#COVID19 Nini hasa lilikuwa kosa la Hayati Magufuli kwenye ishu ya COVID-19 ?

Juzi nimemsikia Samia akimsifia eti uchumi wetu haukushuka kwa sababu ya shujaa Magufuli hakufunga nchi kipindi cha COVID 19 huko nyuma aliungana na barvicha kumsema eti tumetengwa, Samia hana anachojua kwenye nchini hii

USSR
Shujaa wa mchongo a.k.a shujaa wa Sukuma gang
 
Kuna watu huwa wanatamani kurudi gerezani hata baada ya kupata uhuru. Ajabu sana hii mtu anatamani kurudi enzi za giza. Anyway kila mtu na matamanio yake
 
Jiwe alikuwa laana kwa taifa
 
Waliopata chanjo mpaka sasa ni wa kutafuta kama unatafuta mchanga kwenye mchele.

Magu alikuwa sahihi sana hata nchi za Ulaya wapo waliofata njia yake ya kupambana na corona.
So unadhani Ulaya hakuna watu kama wewe au Jiwe?
 
alikataa kuwa ugonjwa haupo,barakoa kutoka nje ya nchi zina corona
 
We ficha UPUMBAVU wako kwa kudhani Wazungu wote wana akili sana kuzidi weusi.
Kuna mambo ambayo hata wao wabaki midomo wazi yamegunduliwa huku kwa weusi.
Unaweza toa mfano?
 
Kuna watu mnajua kujizima data, yaani unaamini Jiwe alikuwa na akili kuliko wewe?
 
Wewe ndiyo wale wale mnao amini ushirikina badala ya science.
 
Hakuna kosa hata moja, akili ya magufuli ilikuwa kubwa kiasi kwamba hakueleweka,ila kwa sasa hata weupe wamemuelewa ndo maana kombe la dunia limepigwa na kuhudhuliwa na maelfu na kati ya hao wenye barakoa walikuwa wanahesabika.
 
Kosa la Mwamba Magufuli lilikuwa kuwaacha Watanzania waendelee kujitafutia chakula chao cha kila siku wao na familia zao badala ya kujifungia ndani. Sasa wako hai yeye ameenda zake ndio wanamsema vibaya. Lakini, Historia itamkumbuka!!
Alikuwa muovu sana kiumbe yule, ila nyie wanyonge mnamuona ni mwamba mara shujaa wenu
 
Mwanasayansi aliyesoma kwa lugha ya kingereza lakini hakuweza kuongea hata sentence moja ya lugha hiyo iliyonyooka
 
Kwanini usiseme wewe?
 
Acha ujuha
 
Sasa hiyo chanjo ya Ukimwi si mkachukue huko Madagascar, nyie si mnaamini sna ushirikina kuliko science, asante sana Corona kwa ilichokifanya kwa yule dhalimu ila nitoe pole sana kwa wahanga wengine
 
Hiyo hiyo Corona ikamfyekelea mbali na nchi ikapona
 
Hakuna kosa hata moja, akili ya magufuli ilikuwa kubwa kiasi kwamba hakueleweka,ila kwa sasa hata weupe wamemuelewa ndo maana kombe la dunia limepigwa na kuhudhuliwa na maelfu na kati ya hao wenye barakoa walikuwa wanahesabika.
Hakuna Corona lakini akafa kwa Corona huyo shujaa wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…