Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
hapa nimekusoma. maana mtu ambae amekua na amekulia akiwa kwenye taasisi anakuwa na ethics fulani. anakuwa na hofu fulani.. haendeshi taasis kisiasa.Ni mtanzania. Maana yangu TISS mzawa, aliekulia ndani. Naamini hili la diwani wengi wazee mle tena wakongwe kama hawakulipenda ila hawakuwa na namna. Na nifikiri pia mteuaji alikuwa na mashaka ya kuteua DG ambae ni zao la mtangulizi wake au watu wa watu
Mimi mchimba chumvi tuSawa jasusi q
Kigogo ni kikundi cha watu ndani ya systemhanafanikiwa bado. huyo kigogo hategemei bomba moja. na sito shangaa kama kigogo ni mwana system au watu walioko system ambao wameanzisha vuguvugu lao.
na amerudi again. TISS wajiangalie tena.
Dogo kaa kimya hujui kituKigogo ni kikundi cha watu ndani ya system
Umejuaje kama mimi ni dogo?Dogo kaa kimya hujui kitu
Nilikuwa ninakutania tu mkuu. UsikasirikeUmejuaje kama mimi ni dogo?
Hapa hatukasirishani mzee mwenzangu ila Inawezekana kweli nikawa mdogo kwakoNilikuwa ninakutania tu mkuu. Usikasirike
Wewe mkubwa sana kwangu. Mimi nimezaliwa mwaka 1984Hapa hatukasirishani mzee mwenzangu ila Inawezekana kweli nikawa mdogo kwako
Umri ni namba tu maisha lazima yasonge mbeleWewe mkubwa sana kwangu. Mimi nimezaliwa mwaka 1984
acha uongo sheria za kidaktari haziruhusu.alisoma kweli huyo? Au alikurupuka tu km unavokurupuka kutoa tamko?R.I.P Imran, Mdogo wake alitaka aje kufanya postmoterm Yeye Mwenyewe akitokea Zimbabwe ambako alikuwa akihudumu kama Daktari
Alisahau this is Tanzania
Marehemu alikuwa mnoko sana uchaga mwiiiingi eti watawale wao sababu anajua nusu ya utawala ulivo. Tukamuonyesha kazi.Asante sana mkuu, nimeelewa kabisa, hapa hii ilikuwa ni mpango huyu jenerali auawae tu, na wahusika wakaachiwa huru
Holy Man,
..huyu jamaa angejua jinsi Imran Kombe alivyoongoza brigedi yake wakati wa vita vya kagera asingetoa kashfa hizo.
..na kudhihirisha kwamba alikuwa kamanda mahiri aliporudi toka vitani aliteuliwa kuwa mnadhimu mkuu wa jwtz.
Ilizimwa Issue Yote Na MamlakaHivi huyu mzee yupo wapi siku hizi ?
Na issue ya hizo pesa sidhani hata kama ilikwenda popote
Lodilofa ndiye aliamuru auwawewaslaam wakuu.
swali langu linahusu mauaji ya huyu bwana ambaye alishawahi kuwa shsushu mkuu.
yalikuwa mauaji ya kutatanisha kweli, mpaka leo hapajawahi kuwa na majibu ya kisomi na ya kueleweka juu ya nani yule alimfyatulia risasi na kumuua yule kachero.
vyanzo vyangu vinaniambia bwana DIWAN ATHMAN NDIYO ALIFYATUA RISASI ZILE KWA EMRAN KOMBE JE NI KWELI