Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

Utendaji wa mtu haudanganyi. Wanasiasa wanaweza kumuonea mtu lkn umma hauonei mtu.
Hata wanaolalamikiwa na umma, wajue kabisa hawaonewi.
Ingewezekana, Mchengerwa arudishwe utumishi, haraka sana iwezekananvyo.

huyu jamaa alitamka wazi wazi kwamba afisa utumishi atakayechelea kumpandisha mtu daraja na stahiki zake,serikalk haitakuwa na muda wa kulipa deni,atawajibika afisa husika.

huwezi amini polisi wamemaliza kozi,mwezi mmoja baada ya vyeo vipya hela ya vyeo vipya imewekwa.
 
Hadi sasa nimegundua ni Mawaziri wawili tu wanaoliliwa sana na wale waliokuwa wakiwatumikia.

Mawaziri hao ni aliyehamishwa Wizara mh Mchengerwa na yule aliyetumbuliwa mh Lukuvi.

Why?
Mchengerwa kutoka Ku handle issues TISS na PCCB Mpaka kuja Ku handle issues za Twiga Stars na Taifa Queen, sio Fair Kabisa
 
Na ile ardhi ya pale soko la kisesa magu
 
Hadi sasa nimegundua ni Mawaziri wawili tu wanaoliliwa sana na wale waliokuwa wakiwatumikia.

Mawaziri hao ni aliyehamishwa Wizara mh Mchengerwa na yule aliyetumbuliwa mh Lukuvi.

Why?
ukifanya utafiti utabaini kuwa Waziri Mchengerwa ndani ya kipindi chake amewatetea kwa nguvu kubwa sana watumishi wa umma haswa wale walio chini.
amewasemea wale ambao walikuwa wana nyanyaswa na kuonewa n.k
 
Sidhani Mama Jenista kama anaweza kukabiliana na yale aliyo kuwa anapambana nayo Mchengerwa.
inaonekana watumishi walikuwa na imani kubwa sana na Mchengerwa.
 
Hadi sasa nimegundua ni Mawaziri wawili tu wanaoliliwa sana na wale waliokuwa wakiwatumikia.

Mawaziri hao ni aliyehamishwa Wizara mh Mchengerwa na yule aliyetumbuliwa mh Lukuvi.

Why?
Mhe.Mchengerwa nampenda ni mtu anayejua kuwasemea watu wa chini ningependa aendelee hapo utumishi Jamani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Anzisha kitu inaitwa BRING BACK MCHENGERWA MOVEMENT watu tusign petition ya kuhakikisha anarudi hiyo Wizara maana kiukweli ameonyesha kuwajali watumishi na kutekeleza ahadi za Rais kwa kiwango kikubwa ndani ya muda mfupi sana.
 
Mchengerwa arudishwe utumishi hii si haki mh Rais huyu waziri alikuwa na nia ya kuboresha mazingira ya utumishi wa umma.Mhagama mpeleke mawizara hayo ya utamaduni.
 
Hadi sasa nimegundua ni Mawaziri wawili tu wanaoliliwa sana na wale waliokuwa wakiwatumikia.

Mawaziri hao ni aliyehamishwa Wizara mh Mchengerwa na yule aliyetumbuliwa mh Lukuvi.

Why?
Wenye ile wizara(sio wananchi)...walidai dogo hajakomaa kabisa
 
Huyo Mhagama aondoke kabisa kwani hamna Watanzania wenye uwezo kuongoza hiyo wizara
 
Kiukweli kwa kipindi kifupi huyu Mchengerwa ameonesha uwezo mkubwa sana wa kuimudu hii wizara sijajua kwa nini Mama amemtoa ! Kama anasoma humu afanye kumrudisha bila maswali
 
Hadi sasa nimegundua ni Mawaziri wawili tu wanaoliliwa sana na wale waliokuwa wakiwatumikia.

Mawaziri hao ni aliyehamishwa Wizara mh Mchengerwa na yule aliyetumbuliwa mh Lukuvi.

Why?
Lukuvi kaliliwa wapi ? mchengerwa na Naibu waziri wake Deogratius Ndenjembi walikua majembe kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…