Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

Katika dini za ajabu ni uislamu ukienda nchi yeyote duniani utasali kiarabu lakini mawaidha au mahubiri hutolewa kwa lugha ya msikiti ulipo.Mtu anaswali kiarabu anapewa mawaidha au mahubiri kiswahili misikiti yote ya Tanzania sasa hapo ukiwa unatoka nchi nyingine utaambulia nini?
mungu wa kiarabu yaani Allah akishapokea swala zake za kiarabu huko kwingine mtajijua ongerni mawaidha hata kizaramo au kindengereko kwake poa tu

Kwa nini swala zifanyike kiarabu halafu mawaidha au mahubiri yatolewe kiswahili mfano?

Huyo Allah mungu wenu mwarabu ana shida mahali
 
Ndugu yangu mawaidha na darsa siyo sala. Hizo zinaitwa darsa, sasa unawapa wat darsa halafu wasikuelewe?

Sala yenye khutba ni moja tu nayo ni Ijumaa. Na huanza kwa kiarabu na kama wengi wa hadhara hawaelewi Kiarabu basi hutolewa aya za Qur'an na hushereheshwa kwa lugha husika hapo.

Uislam ni mwema sana, ni mfumo wa maisha kamili haujaacha kitu.
 
Sasa hapo kama wapo raia wa nchi nyingi tofauti kibao hizo mfano wako mataifa tofauti hawaongei lugha ya wanaposali mfano Wako Tanzania toka nchi tofauti hilo darsa linatolewa kiswahili wataelewa nini? Swala wataswali kiarabu lugha ya huyo mungu wa kuarabu Allah

Darsa likifika inatakuwa lihamie ligha ya eneo husika

Kwa nini hakuna consistency? Kuwa darsa nalo Litolewe kiarabu? Kwa nini iwe kiswahili?
 

Lipi la kujifunza,mana nje ya huo mji kuna wakristo wengi zaidi tambua kristo alikataliwa na wayahudi.
 
Karibu mkuu tukiri imani yetu!
NASADIKI KWA MUNGU, BABA MWENYEZI, MWUMBA WA MBINGU NA DUNIA, NA KWA YESU KRISTU MWANAYE WA PEKEE BWANA WETU, ALIYETUNGWA KWA UWEZO WA ROHO MTAKATIFU; AKAZALIWA NA BIKIRA MARIA. AKATESWA KWA MAMLAKA YA PONSYO PILATO, AKASULUBIWA, AKAFA, AKAZIKWA AKASHUKIA KUZIMU SIKU YA TATU AKAFUFUKA KATIKA WAFU AKAPAA MBINGUNI AMEKAA KUUME KWA MUNGU MWENYEZI TOKA HUKO ATAKUJA TENA KWA UTUKUFU KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU. NASADIKI KWA ROHO MTAKATIFU, KANISA TAKATIFU KATOLIKI; USHIRIKA WA WATAKATIFU, MAONDOLEO YA DHAMBI NANGOJEA NA UFUFUKO WA WAFU NA UZIMA WA MILELE - AMINA-
 
Kanisa langu la kkkt linapukutika kila kukicha,mtu anamaliza uongozi then anarudia tena kuongoza inamaana tulikosa mtu mwingine kweli?pia limekuja swala la bandari bado kiongozi anajiuma uma tu hatu eleweki tuko moto au baridi.
 
Tumsifu Yesu Kristo

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Ukiijuwa maana ya nenoi dini tu utaelewa hilo bila kufundishwa na yeyote.

Unaijuwa maana ya neno dini?
wewe ajuza Dini ni harakati za binadamu kutafuta extra power Nje ya nguvu zake akitegemea msaada
hasa kwa Mungu/miungu umenipata!
 
Jamaa wanatoa then wanaachia wajinga waendelee kulumbana
 
Yeah umeeleza vizuri kabisa, sasa ndgu zetu wa KKKT MJISAHIHISHE!!!
 
Hata Lowasa akisoma hii atakubaliana na wewe.Maana katika maandalizi ya kuwania urais mwaka 2015 alikuwa amekamata Taasisi zote muhimu isipokuwa Kanisa la Katoliki.Kila akijaribu kupenya akatoe mzigo wa maana kama mchango alishindwa.Hata alipojaribu kumtumia mke wake ambaye ni mkatoliki aligonga Mwamba.
 
Wewe sio Mlutheri, ni Mamluki tu

Unajua sababu zilizomtoa Martin Luther kutoka kuwa Padri wa Kikatoliki na kuanzisha Lutheran Church?

Tuanzie hapo
Ninajua. Kwa baadhi ya hoja zake ni kweli zilikuwa zinafikirisha lakini utaratibu aliotumia ndio uliokuwa na changamoto. Ni kama alivyofanya Feisal Salum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…