Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

Mwampamba you are like a foolish dog which barks at the flying birds. Pole sana bro but hongera sana kijana mwenzetu mpiga dili, lazma utatoka tu mwaka huu.
 
mzimu wa CDM utakufuata maisha yako yote. Hutatulia. Unaweweseka sana.
 
Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia katika ishu hii ya Lwakatare.Moja ya hayo ni ukweli usiofichika kuwa kuna ushirikiano wa kihalifu kati ya Serikali (esp thru vyombo vya dola na CCM). Kwa mantiki hiyo,ni itarajiwe kuwa mwenendo wa kesi ya Lwakatare hautotegemea 'uchunguzi' wa polisi bali maelekezo kutoka kwa viongozi walewale wa CCM waliotabiri kifo cha Chadema.Si tu kwamba CCM inawaongoza polisi ktk suala hilo bali pia mahakama zetu hazina uhuru 'kihivyo' hususan pale maslahi ya CCM yanapohusika.

Mmoja wa waendesha mashtaka keshapinga dhamana kwa madai ya makosa ya ugaidi hayana dhamana.Sintishangaa kesho huyo hakimu akiamua kumnyima dhamana Lwakatare.

Jambo jingine linalozidi kujidhihirisha,angalau circumstantially hadi sasa, 'hukumu' za wazi zinazoanza kutolewa na baadhi ya wana-CCM ambao awali walikuwa Chadema eg Mwampamba na Lukosi.Pengine ni mapema mno kuhitimisha lolote,lakini it looks as if hii ishu nzima ilikuwa predictable. Simple logic,ukichanganya na statements za Wassira (kuwa Chadema itakufa) na Mwigulu (kuwa ana ushahidi wa video kama hiyo 'ya Lwakatare) points to possibility ya uhusika wa CCM ktk saga yote hii.

Kuna mtu amemuuliza Lukosi,hivi Chadema ikifa (hypothetically) hatma ya Mtanzania na Tanzania kwa ujumla ikoje? Unfortunately,hakuna kiongozi wa CCM nayejihangaisha kujiuliza swali hilo.Kwao adui ni Chadema na lazima auawe.Sawa,ktk theories za mapambano inasisitizwa kumwangamiza adui completely kwani akisalimika anaweza kuja na hasira kubwa.

However,theories hizo pia zinaasa kuepuka vita ambavyo aftermath yake haijulikani.Kimsingi,sapoti kwq Chadema haitokani na kitu kingine chochote zaidi ya kuwa mouthpiece ya walalahoi waliochoka kuona nchi yao ikibakwa kila kukicha chini ya usimamizi wa CCM.

Kwa mantiki hiyo,hata kama Chadema ikifa-which is almost certainly impossible-bado 'maadui halisi wa CCM' (walalahoi wanaoipa Chadema ajenda za kisiasa) wataendelea kuwepo.

Kibaya zaidi,in absence of an organised platform ya kutoa vilio vyao (kwa sasa ni Chadema),walalahoi hao who have got nothing to lose except the serial molestation of their beloved country wanaweza kuamua liwalo na liwe.

Tatizo sio Chadema bali uharamia wa CCM.Laiti CCM ingekuwa safi basi huenda hiyo Chadema isingekuwa na umaarufu ilio nao sasa,na pengine ingejifia kifo cha asili.

Lakini hata kama CCM itafanikiwa kuiuwa Chadema,kwanini scenario ya NCCR-Mageuzi ya Mrema isirejewe? Jitihada za CCM kuidhoofisha NCCR-Mageuzi hazikufanikiwa kutokomeza kiu ya walalahoi kuwa na chama mbadala kitakachopelekea CCM kung'olewa madarakani,na hatimaye akaibuka 'monster' hatari kwa CCM zaidi ya NCCR-Mageuzi ie Chadema.

Kuna busara moja inayopuuzwa na CCM.Suala la kupambana na ufisadi na harakati za kudai 'uhuru wa pili' (wa kwanza ulimwondoa mkoloni,wa pili ni kumwondoa Mkoloni Mtanganyika mwenzetu) haliwezi kuzimwa kwa kuiangamiza Chadema au kudhuru watu wanaohamasisha suala hilo.Wazo (idea) lililofika wakati wake (lililoiva) kamwe haliwezi kuuawa. Wadhalimu wanaweza kuteka,kutesa,kutisha na hata kuuawa watu au taasisi zinazofanikisha kusambaza ujumbe wa uhuru wa pili lakini kamwe wazo husika haliwezi kuuawa.You simply can't arrest,torture or even kill an idea whose time has come.

Na kwenu ndugu zangu mnaosherehekea jitihada hizi za kidhalimu za kukwaza uhuru wa pili wa Mtanzania,naamini ipo siku mtatambua kuwa utu wenu una thamani kuliko fedha zinazowahamasisha kufurahia madhila yanayowakumba Watanzania wenzenu.
 
Huyu Mtera is insane, sana sana sana tena sana, na nadhani anahitaji kuhudhuria clinic for check up!!
 
Siwezi changia mada ya mfua 'boksaa' na soksi za Nape pale Lumumba
 
Point
Ila tatizo huwa mjeuri.
Hapa double Like

 
Mkuu, wewe na Shonza uliwahi kusema kuwa Ben saanane ndio alitumwana na Dr. Slaa kuvuruga majaaliwa yako kwenye uchaguzi wa BAVICHA, lakini leo hujamsema kabisa Ben kama chanzo na siku ile hukumsema kabisa Ludovick. Unanichanganya!
 
Jamaa kusoma ualimu Chang'ombe TTC halafu anajidai ana eti ana BAED ya UDSM. Yaani story yote hii alitaka ujue naye ana degree. Bora hakwenda kufundisha maana angetuongezea matatizo kwenye ile 60 %. ....... By the way, what the hell is BAED anyway??? Hawa jamaa wana akili ndogo sana na huko CCM ndiyo kunawafaa maana bila kujipendekeza hufiki popote!!!!!
 
Baba yako tunamfahamu mama yako pia na kwa ufupi familia yako, hivyo historia yako tunaijua zaidi ya uijuavyo wewe.Thread uliyoipost ni ya uongo na tunajua kwamba wewe (mtela Allam Mwampamba) na baba yako (Allam mwampamba) wote ni waongo kwa ufupi wewe na baba yako wote mna laana ya uongo na ndio maana baba yako tulimfukuza kwenye chama kata ya Mlowo kwa sababu ya uongo uliopelekea kuvunja katiba ya chama (CDM), hivyo kumbuka kwamba unapodanganya watz kupitia mitandao ya kijamii wapo wanaokuona wewe ----- tu maana historia yako watu wengi wanaifahamu "eti muasisi na mwenyekiti wa CHASO UDSM-DUCE" wak ati ulikuwa mvuta bangi na mvaa milegezo na mlevi wa kupindukia. "Baba yako alifukuzwa na DR. SLAA kupitia huyo Ludovick" wakati hata DR. SLAA hamfaham huyo baba yako kwani alifukuzwa na uongozi wa Kata ya MLOWO. Acha ujinga na uongo wa bei rahisi zungumzia matatizo makubwa yanayolikumba taifa letu.
 
Kibaraka mnayeisaka roho yake na marafiki zake?
Kazi mnayo

Hivi kwa nini wewe hufi tukafika nchi ya kanaani bila wewe rusfeli shetani katikati ya magame maovu manake kila siku unalalamika unataka kutolewa roho na roho yako haitoki hivi huyu Israel yuko likizo hakuoni tuu kwamba umemtangazia roho yako unataka itoke ,ikitokea tutafurahi na kuhakikisha ton kumi za mchanga zinakufukia ili usije ukarudi
 
Huyu Mtera is insane, sana sana sana tena sana, na nadhani anahitaji kuhudhuria clinic for check up!!

Cha akashangaa Mirembe haina wagonjwa wa kutosha kumbe wengine wako JF !!!!!
 
Kumbe muvi ndio imeanza, ngoja nijaze soda na pocorn.

Kuna mengi sana nyuma ya pazia.
 
ni Laana inamsumbua kuna kitu wamemfanya huko aliko si bure amesahau kuna mtu alimwaga kila kitu hapa JF kuhusu baba yake na mama yake diwani wa viti maalumu asiyejua kusoma wala kuandika Mrs Zero
 
Nimeipitia hii thread kwa muda wa lisaa limoja na dakika thelasini na tatu na sekunde arobaini na tisa (1:33:49) nimetumia muda huo nikiwa nasoma kila andiko kwa umakini mkubwa na unagalifu.,dot by dot.,nimegundua yafuatayo:
i) there is serious crash down and conning prevailing on chadema.
ii) Vijana wa chadema are empty boxes they have never been independent thinker.
iii) Nimeshuhudia kilio cha kweli kinachotokana na maumivu ya usaliti, ni mtu asie na hisia za kibinadamu tu ndio anayeweza kuwa asiguswe na usaliti huu.
iv) Kuna kila sababu ya Vyombo vya dola kuongeza "sample space" katika kesi hii kwani the way things are hili suala ni zaidi ya Lwakatare na Ludo.,there is BIG BOSS behind the curtain.
v) Nimeyaona yaliyoandikwa na baadhi ya wachangia kuwa ni off topic.,its completely irrelevant fact to the fact on issue.
pamoja na hayo yote nimegundua pia kuwa katika chadema hakuna KIONGOZI wala wanachama makini, hawashauriani wala hawasikilizani. Viongozi hawajui nini maana ya kuongoza na wafuasi hawajui nini wanakifuata.
 
CHADEMA kumbe wana kitengo cha kupambana kwenye mitandao ya kijamii. Ndio maana hata uletwe ukweli gani humu raia wanakuwa wagumu kuamini, kumbe wapo kazini.
 
huyo jamaa alisema hata panya hawatasalia....
 

ndo maan anapost uchafu, kwa sababu your intellectual capacity and material is is also low! Wewe unacolclude bila kuwa na data, toa hoja zako tu, siyo kuto ugunduzi hewa!

Nyie ndo wale mnaopanga foleni kwenda kunywa kikombe cha babu mkiamini mtapona ukimwi.
 
Mwampamba huna jipya! Propaganda zenu wewe pamoja na masalia wote na huyu kibaraka wenu aliyeko huku CHADEMA mtaumbuka na kuaibika muda siyo mrefu. Keep watching!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mbona issue imekuwa vice versa, nyie wenyewe ndio mmeshaanza kuaibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…