GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #101
Ukiwapelekea hawatakuwa na shida na wewe. Sana sana watakutia moyo ufanye hivyo tena. Watakuwa marafiki zako wa karibu.Hiyo namba 2 hapo nikuulize swali, Je unafuatilia ile kesi kule Mtwara ya yule mfanyabiashara ya madini (RIP) ?
Kwani umeshawahi kumsikia mtu anayemchukia mtu anayempelekea ulaji?
Polisi siyo wajinga mkuu! Mbele ya dhahabu, usishangae unaitwa kamanda hata kama hujapitia mgambo.