Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

Huyu aliuwawa na polisi na sababu waliyoitoa ni kuwa walimfananisha na jambazi. Aliponyoshewa bastola, aliinua mikono juu kujisalimisha lakini walimuwasha risasi.

Sababu ya kuuwawa kwake ni kutoa siri kwa Augustine Lyatonga Mrema enzi hizo ambazo alizitumia kuilipua serikali bungeni. Baadaye Mrema aliachia uanachama wa CCM na kujiunga na upinzani. On the spot akanyang'anywa gari bungeni. Kuna mwamba akamsaidia kumpa gari huko Dodoma.. alipelekewa TRA akapigiwa hesabu za kumfilisi
 
Huyo alikuwa anapeleka maneno ya umbea kwa Mrema kipindi hicho nncr ipo juu sasa mrema alikuwa anayaropoka kwenye mikutano yake mwisho ikajulikana kumbe kuna mtu anatoa siri wakamstukia ikabidi wamchape risasi.
 
Aliyepelekwa TRA ni mrema au aliyempa lift mrema???
 
Huyo alikuwa anapeleka maneno ya umbea kwa Mrema kipindi hicho nncr ipo juu sasa mrema alikuwa anayaropoka kwenye mikutano yake mwisho ikajulikana kumbe kuna mtu anatoa siri wakamstukia ikabidi wamchape risasi.
Huu ni uzushi wa mtaani tu. Aliuawa kwa sababu ya ujinga wa polisi wetu kufyatua risasi hovyo hata kwa watu wasio tishio. Infact bado kuna watu wengi wanauawa katika mazingira kama haya na kila siku habari zao zinatolewa.
 
Yaani kombe,mkurugenzi mkuu tiss asijue mrema ni Nani!?
 
Huu ni uzushi wa mtaani tu. Aliuawa kwa sababu ya ujinga wa polisi wetu kufyatua risasi hovyo hata kwa watu wasio tishio. Infact bado kuna watu wengi wanauawa katika mazingira kama haya na kila siku habari zao zinatolewa.
Mkurugenzi mkuu tiss auawe bahati mbaya na polisi!?..Kuna kitu kimejificha hapo,huo ulinwengu huwa hatari sana
 
Cheif spy luteni jenerali imran kombe

Eti awe jambazi

Prominent figure kama yeye duuh

Something cooked fishy
 
Duuh wauaji walihukumiwa kifo????
 
Alikuwa luten jenero au meja jenero?? Mbona unachanganya mafile, kwenye heading umeandika luten halafu main body ukaandika tofauti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…