Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

Una bahati umeanzisha huu Uzi na Kuhoji huku na haujafutwa. Wiki iliyoisha nami nilikuja na Uzi kama huu ila ndani ya Sekunde 7 Ukafutwa na Moderators hadi leo najiuliza ulikuwa na tatizo gani. Nakushukuru kwa Kuuanzisha ili nami niyajue mengi ya huyu Mtu ambaye kila nikimuangalia kwa Jicho langu Tukuka la Ndege Tai siuoni huo Utajiri kama ni wake ila nahisi Lugumi yuko nyuma yake kwa Mpango Maalum na Mkakati muafaka wa Utakatishaji Fedha.
 
Ila mwenyewe nilisikiaga anapata pesa kwa jicho la tatu. Sielewi anatoaga jicho lipi hasa 🤷!
Tusidanganyane hapa, yaan Mk ndo umpe hizo pesa na maisha ya kufuru? Kwa basha gani? Hata hao wageni hawahongi hivyo.

Huyu kuna njia ingine anayopatia pesa hizo, ila sio kukunja 7, iko siku ukweli utajulikana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…