Djob Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 265
- 203
Kwa hiyo IQ yako ndo imeishia hapa??Huyu mchengerwa si msukuma huyu , ambae ameshirikiana na jiwe kujaza wasukuma kila sehemu Leo , Leo wasukuma wamekosa mtu wa kuwabeba wanalalamika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo IQ yako ndo imeishia hapa??Huyu mchengerwa si msukuma huyu , ambae ameshirikiana na jiwe kujaza wasukuma kila sehemu Leo , Leo wasukuma wamekosa mtu wa kuwabeba wanalalamika.
Cochran's sampling formula inakupa sample size ya kuweza ku-generalize results for the population. Inawezakana johnthebaptist katumia methodology hiyo (sampling). Sio lazima ahoji watumishi wote. Sawa?Watumishi wa uma ni zaidi ya laki nne,wewe umeongea nao wote,acha uhuni wewe.
Huyo Jenister hata nyie MATAGA mmemchoka.,sema ndo basi tu. She is soo lucky.
Amefinywa kwasababu ya ubora wakemchengerwa alipaweza utumishi, ni vile tu waafrika tunautamaduni wa kuwafanyia figisu watendaji wazuri
Kwahiyo polisi wapo chini ya utumishi sio?!huyu jamaa alitamka wazi wazi kwamba afisa utumishi atakayechelea kumpandisha mtu daraja na stahiki zake,serikalk haitakuwa na muda wa kulipa deni,atawajibika afisa husika.
huwezi amini polisi wamemaliza kozi,mwezi mmoja baada ya vyeo vipya hela ya vyeo vipya imewekwa.
Mimi Binafsi Mchenger2a kaniumiza sana nadhani washauri wa Mama hapa hawakuwa sahihi kama hakuwa na makosa mengine,hii wizara aliimudu sana na aliwafuta sana Machozi watumishi.
Hata mimi nimemlilia Mchengerwa na kulaani uwepo wa Jenista MhagamaMimi hapa, nimemlilia Mchengerwa...huyo Lukuvi aende tu
Ndugu hakuna kitu km hicho, mimi kama mtumishi wa umma bila ubaguzi wala upendeleo huyo Jenista Mhagama ametuminya sana,hana la maana amefanya kwa watumishi ila huyu kijana Mchengerwa kwa muda mfupi amekuwa nuru na suluhu ya mambo mengi yalikuwa yanawakabili watumishi. Hivyo si kwamba watu wanampa promo bila sababu, jiulize kwanini wamezungumza sana kuliko wengine? Kwanini hawajamlilia Ndalichako? Wakati mwingine hata km anayo mapungufu yake lakini watumishi walimkubali sana kuliko Jenista MhagamaKura ya maoni imechukukiwa lini na taasisi gani, hao ni watumishi wa taasisi gani, naona Kama ni kikundi Cha mchengerwa kumpa promo kupitia JF, hii ndio michezo ya kina JK
Huko kwenye utumishi amekaa miezi mingapi, ametatua kero gani,
Zanzibar ni Nchi Hilo moja pili hiyo 21% ni takwa la mama au NI takwa la kisheria??Tulikuwa tunasubiri kwa hamu utekelezaji wa ile 21% tuone maana iwapo Zanzibar inawatu tuseme 1M inapewa 21%, je Dar yenye watu 5-6 M itapewa asilimia ngapi?
Na vipi kuhusu mgawanyo wa mikoa mingine iliyobaki kutegemeana na idadi ya watu , hizo asilimia za ajira ni vipi?
Kuna swala pia kuwa wazanzibar wapo Zanzibar na Tanganyika Kwa hiyo watapata kwa kule na Pia wakiwa Tanganyika au itakuwaje?
N.k.
iq ni Nini ?Kwa hiyo IQ yako ndo imeishia hapa??
Huu sio ujinga,ni ukweli mchungu.Kati ya hao mabosi mnaoita wenye roho mbaya na wenye roho nzuri wapi huwa wanatumbuliwa?Ficha ujinga wako
Majungu tumeumbiwa binadamuAcha majungu mtu wa kusini