Anayeteua kuunda hizo serikali ni nani? Kama unawakataza kula tu, utaweza kuwaweka kwenye serikali yako??
Si murudi kwenu Bariadi uko mkale iyo pasaka yenuAmani ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi.
Moyo wangu unaugua sana kwa sababu ya Jamii ya Wakristo wanaoishi katika visiwa vya Zanzibar.
Nawaza namna watakavyokula Pasaka. Ikumbukwe kuwa, Pasaka ndicho kilele cha Ukristo na kwa asili, Pasaka ni siku ya kuchinja na kula kusherehekea ukombozi wa Mwanadamu uliopatikana kwa Kifo cha Yesu Msalabani. Hivyo, kuzuiwa kula ni kuzuia maadhimisho ya kipasaka.
Majibu ya aliyeishiwa hoja.Si murudi kwenu Bariadi uko mkale iyo pasaka yenu
Vizuri kwa kuelewa.Hadi hapa sasa naanza kuelewa wadini ni watu gani, wasioweza kuishi na watu wenye imani tofauti na wao ni wa upande upi.
Mmh kwakwelUtasherekeaje huku hauruhusiwi kula?
WAbinafsi sana nyie, mbona huku mmeshikilia hadi sekta nyeti za nchi na tunaishi poa tu. Na huo ndo ubindamu, hizi kauli ni za kishetani tu.Si murudi kwenu Bariadi uko mkale iyo pasaka yenu
Tunapoelekea sio kuzuri, Mwisho wa siku utasikia wazanzibari wachomewa vibanda vyao Bara kwa kumaliza maeneo yaoHao jamaa huku Bara tunawakarimu ila ni wapuuzi na wabaguzi sana, Jumapili iliyopita pale Unguja Sheha kuna Kanisa kaenda eti punguzeni sauti watu wamefunga........ Jumapili ndiyo watanuna Zaidi
Answar wanaowahi kumaliza mfungo kabla ya wengine wao huruhusiwa kula hadharani siku hiyo wakimaliza mfungo kabla ya nyie wengine??Najua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Mkuu zanzibar imekuwa Chini ya Sultanite state Tangu miaka ya 800s ..Najua kama wana katiba yao...Lakini swali langu ni je,kuna mahala imenena kwamba Zanzibar ni dola Kiislam...?
Mbona hii kitu iko miaka na mikakaTunapoelekea sio kuzuri, Mwisho wa siku utasikia wazanzibari wachomewa vibanda vyao Bara kwa kumaliza maeneo yao
Ok bhasi tuseme Ni nchi iliyokuwa Kwenye Islamic State kwa Zaidi ya Miaka 1000sNani amekuambia Zanzibar ni Islamic State? Pumbavu kabisa wewe. Mbona nyie mpo huku Bara? Roho mbaya haisaidii.
Shida mnakataa uhalisia wenuHakuna nchi inayoitwa Tanganyjka, hilo lazima ulijue...
Siupondi muungano, ila kuna mambo yaboreshwe...
ππππππ wapuuzi sana hawaKama jaribu la kuvumilia jirani yako akila hadharani linakushinda utaweza kuvumilia ukiona upaja wa pisi kali? Jaribu dogo tu linateteresha imani yako.
Mimi nitamkumbuka MtikilaKwani nani aliwaambia mkakae Zanzibar?Mnaambiwa Zanzibar ni Islamic state hamuelewi,kataeni muungano,acheni uchawa,fungukeni hamtaki mnaleta ushabiki,suluhisho ni katiba tu.Tukisema JKN alikuwa mnafiki na ndo chanzo ya yote haya mnamtetea haya sasa mm nitamkimbuka sana Oscar Kambona
lini ilikuwa Islamic stateOk bhasi tuseme Ni nchi iliyokuwa Kwenye Islamic State kwa Zaidi ya Miaka 1000s
Kabla ya Kuingia kwenye Muungano
Zanzibar Ilikuwa Chini ya Sultanite State..lini ilikuwa Islamic state
Haikuwa mwezi wa Ramadhanisonofobia, kwani mwaka jana walisherehekea vipi?