Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

Hivi Dada unafahamu kwamba kuna watoto pia hulawitiwa na walimu wao wakiwa Madrasa?
Sifahamu hilo. Nnachofahamu ni kanisa katoliki mpaka Umoja wa Mataifa wamepiga kelele na nnafahamu kuna shule nzima ya kanisa, sifahamu kanisa li[i., huko Soni, Tanzania walilawitiwiana na mapadri na maaskofu shule nzima. Ushahidi huu hapa:

 
Jesus Christ ndie kiumbe pekee aliyewahi exist Ulimwenguni akiwa na asili mbili yaani
God & Human being na ndie aliye fanya upatanisho kati ya Mwanadamu na Mungu kwa agano la damu yake kwa njia ya kusulubiwa ili awe sadaka kwa kulipia dhambi ya uasi aliyo anguka Adam pale Eden ili liwe patano la milele so hakuna hakuna ungamo la dhambi bila kumwaga damu ref Israel na ile sadaka ya kila mwaka waliyotoa kwa kuhani mkuu patakatifu pa patakatifu kwa damu ya mnyama safi.....

kiufupi usipomkiri Yesu Kristo kua ndie JEHOVA ambalo ndilo jina la Mungu alilokirimiwa baada ya kufufuka kwa wafu hautaokoka na hauna uzima wa milele simple tu unakua mbali na Mungu na hauna spiritual power!
 
Hapa ndiyo utaiona neema ya Uislam, hakuna kura katika Uislam, siku ukikuta Waislam wanapiga kura wapate kiongozi elewa kuwa hao siyo Waislam na hawafati mafundisho ya Uislam.
Mufti anapatikana kwa utaratibu gani?
 
wacha kuongea uongo dogo.
 
Hapa ndiyo utaiona neema ya Uislam, hakuna kura katika Uislam, siku ukikuta Waislam wanapiga kura wapate kiongozi elewa kuwa hao siyo Waislam na hawafati mafundisho ya Uislam.
msikiti wa kigogo juzi masheikh wamechomana visu kugombea maokoto.Waleed ndo kaenda kusuluhisha wasitupiane majini
 
msikiti wa kigogo juzi masheikh wamechomana visu kugombea maokoto.Waleed ndo kaenda kusuluhisha wasitupiane majini
Wachomane tu, hao hawafati Uislam, wanakufuru. Kwanza kuchangishana sadaka misikitini siyo sawa kabisa Kiislam.

Watu wanapotoka katika mafundisho ya Uislam ndiyo huwa hivyo, wakishaanza kuchaguwana kwa kura ndiyo matokeo yake, sishangai.
 
Hakuna hata mtakatifu kanisani. Utakuwaje mtakatifu wakati unaabudu Mungu tena mzungu?

Mwabudu Muumba wako ambae hajazaa, wala hajazaliwa wala hana kinachofanana nae.
Waislamu mnaabudu mungu anayeitwa Allah mwarabu asiyejua lugha zingine zaidi ya kiarabu hana exposure na Lugha zingine sababu hakusoma

Kuanzia kuazini hadi swala ni kiarabu tu sababu hajui lugha zingine zaidi ya kiarabu

Madrasa watoto kutwa wanajifunza lugha ya huyo mungu wenu Allah mwarabu asiyejua lugha zingine zaidi ya kiarabu
 
Allah hafananishiwi na chohote. Katujaalia lugha na makabila ili tufahamiane tu, mbora kati yetu ni mcha Mungu. Soma:

A JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 1
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 2
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa 3
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4

Malizia na hii:

Kiarabu ni lugha ya kwanza ya Kimataifa duniani.
Kumbuka kuwa hata Kiswahili tunachokitumia hapa kina asilimia kubwa ya Kiarabu.

Kiarabu (ar.: العَرَبِيَّة‎‎, al-ʻarabiyyah, kwa kirefu al-luġatu al-ʿarabiyya) ni lugha ya Kisemiti inayotumiwa na watu milioni 206 kama lugha ya kwanza[1] na milioni 246 wa ziada kama lugha ya pili. Ilhali kuna lahaja nyingi, Kiarabu sanifu (ar. الفصحى fuṣḥā) ni lugha rasmi ya nchi 22 za Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na ya Mkutano wa Kilele wa Kiislamu na mojawapo ya lugha rasmi za Umoja wa Mataifa. Kuna pia matumizi kama lugha ya kidini katika Uislamu.

Hivyo Kiarabu ni mojawapo ya lugha muhimu sana duniani ikisomwa kwa viwango tofauti na mamilioni ya waumini Waislamu wakielekea kujifunza na kuelewa kitabu cha Korani. Kama lugha ya kidini ina athari na taathira kubwa juu ya lugha nyingi ulimwenguni na juu ya ustaarabu na utamaduni wa watu na makabila tofautitofauti walio Waislamu.

Kiarabu kwa kawaida huandikwa kwa herufi za Kiarabu.

Ni lugha yenye utajiri mkubwa wa misamiati (maneno), ufasaha mkubwa wa misemo na udhibiti mkubwa wa sarufi na nahau.

Ni lugha iliyokusanya aina nyingi za mithali na mafumbo, na ina utamaduni mkubwa wa nyimbo, mashairi na misemo, nayo inakubaliwa na watu wengi duniani kuwa lugha yenye utamu wa matamshi na uzuri wa lafudhi.

Kwa kuwa Qurani Tukufu na Hadithi za Mtume Muhammad na Mashairi ya zama za Ujahili ndio yenye kudhibiti lugha hii isitetereke wala kubadilika na kupotea kama lugha nyingine nyingi, leo, baada ya miaka zaidi ya elfu, imebaki thabiti kama ilivyokuwa wakati ilipoandikwa Qurani, na mabadiliko yoyote yaliyotokea hayana uhusiano na lugha yenyewe ya Kiarabu, bali yana uhusiano na lahaja na vilugha mbalimbali zinazotumika na Waarabu wa sehemu fulani ya nchi au mji. Ama lugha rasmi ya Kiarabu basi imedhibitika kulingana na Qurani na Sunnah, ili maandishi hayo yaendelee kufahamika milele.

Leo, Kiarabu ni lugha ya sita ulimwenguni kwa wingi wa wanayoitumia kila siku katika maisha yao, baada ya Kichina, Kihindi, Kihispania, Kiingereza na Kibengali.

Umuhimu wa lugha hii unazidi kukua kila siku kwa sababu ya kutumika kwenye maeneo ya katikati ya ulimwengu baina ya mabara ya kale (Afrika, Asia na Ulaya) na mabara mapya ya ulimwengu (Amerika ya Kaskazini na Kusini).

Ramani inaonyesha nchi ambako Kiarabu ni lugha rasmi pekee (kijani) au lugha rasmi pamoja na lugha nyingine (buluu).

Asili ya lugha ya Kiarabu​


SOMA ZAIDI:

Uislam ni mwema sana, leo ukienda popote duniani kama nIMuislam unaingia msikiti wowote unasali au unasalisha na mnaelewana bila tatizo.

Nenda wewe mkatoliki wa kihaya kawasalishe Korea kama utaweza bila kutafuta msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…