KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Chota kimyakimya tena peke yako, usithubutu kumjulisha mkeo na asishike jembe mwambie ataharibika mikono kwa kuota sugu.Kwa Sheria za Tanzania, unaweza kumiliki ardhi lakini sio kilichopo chini ya ardhi kama madini. Ndivyo nijuavyo, labda kama utaratibu umeshabadilika. Inamaanisha kuwa hata ukigundua dhahabu kwenye shamba lako au kiwanja chako, hutaruhusiwa kuchimba mpaka uwe na leseni.
Sasa chukulia ulikuwa unachimba shimo la choo, na ghafla ukakutana na bonge la dhahabu (nugget) kubwa kama kichwa cha ng'ombe, nini utakachopaswa kufanya Kisheria?
1. Kwenda kuripoti Polisi?
2. Kwenda kutoa taarifa wizarani?
3. Kuujulisha uongozi wa Serikali ya Mtaa?
4. Kwenda kuiuza na kisha kuwasilisha TRA stahiki za Serikali?
Ni hatua gani sahihi utakayopsawa kuchukua?
Nani atakuwa mmiliki halali wa hiyo dhahabu?
Ukijimilikisha bila kutoa taarifa Serikalini utakuwa umetenda kosa, hasa ikizingatiwa kuwa umeichimbua bila kutarajia?
Nahisi hapo ni Geita. Ndiyo mkoa wenye hiyo "tabia".Chota kimyakimya tena peke yako, usithubutu kumjulisha mkeo na asishike jembe mwambie ataharibika mikono kwa kuota sugu.
Kunajamaa aliajiri mtu amchimbie shimo la choo, jamaa aliikuta chepe huku mchimbaji hajulikani alipo
[emoji28]Ila wakikuta bhangi shambani ni yako, hivyo wewe nawe jiongeze
I wish Bangi ingekua na thamani sawa na dhahabu sijui wangefanyajeFormula hapa ni ile ile tu.
Shamba likikutwa na Dhahabu linageuka kua la Serikali, ila likikutwa na Bangi hilo ni la kwako tum
Utadakwa na Serekali ukatoe maelezo alafu unapokonywa unakua wa kwao wanamuita muwekezaji wewe unatimuliwa bila kupewa chochote upishe uchimbaji uendeleeMfano, ukigundua kuwa shamba lako ni "mlima" wa dhahabu, utafanya nini?
Ndio hivyo Tena this is Africa my blood huku sio ulaya huku ni bara la Giza ukikutwa nacho ni Cha kwao sio Cha kwako usicheze na nyara za Serekali na tunu za Taifa ukidakwa na nyama ya swala hata robo tu utanyea debe miaka 30 bila rufaaSijui kama walinufaika nayo au ndiyo hivyo tena!
Ningetoka eneo la tukio kwenda kuhifadhi jiwe kubwa kwanza kisha mengine yaendeleeFikiri umeukuta mzigo kama huu shambani kwako!
Ukikuta shambani shamba linageuzwa kua sio Mali yako tena linachukuliwa na wenyewe wenye nalo wewe ulikodishiwa tu hio Ardhi sio Mali yako ni Mali yao kwa hio upishe wenyewe wenye Mali yao waichimbe wewe utatimuliwa tuFikiri umeukuta mzigo kama huu shambani kwako!
Huna Cha kumshauri mwambie tu aifikishe kwa Mkemia akaisalimishe kabla hajavutiwa pira na msako wa nguvuKama kweli umepata Gold Nuggets sema ili nikushauri kitu chenye Uhalisia coz mimi ni mdau wa Madini....!
Ila kama ni story tu ambazo hazina uhalisia, basi wacha niendelee kusoma Comments.
Uiuze wapi? Kabla haujadakwa na kuitwa mtorosha Madini? Hivi mnachukulia poa poa au sio? Jaribu kufanya huo ujinga uone unavyodakwa kirahisi, wewe isalimishe kwa wenyewe wenye ardhi yao waichukue sio Madini mapya dhahabu kwamba umegundua km ilivyotokea kwa yule Mzee wa Tanzanite, ukidakwa unaisalimisha inataifishwa umekula kwako the EndHivi melting point ya dhahabu ni ngapi ili uweze kuikata na kuuza kidogo kidogo kwa usalama wako..,...au unaweza kuikata na msumeno tu kama nondo ya kawaida....???
Mzee wewe ni broker nini.?Ndo maana nilisema utonielewa.... Haya we ipeleke ila utanielewa watakapogoma kuinunua mpaka useme imetoka wapi kwa vielelezo!
Nahisi ni 1000 C ila kahama,Mbeya na baadhi ya sehemu Geita huko na shibyanga kuna sehemu kibao za Kuyeyesha huwa wanazitumia Mabroker...Inawezekana kuonekana ni mjadala wa kivivu lakini ni wenye manufaa sana.........
Hivi melting point ya dhahabu ni ngapi ili uweze kuikata na kuuza kidogo kidogo kwa usalama wako..,...au unaweza kuikata na msumeno tu kama nondo ya kawaida....???