Ila ukisikia kasisi kafanya basi kanisa limemtuma akafanye?Huo ni ubishani wa kijinga tu. Shekhe siyo Uislam, kama unamfata Shekhe unaufananisha Uislam na Ukristo. Hilo ni kosa.
Uislam ni dini ya kila mtu siyo ya "Shekhe". Shekhe unaesema kalawiti watoto huyo ndiyo ukisikia "kafiri" katika Uislam.
Sawa endelea kukashifu.Ila maneno hayo....kumbuka utakuja kutoa hesabu kwa kila neno ulilosema, sasa always jitahidi kuyapima maneno kabla hayajakutoka tuLazima laana iwafuate maana hata martini alisepa kwakua aliona hapati mgao wa maokoto. Kinachowatoa wengi kwenda kuanzisha makanisa ni pesa kama alivyofanya martini
Hilo la ubaba ndiyo nini sasa? Kudanganyana tu.Makes sense. Lutheran halina baba, hakuna kiranja hivyo kila mahali vurugu tupu.
Sio uislam tu hata katoliki hakuna kura!Hapa ndiyo utaiona neema ya Uislam, hakuna kura katika Uislam, siku ukikuta Waislam wanapiga kura wapate kiongozi elewa kuwa hao siyo Waislam na hawafati mafundisho ya Uislam.
Unajuwa tatizo lako unafikiri Waislam wana mfumo wa kikanisa, ukisikia Shehe kwenye Uislam usifikiri labda kuna chombo kinamfanya awe shekhe, pengine umekuta jitu limevaa kanzo lina ndevu na kobazi ukaliona la maana kumbe jambazi. Mfumo wa Kiislam ni tofauti kabisa.Ila ukisikia kasisi kafanya basi kanisa limemtuma akafanye?
Dini ya kichawi aah hapana aisee"dini" ipo toka dunia imeumbwa, mlioletewa na wazungu ndiyo majanga.
Dini ni moja tu, kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu.
Kule Zanzibar mahakama ya kiislam imesema kufirwa sio hatia.Refer kesi ya afande Rama.Hakuna kinachopostiwa majukwaa ya wazi ya JF kisinihusu. Ukitaka kisinihusu wasilianane "private".
Tofauti ni kuwa Ukatoliki padri au askofu ni lazima aidhinishwe na Vatikano, huko Vatikano zaidi ya 90% ni mashoga, kwa ushahidi kabisa.Sio uislam tu hata katoliki hakuna kura!
"dini" ipo toka dunia imeumbwa, mlioletewa na wazungu ndiyo majanga.
Dini ni moja tu, kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu.
Wewe kwanza unatakiwa nini maana ya neno "dini" siyo chanzo.Punguza kula ugoro unajua Chanzo Cha Dini?
Unaona unavyoshindwa kuuelewa Uislam umejazwa ujinga unaudhihirisha. Hakuna Muislam mwenye mawazo hayo uyasemayo.Halitetereki na halitakaa litetereke!!tatizo unaamini ipo siku dunia nzima watakua waislamu kitu ambacho hakitakaa kitokee Ije mvua lije jua!!
Hiyo ya sunna mlioletewa na maarab ndiyo unaona sahihi? (Africa tukae kimya tu hakuna wa kujidahi yupo sahihi,sisi ni wafuasi tu na tumeletewa hii kitu)"dini" ipo toka dunia imeumbwa, mlioletewa na wazungu ndiyo majanga.
Dini ni moja tu, kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu.
Wanaolawiti watoto wenu kila leo huko madrasa ni mapadre toka Vatican na hawafungamani na uislam?Unajuwa tatizo lako unafikiri Waislam wana mfumo wa kikanisa, ukisikia Shehe kwenye Uislam usifikiri labda kuna chombo kinamfanya awe shekhe, pengine umekuta jitu limevaa kanzo lina ndevu na kobazi ukaliona la maana kumbe jambazi. Mfumo wa Kiislam ni tofauti kabisa.
Kanisa kwa upande mwingine linaongozwa kiutawala kutokea Vatikano huko, huwezi kuwa padre au askofu wa kanisa katoliki kama hujaidhinishwa na vatikano, sasa waone hao vatikano wanaoidhinisha, zaidi ya 90% ni mashoga na wanatuhuma nzito nzito za kuahribu watoto dunia nzima.
Uislam ni wewe na Muumba wako tu, hakuna longolongo za baba wala 'Shekhe".
Upo hapo ulipo?
Katika majina ya mungu lile la mia moja ni roho mtakatifu, (hidden secret)Wewe kwanza unatakiwa nini maana ya neno "dini" siyo chanzo.
Sasa utanifundisha mimi Muislam wakati neno "dini" ni la Kiarabu? Fikiri.
Soma Uislam kijana, Uislam ni dini yako, hujielewi tu.
Nisamehe dada angu sikujua kama una matatizo ya akili πππππUnaona unavyoshindwa kuuelewa Uislam umejazwa ujinga unaudhihirisha. Hakuna Muislam mwenye mawazo hayo uyasemayo.
Ndugu yangu siyo "watakuwa", dunia nzima tunazaliwa Waislam halafu wapo wanaotolewa kwenye Uislam na kuingizwa kwenye mambo yasiyo yao, ndiyo wanaanza kukufuru na kuwa nje ya Uislam.
Hata wewe ulizaliwa Muislam.
Huo siyo ubishi wa kutaka kuelewa, huo ni ubishani wa kutaka kuhalalisha dhambi na ujinga.Haya yapo hata Kwa Maustadh na Mashehe ni tabia ya mtu.Kuna mtu ana wanawake wanne lakini Bado ana michepuko hapo utasema Waislamu Malaya?Bali ni tabia ya mtu.Nyakati zitakuja ambalo Waafrika tutarudi kwenye Dini zetu tukiachana na hizi futuhi za Waarabu na Wazungu.
Mabingwa wa kuufananisha uislam na ukristo ni waislam wenyewe....kwa sababu Uislam bila Ukristo haujakamilika.Huo ni ubishani wa kijinga tu. Shekhe siyo Uislam, kama unamfata Shekhe unaufananisha Uislam na Ukristo. Hilo ni kosa.
Uislam ni dini ya kila mtu siyo ya "Shekhe". Shekhe unaesema kalawiti watoto huyo ndiyo ukisikia "kafiri" katika Uislam.
We ni Mkatoliki?Watakuja kukubishia