Waislamu mnaabudu mungu anayeitwa Allah mwarabu asiyejua lugha zingine zaidi ya kiarabu hana exposure na Lugha zingine sababu hakusoma
Kuanzia kuazini hadi swala ni kiarabu tu sababu hajui lugha zingine zaidi ya kiarabu
Madrasa watoto kutwa wanajifunza lugha ya huyo mungu wenu Allah mwarabu asiyejua lugha zingine zaidi ya kiarabu
Allah hafananishiwi na chohote. Katujaalia lugha na makabila ili tufahamiane tu, mbora kati yetu ni mcha Mungu. Soma:
A JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
0
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
1
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
2
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa
3
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
4
Malizia na hii:
Kiarabu ni lugha ya kwanza ya Kimataifa duniani.
Kumbuka kuwa hata Kiswahili tunachokitumia hapa kina asilimia kubwa ya Kiarabu.
Kiarabu (
ar.: العَرَبِيَّة, al-ʻarabiyyah, kwa kirefu
al-luġatu al-ʿarabiyya) ni
lugha ya Kisemiti inayotumiwa na watu
milioni 206 kama
lugha ya kwanza[1] na milioni 246 wa ziada kama
lugha ya pili. Ilhali kuna
lahaja nyingi, Kiarabu sanifu (ar. الفصحى
fuṣḥā) ni
lugha rasmi ya nchi 22 za
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na ya
Mkutano wa Kilele wa Kiislamu na mojawapo ya lugha rasmi za
Umoja wa Mataifa. Kuna pia matumizi kama
lugha ya kidini katika
Uislamu.
Hivyo Kiarabu ni mojawapo ya
lugha muhimu sana
duniani ikisomwa kwa viwango tofauti na mamilioni ya waumini Waislamu wakielekea kujifunza na kuelewa kitabu cha
Korani. Kama lugha ya kidini ina athari na taathira kubwa juu ya lugha nyingi ulimwenguni na juu ya
ustaarabu na
utamaduni wa watu na
makabila tofautitofauti walio Waislamu.
Kiarabu kwa kawaida huandikwa kwa
herufi za Kiarabu.
Ni lugha yenye
utajiri mkubwa wa
misamiati (maneno),
ufasaha mkubwa wa misemo na udhibiti mkubwa wa
sarufi na
nahau.
Ni lugha iliyokusanya aina nyingi za
mithali na ma
fumbo, na ina utamaduni mkubwa wa
nyimbo, ma
shairi na misemo, nayo inakubaliwa na watu wengi duniani kuwa lugha yenye
utamu wa
matamshi na
uzuri wa
lafudhi.
Kwa kuwa
Qurani Tukufu na
Hadithi za Mtume Muhammad na Mashairi ya zama za
Ujahili ndio yenye kudhibiti lugha hii isitetereke wala kubadilika na kupotea kama lugha nyingine nyingi, leo, baada ya miaka zaidi ya
elfu, imebaki thabiti kama ilivyokuwa wakati ilipoandikwa Qurani, na mabadiliko yoyote yaliyotokea hayana uhusiano na lugha yenyewe ya Kiarabu, bali yana uhusiano na
lahaja na vilugha mbalimbali zinazotumika na Waarabu wa sehemu fulani ya nchi au
mji. Ama lugha rasmi ya Kiarabu basi imedhibitika kulingana na Qurani na
Sunnah, ili
maandishi hayo yaendelee kufahamika
milele.
Leo, Kiarabu ni lugha ya
sita ulimwenguni kwa wingi wa wanayoitumia kila siku katika
maisha yao, baada ya
Kichina,
Kihindi,
Kihispania,
Kiingereza na
Kibengali.
Umuhimu wa lugha hii unazidi kukua kila siku kwa sababu ya kutumika kwenye maeneo ya katikati ya ulimwengu baina ya
mabara ya kale (
Afrika,
Asia na
Ulaya) na mabara mapya ya ulimwengu (
Amerika ya Kaskazini na
Kusini).
Ramani inaonyesha nchi ambako Kiarabu ni lugha rasmi pekee (kijani) au lugha rasmi pamoja na lugha nyingine (buluu).
Asili ya lugha ya Kiarabu
SOMA ZAIDI:
Uislam ni mwema sana, leo ukienda popote duniani kama nIMuislam unaingia msikiti wowote unasali au unasalisha na mnaelewana bila tatizo.
Nenda wewe mkatoliki wa kihaya kawasalishe Korea kama utaweza bila kutafuta msaada.