Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

Kwamba Guilty until Proven innocent ?!!! Nadhani badala ya Serikali kutumia pesa zetu kufuatilia watu bila sababu za msingi wangehakikisha wengi wasio hata na milo miwili let alone mitatu wanapata ujira....

Maadui wetu hawajawahi kubadilika tangia uhuru (ujinga, umasikini na maradhi) huyu jamaa unless anakula kodi zetu sidhani kama ni kipaumbele (tusimpangie maisha)
 
Ni jambo la Muda tu...

Tuvute Subra...
Utajiri wake umekuja haraka sana na haijulikani kazi, biashara au nn chanzo cha mapato yake.

Narudia tena tuwe na subra na yetu macho
Wachawi bwana ..mtu pesa zake unataka usubirie ili iweje..wabongo ndio mana maskin na wachawi ni wengi kuliko waliofankkiwa..eti tuwe na subra ,,hapo mmekaa mnasubiria anguko lake
 
Mashudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…