Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

Lazima laana iwafuate maana hata martini alisepa kwakua aliona hapati mgao wa maokoto. Kinachowatoa wengi kwenda kuanzisha makanisa ni pesa kama alivyofanya martini
Sawa endelea kukashifu.Ila maneno hayo....kumbuka utakuja kutoa hesabu kwa kila neno ulilosema, sasa always jitahidi kuyapima maneno kabla hayajakutoka tu
 
Makes sense. Lutheran halina baba, hakuna kiranja hivyo kila mahali vurugu tupu.
Hilo la ubaba ndiyo nini sasa? Kudanganyana tu.

Mjuweni mwenyesi Mungu mmoja tu asiyezaa wala kuzaliwa. Jisalimisheni kwa Allah.
 
Hapa ndiyo utaiona neema ya Uislam, hakuna kura katika Uislam, siku ukikuta Waislam wanapiga kura wapate kiongozi elewa kuwa hao siyo Waislam na hawafati mafundisho ya Uislam.
Sio uislam tu hata katoliki hakuna kura!
 
Ila ukisikia kasisi kafanya basi kanisa limemtuma akafanye?
Unajuwa tatizo lako unafikiri Waislam wana mfumo wa kikanisa, ukisikia Shehe kwenye Uislam usifikiri labda kuna chombo kinamfanya awe shekhe, pengine umekuta jitu limevaa kanzo lina ndevu na kobazi ukaliona la maana kumbe jambazi. Mfumo wa Kiislam ni tofauti kabisa.

Kanisa kwa upande mwingine linaongozwa kiutawala kutokea Vatikano huko, huwezi kuwa padre au askofu wa kanisa katoliki kama hujaidhinishwa na vatikano, sasa waone hao vatikano wanaoidhinisha, zaidi ya 90% ni mashoga na wanatuhuma nzito nzito za kuahribu watoto dunia nzima.

Uislam ni wewe na Muumba wako tu, hakuna longolongo za baba wala 'Shekhe".

Upo hapo ulipo?
 
Sio uislam tu hata katoliki hakuna kura!
Tofauti ni kuwa Ukatoliki padri au askofu ni lazima aidhinishwe na Vatikano, huko Vatikano zaidi ya 90% ni mashoga, kwa ushahidi kabisa.

Uislam hauna kabisa mfumo wa kuidhinishana, hata wewe unaweza kuingia Uislam leo, ukijiweka kiheshima utaittwa shekhe, utasali na kusalisha wengine, hakuna longolomgo. Ukiharibu ni wewe, unaubeba msalaba wako, hakuna mlolongo. Ukitengeneza ni wewe umejitengenezea mwenyewe sifa njema.

Uislam ni mwema sana.
 
Punguza kula ugoro unajua Chanzo Cha Dini?
Wewe kwanza unatakiwa nini maana ya neno "dini" siyo chanzo.

Sasa utanifundisha mimi Muislam wakati neno "dini" ni la Kiarabu? Fikiri.

Soma Uislam kijana, Uislam ni dini yako, hujielewi tu.
 
Halitetereki na halitakaa litetereke!!tatizo unaamini ipo siku dunia nzima watakua waislamu kitu ambacho hakitakaa kitokee Ije mvua lije jua!!
Unaona unavyoshindwa kuuelewa Uislam umejazwa ujinga unaudhihirisha. Hakuna Muislam mwenye mawazo hayo uyasemayo.

Ndugu yangu siyo "watakuwa", dunia nzima tunazaliwa Waislam halafu wapo wanaotolewa kwenye Uislam na kuingizwa kwenye mambo yasiyo yao, ndiyo wanaanza kukufuru na kuwa nje ya Uislam.

Hata wewe ulizaliwa Muislam.
 
"dini" ipo toka dunia imeumbwa, mlioletewa na wazungu ndiyo majanga.

Dini ni moja tu, kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu.
Hiyo ya sunna mlioletewa na maarab ndiyo unaona sahihi? (Africa tukae kimya tu hakuna wa kujidahi yupo sahihi,sisi ni wafuasi tu na tumeletewa hii kitu)
 
Unajuwa tatizo lako unafikiri Waislam wana mfumo wa kikanisa, ukisikia Shehe kwenye Uislam usifikiri labda kuna chombo kinamfanya awe shekhe, pengine umekuta jitu limevaa kanzo lina ndevu na kobazi ukaliona la maana kumbe jambazi. Mfumo wa Kiislam ni tofauti kabisa.

Kanisa kwa upande mwingine linaongozwa kiutawala kutokea Vatikano huko, huwezi kuwa padre au askofu wa kanisa katoliki kama hujaidhinishwa na vatikano, sasa waone hao vatikano wanaoidhinisha, zaidi ya 90% ni mashoga na wanatuhuma nzito nzito za kuahribu watoto dunia nzima.

Uislam ni wewe na Muumba wako tu, hakuna longolongo za baba wala 'Shekhe".

Upo hapo ulipo?
Wanaolawiti watoto wenu kila leo huko madrasa ni mapadre toka Vatican na hawafungamani na uislam?
Acha ubishi kubaliana na ukweli ,hivi kwa suala la ulawiti wa watoto kuna anayewafikia nyie wavaa kobazi?
Kwa kujifanya mna imani kali mnavipeleka vitoto vidogo kwa wavaa kobazi wenzenu vikafundishwe dini badala yake wanawafanya nini?
 
Wewe kwanza unatakiwa nini maana ya neno "dini" siyo chanzo.

Sasa utanifundisha mimi Muislam wakati neno "dini" ni la Kiarabu? Fikiri.

Soma Uislam kijana, Uislam ni dini yako, hujielewi tu.
Katika majina ya mungu lile la mia moja ni roho mtakatifu, (hidden secret)
 
Hamna cha kanisa lolote wala msikiti... Wote ni wapigaji tu.
 
Unaona unavyoshindwa kuuelewa Uislam umejazwa ujinga unaudhihirisha. Hakuna Muislam mwenye mawazo hayo uyasemayo.

Ndugu yangu siyo "watakuwa", dunia nzima tunazaliwa Waislam halafu wapo wanaotolewa kwenye Uislam na kuingizwa kwenye mambo yasiyo yao, ndiyo wanaanza kukufuru na kuwa nje ya Uislam.

Hata wewe ulizaliwa Muislam.
Nisamehe dada angu sikujua kama una matatizo ya akili 😂😂😂😂😂
 
Haya yapo hata Kwa Maustadh na Mashehe ni tabia ya mtu.Kuna mtu ana wanawake wanne lakini Bado ana michepuko hapo utasema Waislamu Malaya?Bali ni tabia ya mtu.Nyakati zitakuja ambalo Waafrika tutarudi kwenye Dini zetu tukiachana na hizi futuhi za Waarabu na Wazungu.
Huo siyo ubishi wa kutaka kuelewa, huo ni ubishani wa kutaka kuhalalisha dhambi na ujinga.

Huyo mwenye wake wanne halafu "ana michepuko", kwanza huoni kuwa uwezekano huo ni mdogo sana? Umeuleta kiubishi tu? Ikiwa imetokea hivyo, wewe kwa ubinadamu wako tu unamuweka mtu huyo kundi lipi? Sasa uliza kwenye Uislam huyo hukumu yake ni ipi? usikurupuke tu.

Fananisha huyo aliyeruhusiwa kuoana mpaka na wake wanne kwa wakatai mmoja halafu yule asiyeuhusiwa hata kuwa na me mmoja akuongoze, kwani huelewi anfanya nini yule? DSoma vatikanoi wangapi ni mashoga huko, utaelewa.

Muulize Slaa kwanini walimtowa upadri?

Ndugu yangu kanisa katoliki wamelawiti watoto dunia nzima, mpaka Umoja wa Mataifa wamepiga kelele, unalielewa hilo? Au unalificha ficha mawazoni?

Utafananisha huyo na msjenzi mmoja anaejidai "shehe" kwa kuvaa kanzu na kwenda msikitini? hapana, hakuna mfumo huo katika Uislam.
 
Huo ni ubishani wa kijinga tu. Shekhe siyo Uislam, kama unamfata Shekhe unaufananisha Uislam na Ukristo. Hilo ni kosa.

Uislam ni dini ya kila mtu siyo ya "Shekhe". Shekhe unaesema kalawiti watoto huyo ndiyo ukisikia "kafiri" katika Uislam.
Mabingwa wa kuufananisha uislam na ukristo ni waislam wenyewe....kwa sababu Uislam bila Ukristo haujakamilika.

Ndio maana utakuta muislam anamfananisha Isa na Yesu... na anazimisha Isa awe Yesu.. Utakuta Muislam anasema Mohamad ametabiriwa kwenye Biblia.

Lakini huwezi kukuta Mkristo anatafuta validation yoyote ya imani yake ya Kikristo kwa Uislam.
 
Back
Top Bottom