Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

Hadi sasa nimegundua ni Mawaziri wawili tu wanaoliliwa sana na wale waliokuwa wakiwatumikia.

Mawaziri hao ni aliyehamishwa Wizara mh Mchengerwa na yule aliyetumbuliwa mh Lukuvi.

Why?
Utendaji wa mtu haudanganyi. Wanasiasa wanaweza kumuonea mtu lkn umma hauonei mtu.
Hata wanaolalamikiwa na umma, wajue kabisa hawaonewi.
Ingewezekana, Mchengerwa arudishwe utumishi, haraka sana iwezekananvyo.
 
Alipaweza Sana utumishi na amefanya maboresho mengi Sana. Lukuvi naye Kumuondoa Ardhi ni mbinu chafu ya Jamaa Fulani (Acha nimuite hivyo) alitaka kujimilikisha shamba Fulani huko Morogoro na maeneo kibao Kwa kibabe. Lukuvi akasema no. Sasa Kwa kuwa ndiyo muda wao wa kurudi tena kula mema ya nchi basi wamemuweka huko huyo mgeni nyumbani akafanikishe ufisafi wa Ardhi. Tumeliwa kiubabe.
 
Hadi sasa nimegundua ni Mawaziri wawili tu wanaoliliwa sana na wale waliokuwa wakiwatumikia.

Mawaziri hao ni aliyehamishwa Wizara mh Mchengerwa na yule aliyetumbuliwa mh Lukuvi.

Why?
... sifa ya kwanza ya kiongozi ni kuwa comforter-in-chief kwa anaowangoza; hilo ndio la kwanza na muhimu zaidi! Huyo jamaa kwa eneo hilo alimudu sana. Wengine sasa; mipasho, majivuno, dharau, kebehi, maringo, kujiona, kujisikia, jeuri, viburi, n.k. binadamu gani anataka mambo ya aina hiyo? Asiyetaka ahamie Burundi - hiyo sio kauli inayotegemewa kutoka kwa kiongozi anayejitambua!
 
Hata kwa kuangalia swala ile 21% ya ajira Zanzibar kwa mwerevu angeweza kung’amua haraka na sio kufuata mkumbo wa watu wasio fuatilia mambo muhimu.
 
Tulikuwa tunasubiri kwa hamu utekelezaji wa ile 21% tuone maana iwapo Zanzibar inawatu tuseme 1M inapewa 21%, je Dar yenye watu 5-6 M itapewa asilimia ngapi?

Na vipi kuhusu mgawanyo wa mikoa mingine iliyobaki kutegemeana na idadi ya watu , hizo asilimia za ajira ni vipi?

Kuna swala pia kuwa wazanzibar wapo Zanzibar na Tanganyika Kwa hiyo watapata kwa kule na Pia wakiwa Tanganyika au itakuwaje?

N.k.
 
Utendaji wa mtu haudanganyi. Wanasiasa wanaweza kumuonea mtu lkn umma hauonei mtu.
Hata wanaolalamikiwa na umma, wajue kabisa hawaonewi.
Ingewezekana, Mchengerwa arudishwe utumishi, haraka sana iwezekananvyo.
Ni wale watu wake alioshinikiza kuteuliwa kuongoza idara za serikali bila kuwa na sifa. Wakuu na wasaidizi wa vitengi wengi ni shida ambayo mama anapaswa kulifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom