Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

Intelligence officer,akiuliwa,hiyo sio assassination,ni sehemu ya kazi ya taasisi yoyote ya ujasusi duniani,
Hayo ndio huwa malipo ya Usaliti,ukisaliti uongozi uliopo wa kisiasa ambao ndio boss wa taasisi yeyote ya kijasusi katika nchi,lazima uondolewe,au ukimbilie uamishoni Kama wale mageneral wa Rwanda,waliposhindwana na Kagame wakalala mbele,tatizo wakajisahau,Kagame aka strike Tena,mmoja akapoteza maisha,alinyongwa hotelini.
Jasusi akiuliwa,ukweli unakuwa mgumu sana kujurikana nani kafanya mambo,
Wakati mwingine taasisi za kijasusi za nje zinaweza zinaendesha operation Ili kuwachonganisha.
Mfano,chukulia Membe akipigwa Risasi,lawama zitaenda moja kwa moja kwa Maghu,na nchi haitakarika.
Mfano mwingine,ukitaka Kenya iwake moto,Makamu wa Raisi Wiliam Ruto ashambuliwe kwa risasi,msafara wake.,watu wote watasema Uhuru Kenyata ndio kafanya,hata Kama hiyo operation imefanywa na covert unit kutoka Tanzania,na Kenya itachafuka kinoma,uchumi utayumba,adui...mwombee njaa,watalii wote watakimbilia bongo,tutakuwa tumemuweza mshindani wetu.
Ila siku akijua!vita ya Dunia ya East Afrika lazima itokee

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Superbug , B'REAL ,


 
Lakini Sio kwa kuwa eti alikuwa karibu na 'mpinzani wa wakati huo ' Augustine Mrema
Marehemu alitaka amtumie mzee wa kiraracha kuchukua dola kwa njia ya sanduku la kura. Nyuma ya pazia, mzee wa kiraracha angefeli urais ( hakuwa na safu kubwa ya uongozi) na ndipo marehemu kwa kutumia influence ya jw, "kumbuka cheo cha marehemu kilikuwa kikubwa ( maj gen)"
angepindua nchi.
Kwa hiyo Lyatonga alikuwa chambo.
Baada ya Lyatonga kuukosa, marehemu akawa anaendelea kuvujisha info.
Aliitwa white hse kuulizwa "hizi taarifa nyeti zinatokaje ndani ya idara yako?
Alivyokuwa bwege akasema sijui. Akapigwa chini.
Kumbuka ile NSC( ya wakati ule ilikuwa ina unyerere.
Nsc national security council.
Umepata picha walau kidogo.
 

Huyo mzee wa kiraracha mwenyewe ni TISS aliewahi shika nyadhifa ambazo zinamvua cover, ukiona mtu hamjui Mrema kama ni TISS ujue ni mtoto mdogo au mtu ambae ni mshamba/hana muda na mambo yanayoendelea nchini

Hamna point hapo kwa mzee wa kiraracha , n
 
kuwa karibu ni sababu zisizo na mashiko kuna sababu zingine nyingi sana


Yule mzee inawezekana yaliyofanyika walimuonea (Walimtoa kwenye nafasi ya ukuu wa chombo hicho) au alitaka kufanya mchezo mchafu ambao ulibumburuka wakammaliza
 

Hapana hii ni Gahawa tena Arabica mkuu.
 
Mwana kulitafuta!
 
Huyu Bwana, aliingia mkenge wa Chaga movement. Wakati huo ukiondoa Wahaya na Wanyakyusa, Wachaga walikuwa na wasomi wengi hadi kujiaminisha kuwa wanaweza kuendesha nchi wenyewe kwa kushika nafasi nyeti za uongozi. Na by that time post nyingi muhimu walikuwa wamezishika na hivyo kujiona it was their turn to hold the highest post.

Pia walikuwa na complains zao dhidi ya Jk.

Yeye kosa lake ni kutojitambua kuwa kwa rank yake hakupaswa kufumbia macho hiyo movement na wala hakupaswa kuwa sehemu ya hiyo movement.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Tutawauzia chakula
 
mauaji ya Lt.Gen.Kombe yalitokea wakati wa utawala wa Mkapa. Nadhani unakosea unapomhusisha JK.
 
Wewe jamaa unauliza maswali nyeti sana hongera sana mkuu wangu [emoji120]
 
Watu wanachapa code tu nasoma sielewi ila nakazana nimalize comments labda taelewa huko mbele [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mm naelewa vizuri kabisa
 
Hizi codes zinachangamsha sana akili wadau
 
Da jamaa umenifungua kitu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…