Jichanganye uingie kwenye maandamano tarehe 23 ili wakuvunje mkono au mguu TindoJf ni sehemu tu ya kuripoti hisia za umma. Au unaamini wasiongia jf ni wajinga hivyo wanaamini huo utopolo alioongea rais?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jichanganye uingie kwenye maandamano tarehe 23 ili wakuvunje mkono au mguu TindoJf ni sehemu tu ya kuripoti hisia za umma. Au unaamini wasiongia jf ni wajinga hivyo wanaamini huo utopolo alioongea rais?
Hizo ni drama tu wahalifu huwa awaharifiwi kuwa nimekuona ukipanga uhalifu, wahalifu wanakamatwa hapo hapo na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria lakini ukianza kusikia tambo kwenye majukwaa hizo ni siasa tu.Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.
Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.
Otherwise Segerea itawahusu
Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Nadhani hajui kwamba Changamoto tunakabiliana nazo hatuzikimbii, ukizingatia changamoto zenyewe zimesababishwa na binadamuNchi siyo mali ake binafsi, hakuna kiongozi wa CHADEMA ataondoka, kama ana intelijensia kali hivyo mbona hiyo intelijensia imeshindwa kudhibiti mauaji na utekaji? wizi umejaa serikalini lakini ameshindwa
Hizo ni drama tu wahalifu huwa awaharifiwi kuwa nimekuona ukipanga uhalifu, wahalifu wanakamatwa hapo hapo na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria lakini ukianza kusikia tambo kwenye majukwaa hizo ni siasa tu.
Uiue slaa anarangi tatu slaa wakati wa CDM, Slaa Wakati wa CCM na slaa mwwanaharakati, Sasa unaongelea akiwa na Rangi gani pia ujue pia slaa ni mwanafalsafa anachokiongea unapaswa kukijua anamaana gani na analenga nini.Soon utanielewa
Myika si ameitwa police then utaelewa
Unajua clip ya Dr slaa kuhusu kutekana inasemaje? Ukipata hiyo clip then utanielewa what I mean
Uiue slaa anarangi tatu slaa wakati wa CDM, Slaa Wakati wa CCM na slaa mwwanaharakati, Sasa unaongelea akiwa na Rangi gani pia ujue pia slaa ni mwanafalsafa anachokiongea unapaswa kukijua anamaana gani na analenga nini.
Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.
Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.
Otherwise Segerea itawahusu
Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Umenikumbusha kuhusu ufisadi, kamati za kuchunguza ufisadi huo zinaundwa nyuma ya mikamera majibu nyuma ya pazia, changamoto nyingi tulizonazo husababishwa na binadamu kwa kutokujua ama kwa makusudi, hakuna atakaye ishi milele, jamii mfu ama iliyo nyamaza, (silent society), haiwezi kubuni mbinu za kukabiliana na changamoto zilizopo na zitakazo kujaNchi siyo mali ake binafsi, hakuna kiongozi wa CHADEMA ataondoka, kama ana intelijensia kali hivyo mbona hiyo intelijensia imeshindwa kudhibiti mauaji na utekaji? wizi umejaa serikalini lakini ameshindwa
Mwenyewe ni mtuhumiwa hawezi kukubaliYeye mwenyewe alisema amesikitishwa sana na kifo Cha Kibao na anaomba taarifa ya kina kuhusu kifo hicho..........
Iweje leo aseme, kifo hicho kimeshikiliwa Bango pekee na jumuia mbalimbali, zikiwemo viongozi wakubwa wa dini, balozi mbalimbali za nje ya nchi, wanaharakati mbalimbali na vyama vya siasa vya upinzani??
Kwa hiilo alilolisema kuwa kulikuwa na kikao Cha Siri huko Arusha, dawa yake ni iundwe Tume huru ya kuchunguza mambo yote hayo
Sisi tutapambana naye na isitoshe yeye siyo mbara hivyo hana uchungu na sisiUmenikumbusha kuhusu ufisadi, kamati za kuchunguza ufisadi huo zinaundwa nyuma ya mikamera majibu nyuma ya pazia, changamoto nyingi tulizonazo husababishwa na binadamu kwa kutokujua ama kwa makusudi, hakuna atakaye ishi milele, jamii mfu ama iliyo nyamaza, (silent society), haiwezi kubuni mbinu za kukabiliana na changamoto zilizopo na zitakazo kuja
Jamii iliyo nyamaza haijishughulishi na changamoto zilizojitokeza kwenye jamii husika ama kubuni mbinu za kukabiliana nazo, (silence surrenders public responsibilities)
Hakuna kiongozi wa CHADEMA atakimbizwa na mzanzibarNadhani hajui kwamba Changamoto tunakabiliana nazo hatuzikimbii, ukizingatia changamoto zenyewe zimesababishwa na binadamu
we do not run away from uncertainties we have to overcome them at all costs, uncertainties are catalyzed by people
Lkn hizo hizo slogani za nyuma ya keyboard - ndo zimemfanya Mama akaongea kwa kupaniki na hasira - na alisema huwa anapitia na anaona moto unavyowaka.Slogan za nyuma ya keyboard hizo 🤣
Kaandamane mkuu wangu jasiri wa kupigiwa mfano....