Ningekuwa ni Mmoja wa viongozi wa CHADEMA muda huu ningekuwa mpakani

Jf ni sehemu tu ya kuripoti hisia za umma. Au unaamini wasiongia jf ni wajinga hivyo wanaamini huo utopolo alioongea rais?
Jichanganye uingie kwenye maandamano tarehe 23 ili wakuvunje mkono au mguu Tindo
 
Si mlisema awamu ya tano ni ya kidigiteta inakandamiza,kuua demokrasia,na mkashangilia awamu ya sita kuwa ndiye mkombozi na muumini ktk demokrasia na maelewano,imekuwaje tena kuwa wana CDM watangulie mpakani?
 
Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.

Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.

Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.

Otherwise Segerea itawahusu

Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Hizo ni drama tu wahalifu huwa awaharifiwi kuwa nimekuona ukipanga uhalifu, wahalifu wanakamatwa hapo hapo na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria lakini ukianza kusikia tambo kwenye majukwaa hizo ni siasa tu.
 
Nchi siyo mali ake binafsi, hakuna kiongozi wa CHADEMA ataondoka, kama ana intelijensia kali hivyo mbona hiyo intelijensia imeshindwa kudhibiti mauaji na utekaji? wizi umejaa serikalini lakini ameshindwa
Nadhani hajui kwamba Changamoto tunakabiliana nazo hatuzikimbii, ukizingatia changamoto zenyewe zimesababishwa na binadamu

we do not run away from uncertainties we have to overcome them at all costs, uncertainties are catalyzed by people
 
Haya ngoja tuone next week
 
Soon utanielewa
Myika si ameitwa police then utaelewa

Unajua clip ya Dr slaa kuhusu kutekana inasemaje? Ukipata hiyo clip then utanielewa what I mean
Uiue slaa anarangi tatu slaa wakati wa CDM, Slaa Wakati wa CCM na slaa mwwanaharakati, Sasa unaongelea akiwa na Rangi gani pia ujue pia slaa ni mwanafalsafa anachokiongea unapaswa kukijua anamaana gani na analenga nini.
 
Fungua code ya Rais

Jana alimtaja slaa gani Kati ya hao uliowataja
 
Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.

Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.

Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.

Otherwise Segerea itawahusu

Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Ungefurahi wakikimbia wakuachie uchaguzi
 
Nchi siyo mali ake binafsi, hakuna kiongozi wa CHADEMA ataondoka, kama ana intelijensia kali hivyo mbona hiyo intelijensia imeshindwa kudhibiti mauaji na utekaji? wizi umejaa serikalini lakini ameshindwa
Umenikumbusha kuhusu ufisadi, kamati za kuchunguza ufisadi huo zinaundwa nyuma ya mikamera majibu nyuma ya pazia, changamoto nyingi tulizonazo husababishwa na binadamu kwa kutokujua ama kwa makusudi, hakuna atakaye ishi milele, jamii mfu ama iliyo nyamaza, (silent society), haiwezi kubuni mbinu za kukabiliana na changamoto zilizopo na zitakazo kuja

Jamii iliyo nyamaza haijishughulishi na changamoto zilizojitokeza kwenye jamii husika ama kubuni mbinu za kukabiliana nazo, (silence surrenders public responsibilities)
 
Yeye mwenyewe alisema amesikitishwa sana na kifo Cha Kibao na anaomba taarifa ya kina kuhusu kifo hicho..........

Iweje leo aseme, kifo hicho kimeshikiliwa Bango pekee na jumuia mbalimbali, zikiwemo viongozi wakubwa wa dini, balozi mbalimbali za nje ya nchi, wanaharakati mbalimbali na vyama vya siasa vya upinzani??

Kwa hiilo alilolisema kuwa kulikuwa na kikao Cha Siri huko Arusha, dawa yake ni iundwe Tume huru ya kuchunguza mambo yote hayo
Mwenyewe ni mtuhumiwa hawezi kukubali
 
Umenikumbusha kuhusu ufisadi, kamati za kuchunguza ufisadi huo zinaundwa nyuma ya mikamera majibu nyuma ya pazia, changamoto nyingi tulizonazo husababishwa na binadamu kwa kutokujua ama kwa makusudi, hakuna atakaye ishi milele, jamii mfu ama iliyo nyamaza, (silent society), haiwezi kubuni mbinu za kukabiliana na changamoto zilizopo na zitakazo kuja

Jamii iliyo nyamaza haijishughulishi na changamoto zilizojitokeza kwenye jamii husika ama kubuni mbinu za kukabiliana nazo, (silence surrenders public responsibilities)
Sisi tutapambana naye na isitoshe yeye siyo mbara hivyo hana uchungu na sisi
 
Nadhani hajui kwamba Changamoto tunakabiliana nazo hatuzikimbii, ukizingatia changamoto zenyewe zimesababishwa na binadamu

we do not run away from uncertainties we have to overcome them at all costs, uncertainties are catalyzed by people
Hakuna kiongozi wa CHADEMA atakimbizwa na mzanzibar
 
Slogan za nyuma ya keyboard hizo 🤣

Kaandamane mkuu wangu jasiri wa kupigiwa mfano....
Lkn hizo hizo slogani za nyuma ya keyboard - ndo zimemfanya Mama akaongea kwa kupaniki na hasira - na alisema huwa anapitia na anaona moto unavyowaka.
Nchimbi alisema jinsi mitandao inavyoongea, polisi kila muda wanatuma barua zao kwenye mitandao - kwa keyboard.
Humu JF serikali iliwataka kuwasilisha taarifa za watumiaji - JF wakakaza ikawaletea cases n.k.
Ulimwengu uko mbali sana - sasa hivi unapigwa na kitu kizito na mtu yuko nyuma ya keyboard na unapaya effect hata zaidi ya mtu anayekuchana live.
 
Huenda wameshawastukia hila zenu 😆😆

Ujinga wakati wa kwenda kurudi huwa werevu.

Mange alishatoa alarming alert juu ya hayo.

Awareness is empowering.
 
Back
Top Bottom