazo tumia ambazo ni za kilatini.

3. Nilifikiri ungeniambia Abby Chams amegundua maneno ya ishara maalumu lets say kwa kuwahubiri watu wasio na uwezo wa kuongea na kusikia.. Hebu muulize Abby Chams, hivi ukitaka kumwambia bubu+kiziwi kwamba Yesu anakupenda utamwambiaje?

Mimi nilifikiri ungeniambia Abby Chams amegundua namna ya kuwasiliana na mtu ambae haoni, hasikii wala haongei, kumbe anajua kifaransa , kiingereza na kihispaniola? Nayo ni achievement? Brainwashed mentality at its highest level
Abby anakodiwa kupeform event za heshima kupitia violin aliyojifunza.
Hii huhitaji kumpeleka mtoto wako English Mediums. Hata walioishia la saba wanafanya hii. Ni mzazi mpuuzi tu utampeleka mtoto wako kwenye shule za mamilioni ili after that awe anakata viuno jukwaani jambo ambalo angeweza kulifanya hata bila kumpeleka kwenye shule za mamilioni.
Abby chams ni CEO wa Abby chams school of music na mambo ya fashion
Huhitaji kusoma kwenye shule za mamilioni kuanzisha chuo kama hiki mkuu.
Abby chams amedondosha wino sony music akiwa na miaka 21 tu mpaka sasa.
Hapo sasa ndo ume my expose dada ako. Why? Angekuwa na exposure angepaswa kufahamu kwamba ni msanii asie jitambua tu ( kutoka Africa) ndo anaweza kusaini Sony kwa sababu Sony wameharibu na wanaua ndoto za wasanii wengi wa Afrika.
Ninachozungumzia mimi ni exposure izo shule zinajua nini zina fanya.
Kuna valid and invalid exposure . Ur talking about invalid exposure which is void abinitio
Ni maoni tu kama serikali inaweza kuboresha elimu ili watoto wanaotoka katika shule za kata waweze ku compete kwenye masoko ya ajira duniani.

Ndugu yangu kumbe ndio maana umeshindwa kuelewa hoja zangu. Hivi katika Karne hii kweli bado kuna watu wana zungumza kuhusu soko la ajira? Kweli?

Kwanini usiwaze serikali kutoa elimu yenye kuwapa wahitimu uwezo wa kutengeneza ajira?
 
Back
Top Bottom