Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Dogo aliyetoa siri kwa umma nae... Akaachiwa kirahisi... Kuna watu wana ujasili hata kama nguvu hawanaChupuchupu
Isingekuwa wakuu wa madoa madoa KUHAMAKI mapema, the rest ingekuwa history
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo aliyetoa siri kwa umma nae... Akaachiwa kirahisi... Kuna watu wana ujasili hata kama nguvu hawanaChupuchupu
Isingekuwa wakuu wa madoa madoa KUHAMAKI mapema, the rest ingekuwa history
Family nayo ilihamakiDogo aliyetoa siri kwa umma nae... Akaachiwa kirahisi... Kuna watu wana ujasili hata kama nguvu hawana
Hvi mzee kiraracha ndo nani?
Ilijulikana Kuwa aliuawa na waliomuua Kwa Kuwa wauaji walikosea target Mke wa Marehemu aliekuwa Na Mumewe wakipeleka Migomba shambani alifanikiwa kujificha asionekane wakati wanamtafuta na alifanikiwa Kwa Kuwa alikuwa ameshiriki Mafunzo Mengi ya namna ya kujilinda aliyokuwa amepitia wakati Mumewe akiwa Mnene wa Kijitonyama otherwise tungekuwa tunasema kauawa na wasiojulikana
Mke alitambua mpaka force number Za wahusika bila ya wao kujua na ndie alikuwa shahidi muhimu kwenye Mimbar Za Mahakama!
Wauaji wanadai walimuua Kwa kufananisha gari yake na gari iliyoibiwa japo hapakuwa na taarifa zozote zilizowahi kurepotiwa Kuwa kuna gari imepotea
Hata Kama gari iliibiwa na Mwizi Mwenye Umri zaid ya Miaka 60 Baada ya kustaafu aliwazidi Mbio Za kumdhibiti Baada ya kushuka kwenye gari na kuanza kukimbia hadi wakaona Waache gari waliyokuwa wanaitafuta na kuanza kumimina Risasi 14 kwenye kifua kutokea Nyuma na inaonekana risasi hizo zilipigwa umbali wa mita zisizozidi 10 kutokana na kipenyo ( matundu) kwenye Mwili wa Marehemu Kuwa madogo
Mahakama ilithibitisha Pasi na Shaka Kuwa aliuawa Kwa makusudi ndio sababu wauaji walihukumiwa kifo, kitendawili kimebaki sababu zipi zilipelekea akauawa?
Wakuu wa jukwaa hili, ni takribani miaka 22 sasa imepita tangu Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama, Meja Jenerali Imran Kombe alipouwawa na askari polisi mkoani Kilimanjaro.
Mengi yamezungumzwa, je ni nini kilitokea na kujiri mpaka 'deep state' ikaamua kumnyamazisha aliyekuwa boss wao?
Karibuni kwa mjadala wakuu, kama hujui basi usilete masihara.
Tuna watu hatari sana humu jfMtu ambae anakimbizwa Na akapigwa Risasi akijaribu kukimbia Sio rahisi kupigwa Risasi ya kifuani Kwa mbele
Ukisikia story Kuwa alipigwa Risasi Kwa mbele maana yake inatengenezwa Mazingira ionekane alikuwa anakabiliana nao wakaona wamuwahi
Yule Mama hakuwa target no. 1
Huwezi kuanza kufanya jitihada Za kuficha ushahidi kabla ya kufanya uhalifu
Kwanz unafanya uhalifu then unaficha ushahidi kwenye kuficha ushahidi inawezekana ukachemka kutokana na Mazingira Na extent ya uhalifu uliofanya
Kwani sponsor alikuwa nani wakati ule si mzenji ?Doh! Kama ali surrender na bado wakamweka chuma it means aliwekwa za kifuani Sasa!
Kumbe alikuwa na mgombea wake mfukoni, ndio kilicho mcost. Ila hapo kuna utata kidogo huyo Che nka angeweza vipi ku injinia hiyo kitu wakati na yeye ndio alikuwa anaanza kuingia ofisini? Kwangu Mimi Naona hiyo 95 mzee wa kiraracha alikuwa ana connection kwenye system kuliko huyo Che nka..sasa aliwezaje kuamuru mtu aondolewe wakati hakuwa na mizizi kule?
Hii nayo ni kona ambayo unaweza toka nayo na ika soundVipi kuhusu President Slim wa nchi jirani kuhusika katika mauaji.
Kombe akiwa DG wa Idara, alikuwa anajua kinachoendelea kuhusu mipango ya Slim kutaka kufanya mapinduzi nchini mwake.
Kombe aliwashauri Marais wale wasipande ndege moja wakiwa wanatoka Dar Es Salaam lakini wakawa wabishi, kilichowakuta kila mmoja anajua.
Hivyo kuna wanaoamini Slim alimfanyia faulo Kombe ili kupoteza ushahidi, na ukizingatia Kombe alishapoteza kuaminiwa na wakuu wake, hivyo ikawa kazi rahisi kwa Slim kufanya yake.
Wakati gani? Wakati wa mauaji Au wakati wa hizo kampeni?Kwani sponsor alikuwa nani wakati ule si mzenji ?
Kiraracha ni nini ?Ukiwa kwenye baadhi ya idara lazima ujue maisha yako yote umeapa kutumikia serikali na sio yeyote yule. Sio kabila lako.
Kama kweli marehemu alihusika kupeleka siri kwa mzee wa kiraracha basi alikuwa msaliti. Wababe wa biashara za hatari wanawaita 'rat' wasaliti wa namna hiyo.
Wakati wa mauajiWakati gani? Wakati wa mauaji Au wakati wa hizo kampeni?
Sasa mauaji si 96, tayari tulikuwa na rais mpya. Mzenji wa wapi tena hapo unamuongelea?Wakati wa mauaji
Kwa Mrema Lytonga.Kiraracha ni nini ?
Raisi acha basiSasa mauaji si 96, tayari tulikuwa na rais mpya. Mzenji wa wapi tena hapo unamuongelea?
Sponsor ni Nani hivi....
Tusifukue sana, tutaleta yasiyotakiwa kuwekwa hadharaniSasa mauaji si 96, tayari tulikuwa na rais mpya. Mzenji wa wapi tena hapo unamuongelea?
Sponsor ni Nani hivi....
Sasa wakati wa mauaji sponsor alikuwa mzenji?Raisi acha basi