GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Kama wanataka battle hasa nami waambie waombe ruhusa kwa JamiiForums Moderators na watuhakikishie huwa hawatatupa BAN ili niwanyooshe kama ambavyo nimeshawaonya hapa hapa JamiiForums Magwiji kadhaa na sasa wengine wamekuwa Marafiki zangu na wengine hatunao tena duniani. Nina PhD ya Vita ya Maneno Makali na Machafu.Oya mwanangu GENTAMYCINE Kuna Triple Alliance ya ngara23 secretarybird na Tate Mkuu ya kukushambulia .
Majamaa kama waambiana hivi π
Father ongezea nyama basi kwamba degree ilipatikana Kwa kuzibuliwa kizibo Cha FANTA?Popoma nasikia alikuwa mtoro wa kutupwa kipindi anasoma SAUT na kadegree kake alikapata kwa kuuza kibwenye.
GENTAMYCINE Tuhuma hizi ni nzito sana njoo uzipanguePopoma ana certificate ya journalism and cookery kutoka The Amazon college Mbagala rangi tatu
Unasemaje msomi kutoka The Amazon college pale Mbagala rangi tatuKama wanataka battle hasa nami waambie waombe ruhusa kwa JamiiForums Moderators na watuhakikishie huwa hawatatupa BAN ili niwanyooshe kama ambavyo nimeshawaonya hapa hapa JamiiForums Magwiji kadhaa na sasa wengine wamekuwa Marafiki zangu na wengine hatunao tena duniani. Nina PhD ya Vita ya Maneno Makali na Machafu.
Wewe tuhuma zako za 'Kukazwa' hovyo Mabondeni ni nyepesi sana?GENTAMYCINE Tuhuma hizi ni nzito sana njoo uzipangue
Na bado huyo huyo aliyesoma The Amazon College Mbagala Rangi Tatu 'Kakukaza' kote kote na bado 'Ukamnyea' pia.Unasemaje msomi kutoka The Amazon college pale Mbagala rangi tatu
Kwa kumshindilia nao Mchi wote nyuma kama nilivyokufanyia Wewe au?Mzee Cherehani hakuridhishi?
Ulaji wa nyama ya PUNDA unaweza kuchangia hivi alivyo/walivyo.Kipindi nasoma pale SAUT Mwanza 2012-2015, Padre Kitima ndo alikuwa mkuu wa chuo chetu pale.
Namfahamu binafsi na nilikuwa nikiongea nae na kushirikishana mambo kadha wa kadha
Fr Kitima naona amekuwa maarufu kipindi hiki baada ya kuwa Katibu wa TEC, naona vilaza wasiomjua vizuri wanajaribu kujibu hoja zake nzito Kwa majibu mepesi na vitisho
Fr. Kitima ni msomi mkubwa mno wa sheria
Ni mwanaharakati na mpenda haki mno, yaani suala la haki kwake ni kitu cha kwanza, yupo tayari hata abishane na kila mtu ila haki ipatikane
Tulikuwa tukikaa nae pale viunga vya chuo hata pale magazetini tuki share mambo ya Kisiasa na kijamii
Aliwapa wanafunzi confidence, Kitima ndo aliwatengeneza, akina Heche, Kafulila, Katambi, Biteko, na wanasiasa wenye mawazo mengi ya kimapinduzi
Kitima ni imara kweli kweli yule Mnyaturu
Hicho anachokifanya amekuwa akikifanya na ana enjoy kujifanya wala hawezi kukiacha
Hao malofa hawana uweZo wa kujibu hoja zake kuntu
Nimekuonya sana husikii tu. Huna uwezo pamoja na hao FOOLS wenzako wa kupambana nami Vita ya Maneno sawa?Duuuh haya
Mbabe Mumeo au? Kuna mahala nawe au yeye nae pia amezuiwa kwenda kwa hao hao Moderators? Pumbavu.Sawa me sikuwezi acha aje mbabe wako secretary bird
Ambaye Huwa akianza unaenda kulia kwa moderators
Popoma GENTAMYCINE sijui nani alimuhonga hio degree yake sababu naona huyo alomuhonga ameamua kuichukua degree yake mwishowe popoma limekua chawa wakati uchawa haupo kwenye fashion tena hadi lukas anaukimbiaPopoma nasikia alikuwa mtoro wa kutupwa kipindi anasoma SAUT na kadegree kake alikapata kwa kuuza kibwenye.
Hivi hilo taahira liliendaga wapi?Popoma nasikia alikuwa mtoro wa kutupwa kipindi anasoma SAUT na kadegree kake alikapata kwa kuuza kibwenye.
Tukubaliane kuwa safari hii utanipa na Uvungu wako ili niishindilie yote au?Tukubaliane hapa tupigane spana
Chonde chonde usipeleke mpododo wako Kwa moderators kushitaki