Kwani alisema wazungu ni wabaya na kila kitu chao?Kama mabeberu ni wabaya why alitumia pacemaker iliyotolewa uingereza?? Yaani kwanini atumie mashine ya mzungu kusukuma damu ilihali chanjo zao hatumii? Kwanini asingeacha kutumia moyo bandia Ili ategemee mitishamba imsaidie?
Mkuu mbona unadanganya? Tanzania mbona tulipokea fedha za mkopo kupunguza madhara ya COVID 19 kwenye uchumi? More so aliyepokea hizo pesa ni JPM Sasa kivipi unapotosha kuwa hatukukopa kwa mabeberu?...
Piga hesabu ya fedha kiasi gani nchi kama ya Uingereza imetumia....kuagiza barakoa, na za chanjo kwa wananchi wake! Je tungeweza? kama tungefungua mabahasha yanayoambatana na Declaration of Emergency....?
Niongeze tu, nchi nyingi zilibidi zifanye jitihada za kutengeneza chanjo na barakoa zao wenyewe badala ya kuwa na madeni makubwa kutoka China ambayo ndio ilikuwa, inazalisha Barakoa pamoja na Vipima au vipimio vya Uviko 19.
Je, kiuhalisia leo hii tungeweza kutoa pongezi kwa Rais SSH? tuwe wakweli tungeweza?
Hizi kampeni za kumfanya Hayat Rais kuwa alikosea na hivyo apewe tuzo la kukosea ni dhahiri mna chuki. Ni dhahiri hayo aliyoyakataa ilifinya mirija ya Unyonyaji.
Aluta Continua
....
Ndio.... Alisema kama wanatupenda sana mbona hakuna chanjo ya UKIMWI? Akahoji kwanini hakuna chanjo ya kansa? Eti Leo hii watupende sana watuletee chanjo??Kwani alisema wazungu ni wabaya na kila kitu chao?
Lipi?Mkuu mbona unadanganya?
Kwanza kabisaaaa Sijataja Beberu, hayo ni yakoTanzania mbona tulipokea fedha za mkopo kupunguza madhara ya COVID 19 kwenye uchumi? More so aliyepokea hizo pesa ni JPM Sasa kivipi unapotosha kuwa hatukukopa kwa mabeberu?
Loan for Debt relief, hiyo tayari inatosheleza kuona alichokataa Hayat ungekuwa ni mlolongo mrefu wa madeni juu ya madeni...Yaani unapata mkopo wa kupunguza madeni....ndio kukubali mkopo wa kupunguza makali ya maambukizo? c'mon!!Tanzania gets $26m IMF loan for debt relief
The pandemic has weakened near-term macroeconomic prospects for Tanzania.www.theeastafrican.co.ke
Usipindishe nilichosema, nimesema kwa kukataa kufungua mabahasha yanayoambatana na declaration of emergency ambayo yangetulazimu kupokea mabarakoa kutoka nje yangetufilisi. Na aliyedai hayo na kuyaita makosa ni mleta mada....2. Pia Barakoa mbona zipo zilizokua zinatengenezwa humu ndani mpaka za vitambaa Sasa ni pesa Gani ingetucost kutengeneza Barakoa kiasi tukope?
....kikubwa vile ni kuondoa woga uliotanda. wakati huo. Asante lakini kwa kuonyesha upindishaji na upotoshaji alioonyesha RNA kwa kukubali Barakoa zilikuwepo.ni kupinga njia za kitaalamu kama kuvaa barakoa na njia hizi zilisaidia kwa kiasi gani sehemu nyingine
3. Nani alisema chanjo ilikua gharama? Mbona zipo zilizokua zinanunuliwa na benki ya Afrika AfDB ama zilizokua zinatolewa msaada kma Astrazeneca n.k. nani aliyesema ingebidi tukope kupewa chanjo?
Kama hujui chanjo zimepanda bei mwaka Jana mwishoni ilihali COVID 19 ilishapotea lakini kipindi COVID 19 ipo hot Wala hazikuwa na bei kiasi zitufilisi uchumi.
Mpaka hapo sioni umefikaje kudai mie ndie napotosha watu! Sijaona wapi umejibu kuhusu Mada ambayo nayo imekaa kunyanyasa na kupotosha ukweli! Mbona hivyo wewe Zitto?Tuache kupotosha watu
Umejirudi....Hayati hakuwa mwanasiasa-that is a fact. Hayat alisomea taaluma iliyogusa Virusi.-That is a fact.Nikuulize Swali Unajua Russian Roullette...
Unachukua pistol unaweka risasi moja unazungusha ile cyclinder chamber alafu mnapeana zamu kila mtu kujipiga risasi kichwani...,
Hata ukibahatisha usipokufa lakini gamble kama hio ni hatari ukiendelea namna hiyo uwezekano mkubwa kuna siku utateleza....
Maana yangu ni kwamba kuna mambo hayawezekaniki (total lockdown especially kwa nchi kama Tanzania) LAKINI tahadhari haimaanishi Total Lockdown pekee bali kuwa serious na kuacha mzaha......; In Hindsight kilichofanyika huenda kilikuwa better option, ila sababu hatukujua reaction itakuwa vipi kwahio haikuwa busara ku-gamble na jambo hatari ingawa baada ya kupata more facts ndio inabidi tu-act accordingly ila kabla ya facts kwa mambo ya afya ni vema kuwasikiliza wataalamu na hapa kwenye hili wataalamu ni watu wa afya na sio wanasiasa
Yaani makosa yake ndio yamekuwa mazuri kwa Tanzania na Jamii? I:ll take that any dayKosa la Mwamba Magufuli lilikuwa kuwaacha Watanzania waendelee kujitafutia chakula chao cha kila siku wao na familia zao badala ya kujifungia ndani. Sasa wako hai yeye ameenda zake ndio wanamsema vibaya. Lakini, Historia itamkumbuka!!
Huo ndio Upotoshaji wenyewe.Ila kuna watu ni wajinga na wabishi.eti wazungu ni wazushi kwa hiyo haya mfano internet,magari,madawa na jf ungeziona wapi ?
Unashindana na mtu amekupa unaishi maisha ujawai kufikiria alafu unabisha utazani wewe ndio muundaji.
Mbona Marekani na Nchi nyinginr ulaya zilikuwa zina shawishi kuwasha nyungu Kwenye chumba chako? Unajua ni Vyombo vingapi vilivyoanzishwa na teknoljia ya nyungu?Corona ilikuwa threat kwa watu wenye magonjwa nyemelezi, kwa hiyo alitakiwa kuwaambia watu endapo utajisikia hovyo wafike haraka hospitali kupata matibabu badala ya kuhimiza watu kutumia miti shamba kujitibu aka nyungu, badala ya kusema "hivi vi mafua fua lini viliuaga mtu wagoshaaa hiiii...."
Watu waliendelea kuambukizwa na kufa kwa ugonjwa huo ambao pengine wasingepata na kufa.Mbinu alizotumia zilikuwa za hovyo sana kukubali watu wake wafe hadi kinga itaporejea.Ni jambo jema sana naye ilimuondoa ili aungane na wahanga wengine wa uamuzi wake wa ovyoReaction ya JPM kwny gonjwa la Corona anastahiki alama zote I.e mia fil mia
Allah alimpa ilhamu ya hali ya juu sana …alipata ujasiri na uthubutu wa hali ya juu sana kuliko wasomi, watabiri na waganga na waganguzi
Kile chuma kilikuwa na flavor yake ya kipekee sana hata Julius angekuwepo kuna mambo angetakiwa ajifunze kwa yule Mwamba
nime miss sana zile hotuba za kutoka moyoni ambazo ndio hasa za Rais
Ma Rais wote walikuwa wanahutubia Hotuba za Ikulu kasoro John peke yake ndo alikuwa anatoa hotuba zake mwenyewe …hata Julius Hotuba zake nyingi zilikuwa zinehaririwa na yule Katibu wake Bibi wa Kiingereza
Ndio.... Alisema kama wanatupenda sana mbona hakuna chanjo ya UKIMWI?
Hata Joe Biden wa Marekani ameuliza hayo Kwanini? na Ametangaza kufikia miaka michache baaadae makampuni ya dawa yawe yamefanya hivyo, akiwa anamaana anajua Teknolojia ipo!Akahoji kwanini hakuna chanjo ya kansa?
Kweli kabisa, yaani watupende tu wakati historia inaonyesha Udhalimu na Uhasama dhidi ya wote wasiofanana nao?Eti Leo hii watupende sana watuletee chanjo??
....Aisee, hoja yako ni nini haswa?Cha kushangaza yeye alikua anatumia moyo wa plastic ulionunuliwa uingereza!!
Aisee, sijui unatoa wapi Taarifa zako.Watu waliendelea kuambukizwa na kufa kwa ugonjwa huo ambao pengine wasingepata na kufa.Mbinu alizotumia zilikuwa za hovyo sana kukubali watu wake wafe hadi kinga itaporejea.Ni jambo jema sana naye ilimuondoa ili aungane na wahanga wengine wa uamuzi wake wa ovyo
Dk Uchwara Molleli ndio kakupa silaha.Nimekuja hapa kuthibitisha ujinga wa watanzania wengi tu.
Nini hicho?Hii imekaa vizuri
Unajirudi, halafu unapotosha, huku unadanganya.Kosa lake ilikua kukosoa mbinu za kisayansi hicho tu basi. Ilikua wazi kuwa COVID 19 ilikua hatari zaidi kwa wazee au nchi zenye baridi kuliko huku kwetu so Kulikua hakuna haja ya kukejeli efforts za madaktari, mara sijui Barakoa hazifai, mara chanjo zimetumwa kutuua waafrika n.k. nakumbuka Hadi anamkejeli Askofu kuvaa Barakoa eti hamuamini Mungu!!
Kuna wakati Hadi alikataa uwepo wa COVID 19!! Mimi binafsi manusura nimpoteze Mzee wangu aliponea kwenye mtungi wa oxygen alafu nawasha Tv naskia JPM anasema "hakuna COVID 19 hapa Tanzania...." Hapo unategemea waliopoteza ndugu kwa changamoto hiyo watamuelewa?
Hawa magaidi unaowasoma hawawezi kuliona hilo. Mirija yao ilifinywa nywiii! KalasKosa lake ni kujua ubeberu unaoambatana na mbiu zinazopigwa mara kwa mara na shirika la afya duniani kwamba ni biashara kuliko hali halisi. Mnatiwa hofu ya hatari kuliko ukweli halafu mnauziwa kila takataka kwa bei ya ajabu. Tena bidhaa hizo mara nyingi sivyo mnavyoelezwa ni feki productcs kuwapatia faifa za kutisha kwa ukubwa. Zaidi ya hapo lockdowns za corona bila shaka ilikua mbinu kuharibu uchumi wa nchi nyingi.
And then kuna njama kubwa magufuli aliitambua. Hapa tz kuna watu walishajiandaa eti kusambaza chakula kwenye lockdowns. Niliwahi kuwasikia eti wangejitolea nikacheka kimyakimya.
Julis alikuwa anatoa madini kichwani hakuwa akisoma. Sijawahi kumuona akisoma.Reaction ya JPM kwny gonjwa la Corona anastahiki alama zote I.e mia fil mia
Allah alimpa ilhamu ya hali ya juu sana …alipata ujasiri na uthubutu wa hali ya juu sana kuliko wasomi, watabiri na waganga na waganguzi
Kile chuma kilikuwa na flavor yake ya kipekee sana hata Julius angekuwepo kuna mambo angetakiwa ajifunze kwa yule Mwamba
nime miss sana zile hotuba za kutoka moyoni ambazo ndio hasa za Rais
Ma Rais wote walikuwa wanahutubia Hotuba za Ikulu kasoro John peke yake ndo alikuwa anatoa hotuba zake mwenyewe …hata Julius Hotuba zake nyingi zilikuwa zinehaririwa na yule Katibu wake Bibi wa Kiingereza
Lakini akafa kwa Corona hiyo hiyo. Aliamini sana ushirikina kuliko science.habari jf , JPM aliamini corona itaendelea kuwepo na tutaishi nayo kama yalivyo magonjwa mengine ,kiuhalisia ndivyo ilivyo corona ipo na idadi ya watu waliopata chanjo ni ndogo sana na watu walishapata kinga asilia sasa hivi sio tishio tena .lakini bado watu wakiwemo madaktari wanalaumu approach yake kwenye ishu .
Swali langu ni lipi lilikuwa kosa lake ?
Je, ni kutoweka lock down ?
Je, ni kupinga chanjo ?
Je, ni kupinga njia za kitaalamu kama kuvaa barakoa na njia hizi zilisaidia kwa kiasi gani sehemu nyingine ?
Kwangu Mimi mnyonge mnyongeni katika hili alistahili tuzo .