Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Ilete tukutunzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyamongo hapo kuna watu wananunua mawe kutoka kwa wachimbaji wadogo hata kwa watu wanaokota mawe kwenye mgodi wa Acacia. Nilishafika Nyamongo nikajioneaLabda Kenya huko, au unazungumzia DRC Congo?
Chamsingi wakupe leseni hapa unahitajika umakini Kuna baadhi ya watumishi sio waaminifu watatakanawe mwana hisa pia so akili kumkichwaHapo penyewe tu ukienda kuomba kukata leseni ya kitalu tayari wataweka doti kichwani mwao,
Kwa hio wewe kapuku wa huko ndani ndani hio hela ya kua Sonko unaitoa wapi zaidi ya kwenda kujichomesha mwenyewe upokonywe na mamwera mwisho ubebe mtutu km Hamza ufe kibuduNyamongo hapo kuna watu wananunua mawe kutoka kwa wachimbaji wadogo hata kwa watu wanaokota mawe kwenye mgodi wa Acacia. Nilishafika Nyamongo nikajionea
Hawa wanunuaji wanaitwa Sonko /masonko
Wakupe leseni kwa kipi lazima wakuweke kwenye black book kwanza wewe huna taaluma ya Madini hujawahi kuchimba leo hii ukurupuke tu unataka leseni unafikiri leseni wanatoatoa tu hiviChamsingi wakupe leseni.
Aliekwambia leseni inahitaji experience ni nani??? Na unaongelea black book gani kaka..... TAFUTA HELA leseni unapata hata makazi ya RAISWakupe leseni kwa kipi lazima wakuweke kwenye black book kwanza wewe huna taaluma ya Madini hujawahi kuchimba leo hii ukurupuke tu unataka leseni unafikiri leseni wanatoatoa tu hivi
Unaenda kujichomeshaAliekwambia leseni inahitaji experience ni nani??? Na unaongelea black book gani kaka..... TAFUTA HELA leseni unapata hata makazi ya RAIS
Hio - HiyoKwa hio wewe kapuku wa huko ndani ndani hio hela ya kua Sonko unaitoa wapi zaidi ya kwenda kujichomesha mwenyewe upokonywe na mamwera mwisho ubebe mtutu km Hamza ufe kibudu
Hujanilipia Ada kalia 🖕🏽Hio - Hiyo
Kua - Kuwa
Sasa kama unashindwa kuandika maneno ya lugha ya kiswahili kwa usahihi wala huwezi kutumia alama za uandishi
Sasa utakuwaje na akili ya kuuza hiyo dhahabu?
Kama unayo, nipe nikuuzie
Kama kuandika tu hujui, huwezi kuwa na akili ya kumiliki maliHujanilipia Ada kalia 🖕🏽
Anza wewe mtoto wa panyaroad nenda kaiuze hio dhahabu uliyonayo hapo nyumaKama kuandika tu hujui, huwezi kuwa na akili ya kumiliki mali
Hiyo dhahabu hata ukimpa mtoto wa Panya road anaiuza na kupata hela. Sasa wewe unashindwaje? Tumia akili
Chukua hiyo dhahabu kawape Panya Road uone mzigo unavyouzwa chap na watu hawakamatwi
Chimba unavyojua wewe kama ukimaliza 24hrs niite mbwaUnaenda kujichomesha
Utakapoanza kujenga maghorofa na kununua malory, mabasi hawatakuja kukuuliza umetoa wapi pesa.Utajibu nini ukifunguliwa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji pesa, ujambazi nk ?Kwa hiyo kumbe ni bora ujinyamazie zako na kuiuza kimya kimya.
Lakini Serikali imetoa wapi huo utaratibu? Mbona inawashawishi raia kusema uongo?
Tupeani ushauri. Wewe ikitokea umekutana na mzigo wa aina hiyo ungefanyeje?Utakapoanza kujenga maghorofa na kununua malory, mabasi hawatakuja kukuuliza umetoa wapi pesa.Utajibu nini ukifunguliwa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji pesa, ujambazi nk ?
Hiyo namba 2 hapo nikuulize swali, Je unafuatilia ile kesi kule Mtwara ya yule mfanyabiashara ya madini (RIP) ?Tupeani ushauri. Wewe ikitokea umekutana na mzigo wa aina hiyo ungefanyeje?
1. Utaupeleka kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa?
2. Utaupeleka Polisi?
3. Utautelekeza?
4. ...?
Naona mmekutana wote hamna anaejua chochote... Leseni haina mambo mengi hivyo wandugu...Mnapotezana tu humu.Wakupe leseni kwa kipi lazima wakuweke kwenye black book kwanza wewe huna taaluma ya Madini hujawahi kuchimba leo hii ukurupuke tu unataka leseni unafikiri leseni wanatoatoa tu hivi
Sawa mkuu mwaga elimu wewe unaejua mengiNaona mmekutana wote hamna anaejua chochote... Leseni haina mambo mengi hivyo wandugu...Mnapotezana tu humu.