ona na huyu ali'post tarehe 12 January.Yaani hii ngoma kama polisi wetu wangekuwa makini wangeshapata ukweli kitambo sana kwanza mwampamba hajàndika mwenyewe hiyo thread na bado wanajaribu kuwaunganisha viongozi wetu wa kitaifa hasa dr slaa, najua lengo lenu ni kukichafua chama kama siyo kumzuia dr asigombee lakini mme shindwa mapema sana..watanzania wanajua kupembua mambo kuliko mnavyodhania..
kwa bomu linalokuja naona utakata tamaa kabisa,Kwa sbabu bomu hilo linaianika chadema na michezo yao yote michafu inayofanyika kwa usiri mkubwa na kuwaaminisha watanzania kwamba ni serikali kumbe ni wao.
Yaani,nakuombea uwe hai ushuhudie mwaka huu watu wanavyoumbuka.Asante mungu kwa kufanikisha hatua zote kilichobaki ni kuweka kwa tv muone
Bro vipi wewe ni Kilanja elect wa JF??Mbona umeanza kuexercise powers ambazo huna mamlaka nazo?? Unaanza kunipa mashaka, au nyinyi ndo lile kundi mnaolipwa kupambana ndani ya mitandao ya kijamii???? Nkiona mtu hapungui humu toka asbh had midnight, kuanzia sasa ntachukulia tu ni lile kundi la wapambanaji ndani ya mitandao ya kijamii. Sikujua kama watu wanalipwa kwa kutoa wenzao povu! Na mimi naombeni hiyo ajira ya upambanaji ndani ya mitandao ya kijamii.jadili hoja ya mwampamba. hayo uliyocomment hapa si uzi wake.
Mag3,
hakuna anayetaka chadema ife , tatizo ni viongozi wa chadema kuwapotosha wananchi kwa kuwalaghai kuwa wao wakichukua nchi mabomba yatatoa maziwa baridi.
Mwambapa Ugonile malafyale!
Uliyoongea ni kweli kabisa. Kijana katumika kama vile mtu anavyokula muwa ukiisha utamu unatupwa na kusahau palepale.
Huyu kijana aliweza kudivert emails zangu na kuzipeleka kwa Slaa. kijana alikuwa mtiifu sana lakini wanaogopa wakimkubali tu watakuwa wamekwisha.
Kesho usishangae wakamkana Ben Saa nane kuwa hawamfahamu mara atakapoamua kuimba
Hili sakata la Lwakatare na Ludo limedhihirisha na kutanabaisha (ingawa binafsi niling'amua hili miaka 4 iliyopita) upeo wa kufikiria wa majority ya wana JF wenye mapenzi na Chadema.
Wengi wao wameweka pamba masikioni na kufumba macho. Hawako tayari hata chembe kufikiri nje ya box hata kama mtu atakuja na evidence kiasi gani za kuonyesha mapungufu/uozo unaosadikiwa kufanywa na viongozi wa chadema ama chadema yenyewe kama taasisi.
Kama mtu niliye neutral (siegamii upande wowote na wala si mwanachama wa chama chochote cha siasa) naona ushabiki na matusi dhidi ya hoja yoyote hasi dhidi ya chadema na viongozi wake haukisaidii chama, zaidi unazidi kukidhoofisha miongoni mwa watu makini.
Ningefurahi kuona mashabiki na wanachama wa chadema mngekuwa mnajadili hoja. In fact, mwanachama makini angesema "let the party be tested". Kama chama na viongozi wake ni wasafi, ili litajidhihirisha wazi.
Kwa namna yoyote ile, Dr. Slaa au kiongozi yoyote yule wa chadema ni binadamu. Msimwamini kiasi cha kuhisi yeye kila kitu anaonewa. Kila mtu akipingana na Dr. Slaa mnamwita ni msaliti.
Mwekeni Dr. Slaa kwenye mizani, mpimeni bila makengeza...!
Pengine mtang'amua mengi yaliyojificha.....msiamini kila lisemwalo kwa kivuli cha "People's Power!
Ni hayo tu kwa leo ndugu zangu.
Mwambapa Ugonile malafyale!
Uliyoongea ni kweli kabisa. Kijana katumika kama vile mtu anavyokula muwa ukiisha utamu unatupwa na kusahau palepale.
Huyu kijana aliweza kudivert emails zangu na kuzipeleka kwa Slaa. kijana alikuwa mtiifu sana lakini wanaogopa wakimkubali tu watakuwa wamekwisha.
Kesho usishangae wakamkana Ben Saa nane kuwa hawamfahamu mara atakapoamua kuimba
Ajuza CCM na MACCM wote chali deal limebuma kabla halijafika popote mapropagandist wa CCM wote mukichwa hazimo wengine malaya,wengine wezi,wengine hawana mallezi ya baba zao what do you expect kila deal buma ha haMachadema vipi mbona mnatukana tu?
Mbona ukifuatilia mtiririko wa mleta mada ukweli ni kwamba mnamjua vizuri Ludo.
Naanza kuamini kwamba siku CDM ikiingia madarakana tutarudi enzi zile za magazeti ya uhuru na mzalendo. No freedom of press & speech. Tutalazimishwa kuimba nyimbo za kumsifu rais DR Slaa na kupongeza CDM.
Kwa kifupi CDM wanatamani Tanzania iwe nchi ya mfumo wa chama kimoja tu vingine vifutiliwe mbali. Shame!
ANGALIZO:
Napenda pia kukumbusha kuwa katika umasikini mbaya ni kufikiri chini ya kiwango.