Ninadhani upandishwaji wa madaraja kwa wakati ilikua msukumo zaidi kutoka kwa mkuu wa nchi.
Mchengerwa alikua mtekelezaji tu wa maelekezo kutoka kwa mh. Rais.
Hata awamu iliyopita sio kwamba Mkuchika hakua na uwezo wa kupandisha madaraja kwa wakati bali alitii maelekezo ya mamlaka iliyokua imemuweka
Magu mbona alijaza ndugu zake ardhini na angani alikwepa nini; uhai ni wa Mungu sheheNa anatakiwa kusimamia Ili kumhakikishia usalama mkwe wake
Naunga mkono hoja jamaa aliweza sn hii wizaraMama chonde chonde, nakuomba tena kwa kusisitiza sana, mrejeshe Mohammed Mchengerwa Wizara ya Utumishi. Huyo bwana hapo alikuwa smart sana na alijitahidi sana kushughulikia na kutolea ufafanuzi kwa ufasaha kabisa masuala ya kiutumishi.
Huyu kipaza sauti uliyemleta utumishi naomba arudi huko kwenye sera na siasa nyingine. Mhagama ni mpiga mayowe tu na hawezi kujenga hoja, atasababisha uchukiwe bure na watumishi.
Mchengerwa ni smart sana ambaye ameanza vizuri, hupaswi kumkatisha tamaa kwa kupeleka huko.
Yule anatakiwa Utumishi au TAMISEMI. Very smart
Mwisho rekebisha jina la Wizara ya Gwajima hasa pale kwenye Wanawake na Jinsia hapajakaa vizuri maana neno jinsia linatisha sana
Kazi iendelee!!
HR's wote walishika adabuMh. Rais kwakumuondoa Mchengerwa umetukosea sana watumishi wa Nchi hii... Ndani ya Muda mfupi aliohudumu katka UTUMISHI mambo mengi yalibadirika na watumishi walifurahi.. Sasa huyu Mwanamama uliemleta hatufai ata bure sijui ninani aliekushauri utuletee Huyu.. Huyu Muhagama ni Bendera fuata upepo tu kwanza uyu nahisi nae ni Sukuma Gang tunakuomba utuondolee uyu Muhagama uwezo wake ni mdogo sana hana ushawishi wa kuwaagiza maafisa Utumishi miungu watu kwenye maofisi... Mh Rais tunakuomba sana Muhagama ni Big No
Aliweza sn hiyo wizara sema bibi ushungi sijui anawaza nini?Huyu mheshimiwa alifiti Sana na ailitenda haki kwenye ile wizara, Rais wetu mpendwa unaesikiliza wananchi wako tunakuomba, tunakusihi mrejeshe huyu mheshimiwa kwenye ile wizara, huyu mwingine mpeleke kwingineko. Tunakuomba Sana Rais wetu.
Bora Mchengerwa alikuwa anawapigania sana watumishi.Kweli Mhe Mchengerwa amesemewa na kupiganiwa sana kwenye makundi mengi juu ya kubadirishwa kwake Wizara. System na Mamlaka zitakuwa imesikia na itapima faida na hasara za kufanya mabadiriko ndani ya muda mfupi na haitakuwa mara ya kwanza. Mnakumbuka yule aliepata msituko na kushindwa kusoma Kiapo na hivyo kushindwa kuapa Uwaziri Ukayeyuka.
Hata hivyo kuna mazuri na sio mazuri kwa Uongozi wa Pamoja na kulinda Hadhi na Staha za Viongozi wa Nafasi Zingine katika Muundo za Serikali baada au pamoja na Wizara ambazo Mawaziri na Viongozi katika Nafasi Hizi zingine hawanabudi kuzingatia katika kutoa kauli/ matamshi mbele ya Umma ,Wananchi, au na Watumishi. Unaweza ukawa unawafurahisha Wanaokusikiliza lakini unawaondolea Imani na kupokelewa kwa Viongozi Wengine.
Ningeweza kutoa mifano ya kauli hizo tata lakini nitakuwa nina mlenga Kiongozi husika Moja kwa Moja. Mhe Mchengerwa kuna Kauli alizitoa zinavutia na kupendwa na Watumishi lakini wakati huo huo zinabomoa taswira ya Viongozi wa Mkoa, Wilaya na Idara/ Taasisi hata kama zipo sawa kisheria na kanuni za kiutumishi. Ngazi mbalimbali za serikali zinafanya kazi kwa Consultation na Mawasiliano ya Ndani Kimaandishi na sio kutoleana Decree Kadamnasi.
Huyo maza ana kazi maalumu ya kudhibiti ongezeko la mishahara, kikokotoo kurudishwa na hapandi mtu daraja.Tunataka Mchengerwa arudi! Mtu anafanya kazi vizuri mnamtoa! Kweli ngozi nyeusi Bado tuna safari ndefu! Hivi huyu jenista sijawahi ona la maana alilofanya, bungeni alikuwa ni mama wa kuwawekea wenzake mapingamizi.....taarifa spika,.....taarifa! Leo wanamuweka Wizara nyeti inayodeal na watumishi! Bure kabisa!
Mkuu naomba link ya hiyo app,nina mengi yananiandama.Mchengerwa Smart Sana
Alianzisha utaratibu wa App ya Mtumishi unawasilisha Kero yako moja kwa moja na unajibiwa (e-mrejesho, e- Malalamiko)
Mama chonde chonde, nakuomba tena kwa kusisitiza sana, mrejeshe Mohammed Mchengerwa Wizara ya Utumishi. Huyo bwana hapo alikuwa smart sana na alijitahidi sana kushughulikia na kutolea ufafanuzi kwa ufasaha kabisa masuala ya kiutumishi.
Huyu kipaza sauti uliyemleta utumishi naomba arudi huko kwenye sera na siasa nyingine. Mhagama ni mpiga mayowe tu na hawezi kujenga hoja, atasababisha uchukiwe bure na watumishi.
Mchengerwa ni smart sana ambaye ameanza vizuri, hupaswi kumkatisha tamaa kwa kupeleka huko.
Yule anatakiwa Utumishi au TAMISEMI. Very smart
Mwisho rekebisha jina la Wizara ya Gwajima hasa pale kwenye Wanawake na Jinsia hapajakaa vizuri maana neno jinsia linatisha sana
Kazi iendelee!!