Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utendaji wa mtu haudanganyi. Wanasiasa wanaweza kumuonea mtu lkn umma hauonei mtu.Hadi sasa nimegundua ni Mawaziri wawili tu wanaoliliwa sana na wale waliokuwa wakiwatumikia.
Mawaziri hao ni aliyehamishwa Wizara mh Mchengerwa na yule aliyetumbuliwa mh Lukuvi.
Why?
Basi Jenister atapelekwa Utamaduni!Utendaji wa mtu haudanganyi. Wanasiasa wanaweza kumuonea mtu lkn umma hauonei mtu.
Hata wanaolalamikiwa na umma, wajue kabisa hawaonewi.
Ingewezekana, Mchengerwa arudishwe utumishi, haraka sana iwezekananvyo.
Angebaki pale bungeni awe ananyoosha mkono kutoa taarifa.That was a sweetest job of her own.Basi Jenister atapelekwa Utamaduni!
... sifa ya kwanza ya kiongozi ni kuwa comforter-in-chief kwa anaowangoza; hilo ndio la kwanza na muhimu zaidi! Huyo jamaa kwa eneo hilo alimudu sana. Wengine sasa; mipasho, majivuno, dharau, kebehi, maringo, kujiona, kujisikia, jeuri, viburi, n.k. binadamu gani anataka mambo ya aina hiyo? Asiyetaka ahamie Burundi - hiyo sio kauli inayotegemewa kutoka kwa kiongozi anayejitambua!Hadi sasa nimegundua ni Mawaziri wawili tu wanaoliliwa sana na wale waliokuwa wakiwatumikia.
Mawaziri hao ni aliyehamishwa Wizara mh Mchengerwa na yule aliyetumbuliwa mh Lukuvi.
Why?
Ni wale watu wake alioshinikiza kuteuliwa kuongoza idara za serikali bila kuwa na sifa. Wakuu na wasaidizi wa vitengi wengi ni shida ambayo mama anapaswa kulifanyia kazi.Utendaji wa mtu haudanganyi. Wanasiasa wanaweza kumuonea mtu lkn umma hauonei mtu.
Hata wanaolalamikiwa na umma, wajue kabisa hawaonewi.
Ingewezekana, Mchengerwa arudishwe utumishi, haraka sana iwezekananvyo.