Ninavyomfahamu binafsi Fr. Kitima (PhD), Toka akiwa Mkuu wa Chuo pale SAUT Mwanza

Kuna haja ya kufafanua kuwa Father Kitima ni msemaji wa TEC hivyo yale anayozungumza sio mawazo yake ni mawazo ya maaskofu wa katoliki kwa umoja wao!! So please do not kill the messenger ; he is just delivering the message!
 
Hakika mkuu
 
Kosa lake ni kukemea utekaji, mauaji na ulaghai na wizi wa uchaguzi?
Kosa lake ni kuwa muongo, mchochezi.

Kwanini hakukemea zile vurugu kabla ya mauaji ?

Uongo wake ni kuyaita yale yalikuwa maandamano.
 
Kosa lake ni kuwa muongo, mchochezi.

Kwanini hakukemea zile vurugu kabla ya mauaji ?

Uongo wake ni kuyaita yale yalikuwa maandamano.
Watu waliandama kupinga utekaji, mauaji na ulaghai na wizi wa uchaguzi
 
Watu waliandama kupinga utekaji, mauaji na ulaghai na wizi wa uchaguzi
Yaani nyinyi nyote waongo, huyo Kitima kawafanya mpaka nyinyi muwe wajinga. Yale ni maandamano ?

Kuna maandamano yasiyo kuwa na kiongozi wala ujumbe ? Kuna maandamano yenye kukusudia uhalifu na kuharibu mali za watu ?

Acheni wendawazimu.
 
Kiongozi ajitokeze ili mteke na kumuuwa
Kwani wangapi walijitokeza wakauliwa na kupotezwa
Ujumbe wa maandamano upo wazi kuwa wanataka katiba mpya, uchaguzi wa huru na haki, kupinga utekaji na mauaji holela, kupinga ufisadi
 
Wanaotaka katiba mpya kina nani ? Sio wale waliofanya fujo, sababu tunajua wale walitumika tu na tunaishi nao, wale kwanza hawataki kufanya kazi, zaidi ya kuingia tik tok na kufanya challenge, kubet na kuvaa wapendeze.

Wangefata utaratibu wa maandamano Vigo visit ngekuwepo. Wangeomba kibali, wangebeba ujumbe, vifo visingekuwepo.
 
kwa dhamiri ya moyo wako na Mungu anakuona unaamini kuwa turn out ya voters ilikuwa zaidi ya milion 32 na Samia akapata kura 31+ m sawa na 98%?
Ukijibu hapo nitaona kama inafaa kuendelea kufanya mjadala na wewe au kupuuza
 
Kwangu mimi Demokrasia ni haramu na ushetani. Sijawahi kupiga kura na sitakuja kupiga kura.

Hapa natetea suala ambalo lina faida kwetu sote, suala ambalo ni AMANI.

Mimi sina ushahidi na hilo, jalia ndiyo wamedhulumu na haya tumeyasikia sana. Je njia mnazo tumia nyinyi kuotafuta haki ni halali au ni sahihi ?

Kwahiyo sikidhulumiwa kura au haki zenu za kupiga kura, ndio na nyinyi mfanyecvurugu na kutaka kupindua serikali ? Hii akili gani ?
 
Kama unakiri serikali haikupigiwa kura waliingia madarakani Kwa wizi wa kura na ulaghai, hivyo kuwapinga sio mapinduzi Bali ni sawa na kufukuza wavamizi, masultan na wakoloni.

Nchi ya demikrasia unahujumu, uchaguzi, unakuwa watu, unateka watu?
Bado unataka watu wawe makondoo, wasihoji wala kupinga haya?
Binafsi Mimi sio mwanasiasa na baadhi ya reactions za vijana zulikuwa mbaya hasa kama kuharibu mali, hii ilikuwa mbaya
Lakini nakemea chanzo ambayo ni serikali yenye ubinafsi, dharau na ukatili ndo chanzo cha yote
 
Ni kweli katengeneza vijana wengi sana na hasa kujishusha na kushiriki mijadala ilijenga wengi. Fr Kitima anachofanya sio kazi tu ni wito na Mungu amempa uwezo huo
 
Kama unakiri serikali haikupigiwa kura waliingia madarakani Kwa wizi wa kura na ulaghai, hivyo kuwapinga sio mapinduzi Bali ni sawa na kufukuza wavamizi, masultan na wakoloni.
Elewa hoja ya msingi, ch msingi ni namna sahihi ya kuwapinga sio kufanya vurugu na uasi na mapinduzi.

Hao viongozi sio wavamizi.
 
Andika yaliyo ya kweli, watu wameuliwa baada ya kufanya nini ? Usiruke nukta za msingi.

Watu haambiwi wawe makondoo, ila kila jambo lina taratibu zake katika kulifanyia kwa ufanisi. Ubaya hauondolewi kwa ubaya vijana, matokeo yake ndio haya.

Serikali ni chanzo sio sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…