Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #61
Utakufa na wivu wako na ujinga wako uliokujaa kichwani na kupofusha akili zakoMabeberu wameshajua udhaifu wake ni PHd.
Kila wakimpa moja wanajimegea tu rasilimali zetu bure bure.
Siyo kila mtu ni wa kujipendekezaTutaanza kuwa wakali jipendekeze tu
Kazi iendelee bwana LucasNdugu zangu Watanzania,
Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama anatosha kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hakika kazi iendeleeKazi iendelee bwana Lucas
Acha mdomoSawa unavutiwa! Tukusaidie nini sasa baada ya huko kuvutiwa kwko?
Samia ni mtu na robo 3, hajawahi kurupuka Wala kuhangaika na uzushi au umbea wa mtu.Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama anatosha kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni kiongozi aliye kamilika kila idara. Ndio maana amewapoteza kabisa wapinzani uchwara wanaotegemeaga siasa za matukioSamia ni mtu na robo 3, hajawahi kurupuka Wala kuhangaika na uzushi au umbea wa mtu.
Wanaanzishaga wanaacha wenyewe ππππππππ
Acha kuropoka ropoka hapa .Utulivu wa kuuza Ngorongoro na bandari kwa waarabu?
Nimeacha nafasi ili uweke yako kusudi Ukumbukwe. Au wewe hutaki kukumbukwa?Umesahau kutupia no ya simu mkuu, wanaweza kukukumbuka kwenye ufalme wao
Onyesha uropokaji upo wapi!Acha kuropoka ropoka hapa .
Hivi,wewe Luca haujawahi kuvutiwa na nini kutoka kwa SSH?Acha kumchuuza.Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika
Acha utoto wako hapaHivi,wewe Luca haujawahi kuvutiwa na nini kutoka kwa SSH?Acha kumchuuza.
Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika kufanya maamuzi pamoja na kuchukua hatua.
uendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
Nina guswa sana na uongozi wa Rais Samia pamoja na uchapa kazi wake.
Moja ya hizi siku zungumzia jinsi anavyotuingiza kwenye madeni makubwa Kila uchao huku hizo fedha nyingi tuu zinapigwa na wezi na yeye na Nchemba hawajui hata la kufunya.Hoja yako nini ndugu yangu mtanzania
Ndio namaanisha nachokiandika na kuandika nachomaanishaπ π Hivi we jamaa ukimaliza kuandika uwa unarudia tena kusoma?
I think unaandika then mwenyewe unacheka Sana ndio unapost
Me sidhani kama uwa unamaanisha unachokiandika
Tanzania siyo moja ya nchi zenye madeni makubwa.hatupo na wala hatujawahi kutajwa wala kutiliwa mashaka na taasisi yoyote ile kuelemewa na madeni.Moja ya hizi siku zungumzia jinsi anavyotuingiza kwenye madeni makubwa Kila uchao huku hizo fedha nyingi tuu zinapigwa na wezi na yeye na Nchemba hawajui hata la kufunya.
Wizi Kila kona nchini hakuna hatua yoyote inayochukuliwa.