mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Utendaji wa mtu haudanganyi. Wanasiasa wanaweza kumuonea mtu lkn umma hauonei mtu.
Hata wanaolalamikiwa na umma, wajue kabisa hawaonewi.
Ingewezekana, Mchengerwa arudishwe utumishi, haraka sana iwezekananvyo.
huyu jamaa alitamka wazi wazi kwamba afisa utumishi atakayechelea kumpandisha mtu daraja na stahiki zake,serikalk haitakuwa na muda wa kulipa deni,atawajibika afisa husika.
huwezi amini polisi wamemaliza kozi,mwezi mmoja baada ya vyeo vipya hela ya vyeo vipya imewekwa.