JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Intelligence officer,akiuliwa,hiyo sio assassination,ni sehemu ya kazi ya taasisi yoyote ya ujasusi duniani,
Hayo ndio huwa malipo ya Usaliti,ukisaliti uongozi uliopo wa kisiasa ambao ndio boss wa taasisi yeyote ya kijasusi katika nchi,lazima uondolewe,au ukimbilie uamishoni Kama wale mageneral wa Rwanda,waliposhindwana na Kagame wakalala mbele,tatizo wakajisahau,Kagame aka strike Tena,mmoja akapoteza maisha,alinyongwa hotelini.
Jasusi akiuliwa,ukweli unakuwa mgumu sana kujurikana nani kafanya mambo,
Wakati mwingine taasisi za kijasusi za nje zinaweza zinaendesha operation Ili kuwachonganisha.
Mfano,chukulia Membe akipigwa Risasi,lawama zitaenda moja kwa moja kwa Maghu,na nchi haitakarika.
Mfano mwingine,ukitaka Kenya iwake moto,Makamu wa Raisi Wiliam Ruto ashambuliwe kwa risasi,msafara wake.,watu wote watasema Uhuru Kenyata ndio kafanya,hata Kama hiyo operation imefanywa na covert unit kutoka Tanzania,na Kenya itachafuka kinoma,uchumi utayumba,adui...mwombee njaa,watalii wote watakimbilia bongo,tutakuwa tumemuweza mshindani wetu.
Ila siku akijua!vita ya Dunia ya East Afrika lazima itokee
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app